Mwalimu ana kazi ngumu sana hasa kwa mazingira ya Tanzania na kwa kizazi hiki ambacho mtoto hapigwi sio na mzazi,jirani wala mwalimu na hii imewafanya watoto kuwa na viburi visivyoelezeka,mie kipindi nasoma nilikuwa mkorofi...mkorofi haswaa hivi kwa ujinga wangu nilirukaruka nikadance na nawashukuru walimu wangu hawakuwa wavivu kunipiga na pia mama yangu alikuwa amenikabidhi kwa walimu nikawa chini yao,nilikuwa napigwa kutokana na kiburi but ilivyo ni kwamba umri ule nikiona kama naonewa ila sasa nimekuwa mkubwa umuhimu wa zile adhabu nimeuona na nilishazikubali kwamba nilizistahili...well ilinisaidia japo kwa sasa mwanga nauona but wale tuliokuwa tukifanya upumbavu wote wakawa wanazikimbia adhabu za walimu sasa hawana future wengine wanakunywa viroba kupindukia yaani wapo wapo tu.my point is,mzazi mtoto wako akiadhibiwa usikimbilie kumlaum mwalimu angalia ninini hasa kilichomsababishia adhabu,mtoto kupewa homework asiifanye ni kosa na dharau kubwa kwa kiongozi wake inampasa adhabu na mfundishe kuzikubali adhabu hakuna mwalimu kichaa wakumuadhibu mwanao kama huyo mwanao hajamjibu shit,mtoto akifail mwalimu anashushwa cheo na maneno yote mabovu ila mzazi hujui kwamba kuzuilia adhabu za mwanao anageuka mbumbumbu akirudi nyumbani kuendesha bodaboda akapata ajali...mawili kifo au ulemavu vyote ni hasara kwa taifa,personally nazikubali adhabu za mwalimu na mtoto wangu akileta ujinga atapewa adhabu bila huruma yoyote.