Nikutoe tu mashaka na Akili uliyo jiwekea Make uh just putting yourself in troubles
Naweza sema kitu kimoja Ambacho ukielewe ..kwanza cjui kama kweli wew ni Mwalimu.. pili walimu ni wito hakuna aliye kulazimisha. na kwatafsir tuliyonayo hapa tanzania juu ya walimu ni Watu walio kosa option Katika elimu zao na kuangukia kwenye tasnia ya Elimu...ila sio kwa wote wenye mawazo ayo.
tatu... either umeona mtu ame post kwenye magroup na wew ukaona ufanye copy and past i dont know make aya nihusu
Point yangu ni kwamba.. Wew ni mwalimu Let say mm ni mwanafunzi wako unapotaka kuni Adhibu kwa sheria na taratibu za shele hakuna mwanafunzi Atakaye kaidi hiyo ni kwa 95% make hata sis tu wai kua wanafunz
Ninapo kosea na unataka uni Adhibu nitakuba lakin Eti Kisa Wew kuna mwalimu wakike unamfukuzia au unampenda / unamahusiano na unataka uoneshe uana ume wako kupitia mim badala ya mkiwa falagha...
Mm nacho weza kusema Mtanifukuza shule hasira za mishahara sijui makato Au familia uwezi kuniletea Mm I swear to God badala Ya mwalimu kutafuta nita tafutwa mim...
HATA shule niliyo kuwa na Somea Walimu walinitambua vizuri Nitakapo simamia haki yangu Aiseeee Ni bora ukamuita mzazi kuliko kutumia nguvu... make nitakupasua Afu nanyie amkurupukagi mnaangaliaga kwanza background ya mwanafunz eti kisa mpole.... Mim second master mwenyewe alileta ujuaji zaidi kuliko sheria na kusimamia haki alijuta kwann alitenda vile mbele ya pared