he he he he he he he he he he!!!!!!Ngoja kwanza!! Yamekukukuta eeeeeeeeeeehhhhhh!!!! Unachezea dunia!!!!! Pole sana. Uliowapata ni matapeli. Usikate tamaa na kuvunjika moyo. Dunia ina mitihani mingi, tena migumu kwelikweli kuliko ya mathematics, physics and biology. Pole sana mdogo wangu.
Heeeee heeeeeee jamani huyu ni Mwanamalundi? Hata siamini ...... !!
Last edited by a moderator: