Mimi tena wanaume basi!

Mimi tena wanaume basi!

Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Kabla ya kulaumu wanaume jitathmini kwanza, usikute wewe ndio tatizo la kutemwa! Angalia unakosea wapi, rekebisha makosa hayo utapata mwanaume utakayejiweka daima
 
Acha kujinyima mambo matamu kwa watu wachache. Hao waliokudanya wameondoka na wewe endeleza na wengine wapya huku ukirekebisha kale katabia kanakowakimbiza.
 
Tatizo mnapenda kudanganywa. Mkiambiwa ukweli hamtoi papuchi.

Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
 
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha

Inakuwaje kila unayekuwa naye ana matatizo? Je umejichunguza wewe mwenyewe uko sawa? Labda wewe ndiyo hufai, maana haiwezzekani kila mtu kwako hafai.
 
Pole mdogo wangu, ila kama umewazoea pakiwasha ni lazima uwatafute tu. Bora uamue uchukue hapa tapeli moja lenye afadhali utulie nalo.
 
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha

Kila la heri na ulesbian ukiwaona nao hawafai basi ni bora kujaribu sex toys, raha jipe mwenyewe.
 
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Haya ni madhara ya kugawa sana. Hufikia hatua unajichoka mwenyewe hadi unakuwa na kichefuchefu. Unapogawa uwe unabakiza kidogo. Ukiwa mama huruma lazima ujisikie empty na kuwaona vibaya wale unaowagawia. Punguza kugawa hutawachoka!
 
Pole Jenu.Ila punguza hasira, jichunguze uone ni wapi ulipokosea.Sio muda mrefu utagundua kwamba "we need them men"
 
Back
Top Bottom