Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Kwa hiyo unataka sema wangeficha burungutu la pesa kwenye kitabu usingeliona tokea 2001 mpaka leo?Naona watu hutaja list ya vitabu, walivyosoma 2018.
Mimi tangu 2001 sijasoma kitabu chochote zaidi ya heading za magazeti vituo vya mabasi.
Life iko vizuri tu, naomba niione tofauti yangu na wao. Naona niko sawa tu au ninatatizo nisilolifahamu.
Waungwana msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app