Kama umepitia taasisi za elimu na kuelimika kidogo hususan kama umewahi fanya mazingatio katika misemo na nahau za kiswahili basi nikukumbushe hili moja " elimu haina mwisho"Naona watu hutaja list ya vitabu, walivyosoma 2018.
Mimi tangu 2001 sijasoma kitabu chochote zaidi ya heading za magazeti vituo vya mabasi.
Life iko vizuri tu, naomba niione tofauti yangu na wao. Naona niko sawa tu au ninatatizo nisilolifahamu.
Waungwana msaada.
Kwanza kutokujua tofauti ya anayesoma vitabu na ww usiyesoma ni dhihirisho tosha kwamba Kuna gap you are missing something..Atleast unahitaji kusoma vitabu Ili uweze angalau basi kupambanua tafauti yako na mtu anayesoma vitabu..Amka mkuu. Huwez ukawa ni graduate,alafu huoni tofauti ya mtu anayesoma vitabu na asiyesoma. Is this serious? Sorry mkuu, can you tell tell us which one is your Alma mater?Naona watu hutaja list ya vitabu, walivyosoma 2018.
Mimi tangu 2001 sijasoma kitabu chochote zaidi ya heading za magazeti vituo vya mabasi.
Life iko vizuri tu, naomba niione tofauti yangu na wao. Naona niko sawa tu au ninatatizo nisilolifahamu.
Waungwana msaada.
Hahaha mimi naona kazi iko vile vile kila siku tangu nimeianza haijabadirika, labda kwakuwa sisomi vitabu. Labda nami nikiongeza maarifa nitaiona kazi yangu tofauti. Nisikuchoshe nitajaribu.Mnhh kuna kitu hukielewi,ulisoma upate maarifa ya kufanya kazi u survive, na sio mitihani,...watu wanajisomea kuongeza maarifa na sio lazima upate qualification in the end,As I said dunia inaenda ikichange soon uliyosomea yatakuwa mambo ya past,sikushangai lakini watanzania wengi hatuna culture ya kujisomea,na tukilinganishwa na candidates katika kazi wengi wanatuona incompetent
Hahaha ukweli naweza kusema nimeelimika, elimu niliyoipata imenipa uwezo kuweza kukuhudumia wewe na familia yako kila siku. Nikijisomea nitakuwa narudia yale yale ninayoyafahamu ikiwa unasema niongeze maarifa kazini. Labda ni badirishe career hapo nitadoma vitu tofauti, ila kwasasa sioni sababu ati yakunifanya nishindwe kupumzika badala yake ning'ang'ane na vitabu. Ukija kwenye taaluma yangu huwezi kuniona kama mpumbavu unaye muona hapa, kwasababu wewe unasoma vitabu unadhani unaakili nyiiingi sana. Hahaha kwangu mi nakuona kawaida kama nilivyo mimi tu.Kama umepitia taasisi za elimu na kuelimika kidogo hususan kama umewahi fanya mazingatio katika misemo na nahau za kiswahili basi nikukumbushe hili moja " elimu haina mwisho"
Kujisomea ni kuendelea kujielimisha .
Ila wewe ni wazi ulipitia tu utaratibu wa kielimu yaani wazee wako walikuanzisha shule wakakupeleka ngazi mbali mbali za elimu wakafanikiwa kukufanya umalize mojawapo ya ngazi za juu kielimu ila bahati mbaya sana hawana uwezo wa kukufanya uelimike!
Basi washukuru tu wazee waki kwa kukuwezesha kuhudhuria masomo atleast unapata uwezo wa kuja kuandika utumbo humu lama vile hujui (na inawezekanahujui kweli)faida ya kusoma na kujisomea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha unaidharau sana tulio hitimu masomo ya cherehani?! Hongera sana.We utakua labda umehitimu chuo cha cherehani
Maana sio kwa upupu huo
Hahaha nikisoma nitapoteza maana, sijasoma vitabu na sioni tofauti. Nilitaka niione kwa mnaosoma vitabu. Mimi kama nilivyosema I did then ili kujibu mitihani, I will do now if I have an exam to do, by I won't read them if I am not going to be tested. I don't see why nisome, hakuna mtihani hayo maarifa siyafanyii kazi sasa nini iwe motive kwangu ili nijisomee?!Kwanza kutokujua tofauti ya anayesoma vitabu na ww usiyesoma ni dhihirisho tosha kwamba Kuna gap you are missing something..Atleast unahitaji kusoma vitabu Ili uweze angalau basi kupambanua tafauti yako na mtu anayesoma vitabu..Amka mkuu. Huwez ukawa ni graduate,alafu huoni tofauti ya mtu anayesoma vitabu na asiyesoma. Is this serious? Sorry mkuu, can you tell tell us which one is your Alma mater?
Hahaha sishangai kuona ukiwa na mashaka na kutokusoma kwangu vitabu. Kazi yangu haijabadirika kila siku nafanya kazi tangu niajiriwe, sioni kipya. Nitasoma nini au experience inanisaidia yani sioni cha kusoma.You must feel ashamed of yourself. Ninamashaka na upeo wako. Kwa sababu hata hiyo proffesion uliyosomea, kuna mambo mapya evolving, huna haja ya kuyajua through reading books?
Hahaha lakini siwezi kukukausha kizazi. Taaluma ile ina ethics zake na huwezi kulipiza kisasi kwa kumdhuru mtu. Hiyo ni malpractice, ingawa nafahamu hakuna medical legal lawyers Tanzania still najua hilo haliwezi kufanyika.Poa mkuu wacha nimkaushie huwezi jua labda yupo kitengo cha Kausha Uzazi...
