Hahaha one of the client was our current president. I believe he feels happy to have saved our president .Hata babu wa Loliondo clients wake walikuwa very happy alipokuwa akiwanywesha mavikombe yake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona watu hutaja list ya vitabu, walivyosoma 2018.
Mimi tangu 2001 sijasoma kitabu chochote zaidi ya heading za magazeti vituo vya mabasi.
Life iko vizuri tu, naomba niione tofauti yangu na wao. Naona niko sawa tu au ninatatizo nisilolifahamu.
Waungwana msaada.
Yani sijapungukiwa chochote so far, wao wanasema eti sijitambui na sijui yajayo na yanayoendelea. Mimi niko safi kabisa.Wewe bwana fanya yamo hamna lolote hivyo vitabu cha msingi mwanawane una uhai una gegeda yatosha vingine vyote ubatili tuu. Kwani usiposoma unapungukiwa nini
Yani sijapungukiwa chochote so far, wao wanasema eti sijitambui na sijui yajayo na yanayoendelea. Mimi niko safi kabisa.
Hahaha na hatuwezi kulingana, acha wao waendelee kusoma mimi mpaka waweke mitihani, bila hivyo sielewi.wewe bwana sachana nao ....binadamu wana mbwembwe nyingi zisizokuwa na msingi wowote, sana sana ni kutaka kuzifurahisha ego zao kuwa oh mie msomi. hamna lolote mwana wewe cha msingi uhai na kugegeda. tutange maisha tuu vitabu vya nini
Hahaha na hatuwezi kulingana, acha wao waendelee kusoma mimi mpaka waweke mitihani, bila hivyo sielewi.
Shukrani hizo beer kunywa kwa niaba yangu.hahahah asante kaka umemaliza. ningekupa ofa ya bia ila duh mie mwenyewe hapa natoka upupu tuu
Hahaha kuna miaka fulani huko nyuma vijana walikuwa wanabeba Novel kubwa kubwa hii ilikuwa inawafanya waonekane wasomi, lakini Novels hizo walikuwa hawazisomi. Ilikuwa fashion nayo ikapita. Nadhani kuna watu humu licha yakwamba tunatumia fake ID lakini bado hawasemi ukweli wanahisi wataonekana wajinga au vilaza. Mimi siogopi kusema ukweli maana huo muda wa kusoma sina na sioni sababu ya kunifanya nisome, au niende maktaba kubanana na wanafunzi eti nashindilua knowledge mpya nitakuwa najidanganya mimi.Bora wewe sio mnafiki tulio wengi tunajisomea/tulijisomea kwa kuwa kuna mtihani, interview au presentation darasani au maofisini..huu ndo ukweli mchungu
Hahaha na wasome tu, kama wanaufahamu mkubwa ni vizuri watusaidie kutatua matatizo yetu. Ila mimi elimu yangu ilikuwa nipate vyeti kisha kazi. Ninayo kazi na kazi haibadiriki na haijabadirika kwanini nisome?! Yani kila siku kazi ile ile halafu nisome, duh.Sasa mtu kama mimi Maktaba tu kuanzia Darasa la Kwanza hadi namaliza chuo kikuu sikuwahi kwenda kujisomea vitabu.Leo hii hiyo tabia ya kujiongezea Mavitabu na maratiba ambayo faida yake ni ufahari tuu Thubutu nyie someni tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hii fashion itapita tu kama juliana, bugaluu, travota, lakupanda/lakuchumpa. Kulikuwa na walkman enzi hizo, leo wanasikiliza ipod, naamini watajaacha tu.Kuorodhesha vitabu mwisho wa mwaka imekuwa fashion tu lakini ukipata wasaa wa kukaa na hao wasoma vitabu huwezi hata kuona tofauti yao kwenye ku-reason,thinking na mtazamo kuhusu maisha au mafanikio kwenye career zao na maisha yao ni haya haya tu kama wasiosoma! Kidogo kwa wanaowasoma kina Kiyosaki and the likes
Kweli kiongozi,mimi nakumbuka nasomea mtihani tuu.Wale wazee wa kuongeza Maarifa kutwa Maktaba halafu hakuna tuzo kwa kusoma sana vitavu.Tuzo tunabeba tuliochana Paper na cleansheet vyuoni.Hahaha na wasome tu, kama wanaufahamu mkubwa ni vizuri watusaidie kutatua matatizo yetu. Ila mimi elimu yangu ilikuwa nipate vyeti kisha kazi. Ninayo kazi na kazi haibadiriki na haijabadirika kwanini nisome?! Yani kila siku kazi ile ile halafu nisome, duh.
Hahaha wanataka wawe matajiri, Dr.Mengi kawaongezea kitabu, ngoja wasome tuone wanavyoibuka.Kweli kiongozi,mimi nakumbuka nasomea mtihani tuu.Wale wazee wa kuongeza Maarifa kutwa Maktaba halafu hakuna tuzo kwa kusoma sana vitavu.Tuzo tunabeba tuliochana Paper na cleansheet vyuoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Plz 'mind your English' several mistakes noted.Hahaha one of the client was our current president. I believe he feels happy to have saved our president .
Hata kusoma hadithi au tamthilia? Vipi masuala ya dini, Biblia au Kuraan?Hahaha bado nafikiria nikiyajua hayo mengine nje ya taaluma yangu nitayaapply wapi?! Kusoma bila purpose naona nikujitesa.