hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,266
Fact . .Huwezi kuwa sawa na anaesoma vitabu kila siku wakati wewe umesoma mara ya mwisho 2001. Hata kama maisha yanaenda poa ila usiseme eti mko sawa.
Kwangu mimi naamini siwezi kuwa well informed na kujua mambo kama sisomi vitabu, majarida n.k
Ukitaka hata kujenga hoja huwezi kwenda sawa na anaesoma maana mwenzio anajua mambo kibao ambayo wewe hujui hata kama yana exist
Sent using Jamii Forums mobile app