Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Umeishakuja shule, lazima uwe mwanafunzi.

Habari ya kuanza kujitutumua kisa umeanza kuwa na kijibesi, ntakuvunja dunia yote inilaumu.

Mwanafunzi unapiga ngumi mwalimu!!!!!!!!, mwalimu what!!!!! Aisee ..........
Sawa sawa, mwalimu ndiye babako/mamako, uncle/aunt hata Babu.....
 
nyie vijiwalimu vya BRN tabu sana...

kufundisha hamjui, adabu hamna, kiingereza hamuwezi...

mnachoweza ni kuvaa milegezo na kupaka poda tu.

ndio maana wanafunzi wanawadharau, ... mnacho deliver madarasani ni hovyo hovyo ....

kiama chenu kimefika, mtaendelea kunyooshwa mpaka mtajuta kuwa waalimu.
Mkuu tunaomba utimize ulichoambiwa na mtoa mada,yani tunaomba ile post yako ije kwa kiingereza tafadhali sana
 
Tunataka walimu kama wewe ambao mnatoa dozi mpaka mtoto anakuwa na maadili kwanza hamna mwalimu kichaa wa kupiga mwanafunzi bila kosa halafu kama mzazi analialia na mwanae mpeni mtoto wake wakafundishane Visingeli kwake ili walaumiane wenyewe badae na asiombe ushauri kuwa mwanangu kabadilika sana siku hizi sijui nifanyaje..
Yes, kama unaona mwanao malaika kaa nae home umfundishe
 
Taifa limestushwa kwa kuchapwa
Makofi Mwanafunzi wa Mbeya
Day kuliko vifo vya Watafiti wa
kilimo kule Dodoma kwa
kuchomwa Moto wakidhaniwa
wanyonya damu.


Tukio la Mbeya limesahaulisha swala la Tetemeko la ardhi.



Mtoto mjinga anapaswa kula bakora hadi ujinga umtoke.
Halafu kweli!!! Watafiti mawaziri hawajalisemea hivyo
 
Kabisa.
Hata wasemeje, bakora ziko palepale.
Hawataki, wawahamishe shule.
Mtoto wako aniletee ujinga?...bakora tu na mateke mpaka anyooke, maana hamna namna.
Kila mzazi achukue mwanae wakae home wafundishwe nyumbani...
Masomo yenyewe mbona rahisi tu kingereza, kiswahili, hesabu kwani kuna mzazi asiejua haya masomo 😀
 
Juzi huko Kanda ya kati mtu kapelekwa mochwari akiwa hai watu mpo kimya huyu mwanafunzi kuzabwa tu vibao mapovu yajawatoooka, ndo shughuli ya watz kupigia kelele vitu visivo na kichwa wala miguu.....
Ingekua na ishu za maana tunashupaza shingo hivi tungekuwa mbali
Point!!!.....au kisa haijarushwa wasap!
 
Mi nimekuelewa vema na ninaelewa pia.....
Juzi juzi hapa kuna mitoto kama sita ilimfata mwalimu nyumbani kwake ikataka kumpiga eti wamepigwa viboko vinne vinne wapo shule adhabu nyingine wanasubiri bodi ya shule ikae huu si usengerema.
Kuna nyang'au jingine nililichapa baada ya hapo likaubusu mkono nilitamani kupasuka kwa hasira ilibidi nirudi kulala.
Mie kwenye hii ishu sioni cha ajabu wala
lilimlavu Madam
 
we chambua wanafunzi kama Katanga wee...wanafunzi wa digital woboa.
 
Siasa ndio inaharibu sana jamii, hivi yule amkubwa alieamrisha WAPIGWE tu alibainisha umri? Alisisitiza kuwa kila avunjaye sheria na APIGWE maana hakuna namna, mwalimu katimiza. Viongozi wanapoongea jambo wajifunze kujitafakari si kuropoka tu.
Mwalimu Frank kifungu cha kujitetea!
 
Kila mzazi achukue mwanae wakae home wafundishwe nyumbani...
Masomo yenyewe mbona rahisi tu kingereza, kiswahili, hesabu kwani kuna mzazi asiejua haya masomo 😀
Nashangaa.
Hata asiyeweza kusoma, nina imani hawezi zidisha au punguza chenchi.
Watutolee shombo lao hapa.
Kwanza sio lazima wote wajue kusoma, nani atamfundisha mwenzie wote wakielimika?

Ukute wengine hapa wanao-comment upuuzi hata hao wazazi wao hawajui kuumba kiumbo.
Wanadhani ualimu kama kuuza karanga, kila mpita njia lazima anunue?
Wakajambie kushoto huko
 
Watz kwa kupigia kelele vitu vya kijinga ndo wenyewe
China wamezindua treni ya umeme Ipitayo hewani.
Sie huku badala ya kuona tutafikaje huko, japo kwa kuibia, kutwa ku-discuss upuuzi, walimu walimu, kwani wazazi wao wamefundishwa na ngedere?
Mbona wamefundishwa na walimu na wako na kazi za maana mpaka sasa, hata kama wana vyeti feki, kufikiri kutumia cheti feki, nayo ni akili tosha ya darasani.
Maana nina imani mpumbav.u asiyejielewa hawezi kufikiri chochote katika ubongo wake mkavu.
 
Nina mshkaji wangu mwalim,tulikuwa tumepanga nyumba moja sasa siku moja amerudi home kavimba vimba uso nikamuuliza vipi umepata ajali? mwanzo akanificha lkn baadae alipotulia akaniambia wanafunzi hao wamemkongoli, dah ilibidi nicheke tu kwa huruma
Ndicho wazazi wao wanatetea hapa
 
  1. Mtoa mada ananifurahisha na hizo comments zake.. Ila nilichokigundua waalimu ni kama wanasapoti mwalimu mwenzao but anyway mwanafunzi kuleta jeuri kwa mwalimu ni kosa na pia mwalimu kutoa adhabu isiyo ya kiuanafunzi kwa mwanafunzi ni kosa
 
Kazi ya ualimu ni ngumu sana na kwasasa naona dalili zote za ugumu kuongezeka na mmomonyoko wa maadili kuongezeka .Sasa hivi zaidi ya asilimia 80% ya malezi ya watoto wetu yanarekebishwa shuleni au kuharibikia shuleni. Wazazi hatukai na watoto wetu, tunawapeleka boarding schools toka chekechea na hata wakija likizo hatuongei nao muda wote tupo busy na kazi na maisha. Waliopo day nao hatushindi nao hata weekend tupo busy na mambo mengine ya dunia. NITAKUSHANGAA SANA WEWE UNAYEBEZA WALIMU WETU.
 
Back
Top Bottom