Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,021
- 1,739
Mimi nimesoma vitabu elfu moja na majarida elfu nane mwaka uliopita mkuu
Hadithi sisomi kabisa niliacha zamani sana, biblia na Koroani nimewaachia ma padri, wachungaji, mapastor, manabii na masheikh wafanye kazi yao wao nikienda kwenye ibada watanisimulia. Nikisoma halafu nikienda kusali/kuswali tena wakisoma biblia/koroani naona najipotezea muda bora huo muda nilale kuupumzisha mwili.Hata kusoma hadithi au tamthilia? Vipi masuala ya dini, Biblia au Kuraan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha thank you nitarudia kusoma grammar ilee ya Mastering 40 by Abel K. Mwanga.
Hahaha hongera ulikuwa na kazi zingine au ndio hiyo tu ya kusoma vitabu na vijarida?!Mimi nimesoma vitabu elfu moja na majarida elfu nane mwaka uliopita mkuu
Hahaha na hakuna ambaye kanionyesha siko sawa kwa namna yoyote ile. Mami nikaamini hivyo.
Hahaha endelea hivyo hivyo maana inakusaidia kupata usingizi. Kuna wengine huwa wanaandika humu hawapati usingizi mpaka wanywe pombe, ambayo ni gharama na hatari kwa afya zao. Ikiwa kitabu kinakusaidia kupata usingizi basi usiache kushika shika hicho hicho muda uleule unaotaka kulala.chaajabu nikisoma kurasa 30 napata usingizi wa kutosha.
Hivyo sijawahi kumaliza kitabu 2018.
2019 nitaanza na kiyabu cha alfu lela ulela "sp"
Yani iko safi na natatua matatizo yangu binafsi na kiasi ya familia yaani wazazi na ndugu na jamaa.Yoote kwa yote, account yako ya benki inasoma ngapi, hicho ndio cha msingi.
Hahaha nilidhani kuna kitu napungukiwa, kujistukia tu. Nimeona list za wasomaji zikanitisha.maisha ni yako..
uzuzu ni wako..
usiwaze wala nini mkurugenzi
Maongezi yaliopo huwa nasikiliza na kuchangia inaponidi, na inategemea hasa na mazungumzo yenyewe, siwezi kucomment mambo ya space science, au terrestrial theories siyafahamu zaidi ya kusikia tu.ukikaa na watu unaongea nini??
Mi kipaji hicho cha kusoma for fun nakiri sina.
Hahaha thank you nitarudia kusoma grammar ilee ya Mastering 40 by Abel K. Mwanga.
Yes ndo walivo, wanapenda outng zaid na ku-hangout..ila ma extroverts nilisikia hawapendi kukaa chini na kusoma kitabu,lol
Hahaha kweli kabisa
Kama umemaliza chuo 2001 na bado unapanda dala dala mpaka leo, life yako haiko poa na hilo ndilo tatizo. Umeridhika na dhiki ndo maana unaona life iko poa tu. Ukianza kusoma vitabu mwaka huu 2019, huenda ukaambulia ka Vitz.Mimi tangu 2001 sijasoma kitabu chochote zaidi ya heading za magazeti vituo vya mabasi. Naona niko sawa tu au ninatatizo nisilolifahamu.
Waungwana msaada.
Hahaha kusoma hakuleti vits, kweli nimeridhika sana.Kama umemaliza chuo 2001 na bado unapanda dala dala mpaka leo, life yako haiko poa na hilo ndilo tatizo. Umeridhika na dhiki ndo masna ubaona life iko poa tu. Ukianza kusoma vitabu mwaka huu 2019, huenda ukasmbulia ka Vitz.
Ukianza kusoma vitabu mwaka huu 2019, huenda ukaambulia ka Vitz.
Hawa ndio wale wanasema rais wa Kuwait ni Sadam HusseinHuwezi kuwa sawa na anaesoma vitabu kila siku wakati wewe umesoma mara ya mwisho 2001. Hata kama maisha yanaenda poa ila usiseme eti mko sawa.
Kwangu mimi naamini siwezi kuwa well informed na kujua mambo kama sisomi vitabu, majarida n.k
Ukitaka hata kujenga hoja huwezi kwenda sawa na anaesoma maana mwenzio anajua mambo kibao ambayo wewe hujui hata kama yana exist
Hahaha kwani nyie mlimfahamu kwa kusoma vitabu?!Hawa ndio wale wanasema rais wa Kuwait ni Sadam Hussein