Mi nimekuelewa vema na ninaelewa pia.....Evelyn Salt nimejipanga !! staki kutishika na mihemko ya watu humu !!
kipindi Fulani humu kila mtu alikuwa mchambuzi wa bombardier hata ambao hawajawai panda ndege!!
kete imetugeukia kila mtu anajua ethics za ualimu !!
Tz ni shida.
😀😀😀😀😀😀😀Evelyn Salt kwajinsi nilivyo huyo aliyebusu mkono wako , sasa hivi ungekuwa unaona tangazo la kumbukumbu ya kifo chake BANGO na TBC. Thanks to God hatupo shule moja!!! *****!!
Imebidi nicheke tuMimi pia ni mwl wa malezi !! nahakikisha kuwa bikra ya mkeo mtarajiwa iko salama bado mnatutibua !!! CAN'T YOU CALCULATE THE RISK YOU PEOPLE?
Umenichekesha sana uliposema msako wa mwalimu ni mkubwa kuliko lugumi, punguza hasira ni kweli inaudhi sana kudhalilishwa na mtoto tena mbele ya watoto wenzake, ila tujiulize ile heshima kwa mwalimu iliyokuwepo zamani imeenda wapi? nani kasababisha ikaondoka? Zamani mwalimu alikuwa anaheshimiwa hata na mzazi wa mwanafunzi why now haiko hivyo? walimu nanyi hebu nitahminini kwanza.mpaka kieleweke !!
make naona Msako wa Mwl Frank ni mkubwa Kuliko LUGUMI
Heshima ya mtumishi yeyote hupandishwa na kushushwa na wanasiasa!! jiandae na hii thread ntaileta soon !! nitakutag worry out.Umenichekesha sana uliposema msako wa mwalimu ni mkubwa kuliko lugumi, punguza hasira ni kweli inaudhi sana kudhalilishwa na mtoto tena mbele ya watoto wenzake, ila tujiulize ile heshima kwa mwalimu iliyokuwepo zamani imeenda wapi? nani kasababisha ikaondoka? Zamani mwalimu alikuwa anaheshimiwa hata na mzazi wa mwanafunzi why now haiko hivyo? walimu nanyi hebu nitahminini kwanza.
Naisubiri bali ombi langu bado nalisisitiza, jaribu kukaa na walimu wenzako mjiulizw why now?! kuna nini tatizo ni watoto au elwalimu?!maana kwa kweli wanafunzi wa sasa ni shida.Heshima ya mtumishi yeyote hupandishwa na kushushwa na wanasiasa!! jiandae na hii thread ntaileta soon !! nitakutag worry out.
Wale wengine walikuwa wanamtia lockKumpiga ukiwa peke yako afadhali sio unaenda kuita kikundi cha walimu waje hili mumchangie mtoto mdogo Kama Yule Kwanza nikuji dhalilisha wanaume watatu mnamchangia mvulana mmoja ambaye hana hata kiwembe
nimesema wapi Mimi mkurya !! nimesema nina ukurya .....unatabia za kike sana!!Acha upuuzi ww mkurya gani msen...nge asye na utu nadhani hata kama ww ni mkurya utakuwa hauna dam ya ukurya ww maana ss wakurya tunao huu msemo "" omona woonde no wao"" maana yake mwana wa mwenzio ni sawa na mwanao kwa hiyo ustafute sifa za kijinga kwa kigezo cha ukabila wakurya hatuna unyama huo japo jina letu linaoneshwa kuwa ss ni wakorofi!!!
Mimi ni mwalimu by profession, tena wa zamani na sasa. Nimeelewa sana point yako ndugu.Ni kweli, zama za kulazimishana kusoma zilipitaga enzi za nyerere. Mimi pia nilisoma na watukutu waliojipindia vibaya, lakini wakikanyaga eneo la shule ni discipline kwenda mbele, kwasababu ilikuwa ukileta ujinga Headmaster anampigia simu babaako aje kukuchukua usiwapotezee watu muda. Swala la academy ndio usiulize, muhula ukianza mwalimu anatoa syllabus na anakwambia vitabu gani usome. Hakukuwa na haja ya kupigana vibao kwasababu hukufanya homework, utajijua mwenyewe kwasababu end of the year ukiwa bellow 50% inabidi utafute shule nyingine. Kusoma ni hiyari, vijana wanatakiwa waeleweshwe umuhimu wake, sio kupigwa.
sijapost kama mkurya bali mwalimuAcha upuuzi ww mkurya gani msen...nge asye na utu nadhani hata kama ww ni mkurya utakuwa hauna dam ya ukurya ww maana ss wakurya tunao huu msemo "" omona woonde no wao"" maana yake mwana wa mwenzio ni sawa na mwanao kwa hiyo ustafute sifa za kijinga kwa kigezo cha ukabila wakurya hatuna unyama huo japo jina letu linaoneshwa kuwa ss ni wakorofi!!!
Achana NAHOO?! nawe ni mwalimu?! kama ndio basi lazima wanafunzi wawe manunda maana hata somo la kiswahili unashindwa kumfundisha unategemea atakuheshimu kweli?Moghisa achana nahooo,,