Mimi sijasoma kitabu hata kimoja tangu nimalize chuo.

Mimi sijasoma kitabu hata kimoja tangu nimalize chuo.

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
14,379
Reaction score
19,120
Naona watu hutaja list ya vitabu, walivyosoma 2018.
Mimi tangu 2001 sijasoma kitabu chochote zaidi ya heading za magazeti vituo vya mabasi.
Life iko vizuri tu, naomba niione tofauti yangu na wao. Naona niko sawa tu au ninatatizo nisilolifahamu.
Waungwana msaada.
 
Huwezi kuwa sawa na anaesoma vitabu kila siku wakati wewe umesoma mara ya mwisho 2001. Hata kama maisha yanaenda poa ila usiseme eti mko sawa.

Kwangu mimi naamini siwezi kuwa well informed na kujua mambo kama sisomi vitabu, majarida n.k

Ukitaka hata kujenga hoja huwezi kwenda sawa na anaesoma maana mwenzio anajua mambo kibao ambayo wewe hujui hata kama yana exist
 
Hahaha ndio sijui napungukuwa nini maana najiona sawa, nasoma JF kupata taarifa. Sina mpango kugombea nafasi ya kisiasa sioni sababu kujua mambo ambayo siyo ya lazima kwangu. Kazi yangu naifanya kwa ustadi wa hali ya juu, sihitaji hata kuperuzi professional journal lakini eti najiona niko sawa tu, isn't a surprise to you?
 
Hahaha ndio sijui napungukuwa nini maana najiona sawa, nasoma JF kupata taarifa. Sina mpango kugombea nafasi ya kisiasa sioni sababu kujua mambo ambayo siyo ya lazima kwangu. Kazi yangu nsifanya kwa ustadi wa hali ya juu, sihitaji hata kuperuzi professional journal lakini eti najiona niko sawa tu, isn't a surprise to you?
Maarifa hayana mwisho mkuu, sawa sio lazima kusoma na kusoma ni kipaji sio kila mmoja anaweza. Kuna wengine kama mimi ni kitu cha kawaida sana na nikikaa mda sijasoma najiona napungukiwa kitu. Pamoja na kuwa una profession yako hata ukisoma mambo mengine pia inakuongezeaa marifa nje ya prof yako.
 
Hahaha bado nafikiria nikiyajua hayo mengine nje ya taaluma yangu nitayaapply wapi?! Kusoma bila purpose naona nikujitesa.
 
Nayakubali sana tatizo ni jinsi ya kuyapata

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vijana wanayo town, kina dada wako na ebony na yale ya urembo. Ofisini kwetu kuna mtu ka subscribe The Economist hivyo unakuwa unachungulia chungulia unayaacha hapo, vibanda vya dalala kuna kiu,,uwazichampion, sportleo, majira, uhuru, tanzanite, mwananchi, mtanzania ....
 
Nitayatafuta maana hua nayaelewa sana.
Pia NATIONAL GEOGRAPHIC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni sawa kuingia JF,ukisoma vitabu unafundishwa mambo mbali mbali ya ulimwengu huu,kuwa entertained,kupass time,kutibika..etc
 
Back
Top Bottom