Mimi tena wanaume basi!

Mimi tena wanaume basi!

he he he he he he he he he he!!!!!!Ngoja kwanza!! Yamekukukuta eeeeeeeeeeehhhhhh!!!! Unachezea dunia!!!!! Pole sana. Uliowapata ni matapeli. Usikate tamaa na kuvunjika moyo. Dunia ina mitihani mingi, tena migumu kwelikweli kuliko ya mathematics, physics and biology. Pole sana mdogo wangu.


Mi Namshanga huyu mdada, hivi wakati anajifunza kupika hakuwahi kuungua? Kama aliungua, je aliacha kupika?
 
Jenu Hebu kaa ujitafakari kwanza, wwww unataka wa kula nae bata, mara unataka mchumba sasa kipi ukitakacho? uko very desperate nao hao wanaume ujue wanasoma hizo nyuzi zako na wao wanakuja kihivyohivyo unavyojiweka!
 
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha

Ukiwajua hawakusumbui tatizo unakuwa nae ukitegemea kitu fulani sio mapenzi.chezea hivi vichwa wewe utapata stress bureeeeee.
 
Aaaa aaah aaaah aaah!!!! Kumbe anatuchezea akili zetu. Akome kabisa kutuchezea chezea kama watoto wadogo. Wengine hatujapata wajukuu, asitugeuze kama babu au bibi yake. akome kabisa.

Ndio hapo sasa! Tena leo ameweza kukuchezea akili wewe! Mzee wa HAYATUHUSU. Mtu ninayejua hapatwi kirahisi rahisi inabidi kweli umwambie akome.
 
Ukiwajua hawakusumbui tatizo unakuwa nae ukitegemea kitu fulani sio mapenzi.chezea hivi vichwa wewe utapata stress bureeeeee.

sijui kwanini unanifanya nimmiss Ciello
sijui!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha kumbe huyu kichenchede hivi! Akome kabisa kutuchezea akili zetu na bila shaka ni wale wale wauza sukari guru.

MwaJ naye utafikiri FBI umemuumbua vibaya vibaya, unatisha.

Mkuu wala sikuwa na nia ya kumuumbua, nilikuwa namshangaa tu.
 
Mie sio tu kummiss Ciello bali huwa nahisi namsoma Ciello!

kumbe sio peke yangu enh! mdida hebu tuambie hata kwa PM tu wenzio!
mama nimemmiss cielo natamanani nijue naweza kumpata wapi!
anayejua anipm jamani,
@lara1 please if in any case yu knw where cielo is,please niambie!nammiss mamduchu wangu jamani!lol!
 
Last edited by a moderator:
Inakuaje kila siku unatapeliwa wewe tu? Inawezekana tatizo lipo kwako dada. Jichunguze vizuri. Ile tabia ya wasichana wengine yakutaka mtu akikupenda eti ummiliki ionekane bila wewe yeye hawezi kufanya kitu mpaka kumpangia nini afanye na wakati gani, siyo wanaume wote wanaweza kuivumila. Kama umekuwa na mahusiano kibao na wote wameishia kukufaidi tu basi tatizo lipo kwako. Wazungu wanasema: "If a man deceives me once, shame on him, if twice, shame on me". In my view, shame kwangu itazidi if every man ninayempata anaishia kuni-deceive. Jichunguze uone kosa lako lilipo. Inawezekana demands zimezidi kwani siku hizi wapo wasichana ambao wakipata mtu wanachokifanya ni kuwa badala ya kumpenda, wao wananaona wamepata dawa ya shida zao. Matokeo yake ni kuwa ukimpata yule anayetaka mapenzi ya ukweli, yasiyofungwa kwa nguvu ya pesa, hayo mapenzi yataishia njiani hata kama alikupenda sana. Jiulize wewe ni mwanamke wa aina gani.

Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
 
Hukuwahi kumshirikisha mungu akupe mume wako. wewe ulivamia mji. Pole sana mwanamama.
jipange uanze upya
 
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha

Naunga mkono hoja. Sawa ni kaka zetu, wapenzi wetu, waume zetu etc lakini hawana wema kivileeeee, ukiamua kuwa nae usijione umefika. Itakula kwako. Hawabebeki !!!!
 
Naunga mkono uamuzi wako! Kila la kheri katika maisha mapya, ya kuishi bila kuhitaji opposite jinsi.
 
Back
Top Bottom