Mimi sijasoma kitabu hata kimoja tangu nimalize chuo.

ni sawa kuingia JF,ukisoma vitabu unafundishwa mambo mbali mbali ya ulimwengu huu,kuwa entertained,kupass time,kutibika..etc
Hahaha kusoma vitabu bila purpose kwangu naona adhabu, nilizoea chuo napewa summary za lecture sasa nisome wakati hakuna mtihani sidhani hata kama ntaelewa.
 
mkuu punguza kasi aisee utamfanya apate mfadhaiko wa moyo
Hahaha mi naishi vizuri sana, siogopi traffic police barabarani, silipii road license, silipii insurance, sina fire extinguisher wala triangle. Sibadirishi oil, wala sinunui tairi, sasa mafita ya gari ndio hata bei yake sijui.
 
Hahaha kusoma vitabu bila purpose kwangu naona adhabu, nilizoea chuo napewa summary za lecture sasa nisome wakati hakuna mtihani sidhani hata kama ntaelewa.

purpose ni kuwa entertained,educated,mfanokuna zile manual zinakufundisha juu ya kujitibu au kupika,lol pass time,release stress,,,,etc
 
Hahaha mi naishi vizuri sana, siogopi traffic police barabarani, silipii road license, silipii insurance, sina fire extinguisher wala triangle. Sibadirishi oil, wala sinunui tairi, sasa mafita ya gari ndio hata bei yake sijui.
aikatai mkuu#gdlf
 
f37bdcfcc36250acce93a74bce8848ab.jpg
 
purpose ni kuwa entertained,educated,mfanokuna zile manual zinakufundisha juu ya kujitibu au kupika,lol pass time,release stress,,,,etc
Kuna entertainers sioni how kitabu kitani entertain, niliishakuwa edicated tena nikawa tested na nika faulu nika graduate. Mimi husoma kama kuna mtihani bila hivyo sioni purpose yoyote, maana sina motive yoyote na mavitabu. Kupass time labda niangalie mpira. Stress hizo sina kabisa.
 
if you want to hide something from a black person, put it in a book
I agree with this statement. I have no desire to open a book for any reason whatsoever. I see that habit like self torture.
 
Kuna entertainers sioni how kitabu kitani entertain, niliishakuwa edicated tena nikawa tested na nika faulu nika graduate. Mimi husoma kama kuna mtihani bila hivyo sioni purpose yoyote, maana sina motive yoyote na mavitabu. Kupass time labda niangalie mpira. Stress hizo sina kabisa.
You are right boss!!
carter-lee-how-do-you-manage-to-stay-cool-all-29766422.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna entertainers sioni how kitabu kitani entertain, niliishakuwa edicated tena nikawa tested na nika faulu nika graduate. Mimi husoma kama kuna mtihani bila hivyo sioni purpose yoyote, maana sina motive yoyote na mavitabu. Kupass time labda niangalie mpira. Stress hizo sina kabisa.

mnhhhh kuna vitabu vinaentertain,kama huvitafuti sio kwamba havipo,education sio kuwa na cheti peke yake..tena cheti cha miaka hiyooo..dunia inaenda ikibadilika,environment ina change ...ni vizuri kujua kinachoendelea duniani,new inventions...regularily ujiupdate…..sasa kwa nini ulienda chou..uka 'elimika' through books?? kama huoni umuhimu wa vitabu,si ungekaa nyumbani?lol
 
Hahaha kule shule au chuo walikuwa wananipima kama naelewa au sielewi au sijaelewa kupitia mitihani. Baada ya wao kusema ninaelewa na waka approve nika graduate nikaona nimeshusha mzigo, sasa huo wa wengine. Sasa leo hii bado niendelee kujufunza kupitia vitabu?! Nini hicho nataka kujua na kwa nini?! Binadamu unapaswa kufikia wakati u-relax ufurahie maisha, kilasiku mambo mapya kichwani duh poleni. Mimi nimechagua kupumzika, sitaki kijitesa kubeba vitabu umri huu, yani hata biblia sisomi, acha padri, mchungaji, pastor au nabii wasome waje wanisimulie kanisani.
Mi naona life inaenda na sioni tofauti kabisa yani.
 
Back
Top Bottom