Sikujui hunijui ila watu hujipambanua kutokana na michango yao humu ,sasa kwa wewe ikiwa unaigiza au unapiga soga kama la kwenye barza xa kahawa vyema ila kama huu ndio uhalisia wa fikra zako am sorry kukuambia kuwa kuna kitu hakiko sawa somewhere !Hahaha ukweli naweza kusema nimeelimika, elimu niliyoipata imenipa uwezo kuweza kukuhudumia wewe na familia yako kila siku. Nikijisomea nitakuwa narudia yale yale ninayoyafahamu ikiwa unasema niongeze maarifa kazini. Labda ni badirishe career hapo nitadoma vitu tofauti, ila kwasasa sioni sababu ati yakunifanya nishindwe kupumzika badala yake ning'ang'ane na vitabu. Ukija kwenye taaluma yangu huwezi kuniona kama mpumbavu unaye muona hapa, kwasababu wewe unasoma vitabu unadhani unaakili nyiiingi sana. Hahaha kwangu mi nakuona kawaida kama nilivyo mimi tu.
Nafikiria anacheza na akili zetu tuSikujui hunijui ila watu hujipambanua kutokana na michango yao humu ,sasa kwa wewe ikiwa unaigiza au unapiga soga kama la kwenye barza xa kahawa vyema ila kama huu ndio uhalisia wa fikra zako am sorry kukuambia kuwa kuna kitu hakiko sawa somewhere !
Hahaha kule shule au chuo walikuwa wananipima kana naelewa au sielewi au sijaelewa kupitia mitihani. Baada ya wao kusema ninaelewa na waka approve nika graduate niona nimeshusha mzigo, sasa huo wa wengine. Sasa leo hii bado niendelee kujufunza kupitia vitabu?! Nini hicho nataka kujua na kwa nini?! Binadamu unapaswa kufikua wakati u-relax ufurahie maisha, kilasiku mambo mapya kichwani duh poleni. Mimi nimechagua kupumzika, sitaki kijitesa kubeba vitabu umri huu, yani hata biblia sisomi, acha padri, mchungaji, pastor au nabii wasome waje wanusimulie kanisani.
Mi naona life inaenda na sioni tofauti kabisa yani.
Somewhere where?! Nimesema ukweli na sioni tatizo hapa. Vitabu hata vyataaluma Tanzania hii haviwi updated na ukutaka kuamini angalia vijana wanavyo kusanya past papers wanasoma na wanafaulu. Mimi sisomi story za how to be rich, i have no desire to be rich. Hivyo sidhani kutokusoma vitabu napotea au napoteza, i think this is a choise one should make, not obliged to.Sikujui hunijui ila watu hujipambanua kutokana na michango yao humu ,sasa kwa wewe ikiwa unaigiza au unapiga soga kama la kwenye barza xa kahawa vyema ila kama huu ndio uhalisia wa fikra zako am sorry kukuambia kuwa kuna kitu hakiko sawa somewhere !
Hahaha na ninafuraha, maana sishindani naye na sihitaji hata kumsogelea. Maana sistahili hata kugusa upinde wa joho lake, nikisoma aliyoyaandika roho yangu inaridhika.Kwa maamuzi yako hayo, kamwe huwezi kuwafikia watu kama Malcom Lumumba ambaye ni Mwlm wa somo la history hapa JF.
Mkuu binafsi nimekuelewa! Just live your life as long as ur happy and confortable..Somewhere where?! Nimesema ukweli na sioni tatizo hapa. Vitabu hata vyataaluma Tanzania hii haviwi updated na ukutaka kuamini angalia vijana wanavyo kusanya past papers wanasoma na wanafaulu. Mimi sisomi story za how to be rich, i have no desire to be rich. Hivyo sidhani kutokusoma vitabu napotea au napoteza, i think this is a choise one should make, not obliged to.
Wewe soma uelimike, sina interest ya elimu hizo na sioni kupwaya kwenye jamii hii ninayoishi mimi.
You are absolutely right, ninatafuta mlo wangu na familia yangu tu. Tukishiba tunasema asante Mungu tunalala tunasubiri our next meal. I have no desire to know anything extra from what I already know. As I said I have no desire to be a rich person, or a politician. Taaluma yangu inanipa mlo ns ninaridhika yani niko safi kabisa.If life for you is just to get the next meal, then uko sahihi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
You got it men. There are people here trying to make me be like them, I am happy for whom I am till further notice,lol.Mkuu binafsi nimekuelewa! Just live your life as long as ur happy and confortable..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hiyo kaz unayofanya, how do you keep yourself updated?, Sasa naona waniaminisha kwa Nini wafanyakazi wengi kwenye maofisi mengi, utendagi wao upo chini ya kiwango, and tu local..poor customer care, kufanya Kazi kwa mazoea na kujifuta kwingi etc.. Ni wangapi walio kama Wewe wako kwenye maofisi??Kwel ww mtu uliye elimika na upo kazin bado hajui uhim wa kujua wawazo ya watu wengine, au watu wangine wanafanyeje Kazi kama ya kwako? Kusoma vitu sio lazima usime vitabu vya kuwa tajir.You sure you such depressed kiasi kwamba unachotaka tu Ili siku iende, kweli?You are absolutely right, ninatafuta mlo wangu na familia yangu tu. Tukishiba tunasema asante Mungu tunalala tunasubiri our next meal. I have no desire to know anything extra from what I already know. As I said I have no desire to be a rich person, or a politician. Taaluma yangu inanipa mlo ns ninaridhika yani niko safi kabisa.