- Thread starter
- #141
Hahaha umekisea nilipata elimu na career inayonipa kula.Amesoma zaidi ya miaka 17 hadi kumaliza chuo, hajapata chochote. Bora aachane tu na vitabu
Hahaha umekisea nilipata elimu na career inayonipa kula.Amesoma zaidi ya miaka 17 hadi kumaliza chuo, hajapata chochote. Bora aachane tu na vitabu
Nilijua nilichojifunza na ninakifanyia kazi, sioni kwanini nijifunze kitu kingine."Ni vyema kujifunza mengi na sio kujua kila kitu"
Mkuu uko fresh tu, kusoma magazeti na Jf inatosha, ongezea na career yako kiaina (sio lazima)
Nilijua nilichojifunza na ninakifanyia kazi, sioni kwanini nijifunze kitu kingine.
Hahaha bila mtihani sitaelewa, ndio tatizo langu.Mkuu fanya ujaribu kusoma then ukiona havina faida piga chini, sio kiila kitu usimuliwe wakati kusoma unaweza.
Jaribu ujionee faida zake, ukiona hasara piga chini
Huyu Kiyosaki ni mtunzi tofauti na vitabu vyake vinatofauti gani na watunzi wengine?!Kuorodhesha vitabu mwisho wa mwaka imekuwa fashion tu lakini ukipata wasaa wa kukaa na hao wasoma vitabu huwezi hata kuona tofauti yao kwenye ku-reason,thinking na mtazamo kuhusu maisha au mafanikio kwenye career zao na maisha yao ni haya haya tu kama wasiosoma! Kidogo kwa wanaowasoma kina Kiyosaki and the likes