Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

walimu nyie!
ninawachukiaga sana, unakuta kosa halihitaji ata adhabu bali ni kumshauri tu mwanafunzi ila mnakimbilia kumchapa. ndo maana wengi wenu mnaishia kulalamika tu. Na kama mnamachungu na elimu sa kwanini mliishia kuwa walimu!
Ulivomalizia umeonesha PURE STUPIDITY !! yako
 
Wasalaamu wakuu!!

kwanza kabisa napenda kuwa omba mods wasiunganishe huu Uzi licha ya trend tuliyonayo, kwani Mimi ni mwalimu naomba nieleze nilivyo, yes waalimu tulivyo.

Napenda kutoa pole yangu ya dhati kabisa kwa mkuu wa shule kwa yaliyomfika, waalimu waliofikwa na janga na mtoto aliyepatwa.

maisha ya shule yana mengi, nadhani na pia ni hakika kuwa wengi humu tumepita shule ( ndio, hata la saba ni shule), Mimi kama mwalimu na kwa uzoefu wangu niliokaa kazini ningeweza kumwadhibu mtoto kama huyo wa mbeya kwa sababu zifuatazo;
(a) Ameonesha kunigomea mbele ya wanafunzi wenzake.
Kama kawaida hakuna mtu mzima yeyote ambaye anapenda kudhalilishwa mbele ya watoto.
Inatokea mwlm unataka kutoa adhabu kwa mwanafunzi eidha kwa kuwa ana kidemu chake darasani anaamua kuonesha dharau na migomo ya waziwazi. Hapo mi ambacho nafanya ni kupiga kama naua NYOKA ili wenzake wakiona wasijiingize kwenye kosa kama lake kamwe. HII INAITWA HESHIMA KWANZA, KAZI BAADAE.

(b) Mwanafunzi ameletwa Ofisini na Mwalm A ambaye anaonekana mnyonge au mpole hana makuu kwasababu hiyo mwanafunzi anamgomea adhabu eidha ya kupiga magoti au kuchapwa! wanafunzi wa aina hiyo Mimi huwa naomba SUB then naagiza mzigo wa kuni badala ya kupikia nabadili matumizi kwa manufaa ya ofisi.

(c) Nimetoka kwenye ATM nakuta mshahara Wangu umekatwa Tsh 60000 bila maelezo ya msingi, narudi shule nakutana na mtoto aliyeshindikana kwao kajichanganya mbele yangu hapo lazima ni convert tsh 60000 to 60000 sticks of coplar punishment.

Mnaojifanya kutetea humu wengi wenu hii kazi ya ualimu hamuijui au mnadhani kwa vile watoto wenu wanapenda shule, basi mnahisi ni wote dunia nzima.

Hakuna mwalimu kichaa hapa duniani ambaye mtoto hajagomea au kusumbua kupokea adhabu, atapigwa kiasi kile.

wito wngu.

waalimu wenzangu, pesa hatuna bado tunatafutwa kufungwa, unapopiga hakikisha kamera ya simu yako iko ofu.

Mpaka pale wanaotokwa mapovu hapa JF watakapowafunza maadili mema watoto wao na fimbo zitafutika zenyewe.

Kwa ukurya nilionao, ujinga darasani + ukorofi mwanao alionao, ACHUNGE SANA.
Wewe sio mwalimu unadanganya tu. Hayo yote uliyoeleza mwalimu hawezi kufanya . Mwalimu ni zaidi ya kufundisha, ni mlezi, tena anaweza kuwa mlezi mzuri kupita hata wazazi wa mtoto. Hapo (c) ndipo umeonesha usivyo na busara. Kama umekatwa 60,000/- bila maelezo linamhusu vipi mwanafunzi mkorofi. Ungeenda kwa mwajiri wako ukamkung'uta kwa kukukata 60,000/- bila maelezo hapo kidoogo ningekuelewa. Na najua hutathubutu kufanya hivyo kwani unajua kitakachokupata.
 
Mtawapiga haohao...mimi bado sijawa na mtoto wa kuja kufundishwa na wendawazimu kama nyie.
Akifikia huko nitampeleka shule za maana atakakofundishwa na sio kupigwa.
Hapo sawa, na uwe mzazi bora mlee mwanao katika misingi na maadili mema. Mwendawazimu ni yule aliyeshindwa kumlea mwanae wa kumzaa
 
Taifa limestushwa kwa kuchapwa
Makofi Mwanafunzi wa Mbeya
Day kuliko vifo vya Watafiti wa
kilimo kule Dodoma kwa
kuchomwa Moto wakidhaniwa
wanyonya damu.

Tukio la Mbeya limesahaulisha swala la Tetemeko la ardhi.

Mtoto mjinga anapaswa kula bakora hadi ujinga umtoke.
 
Mimi pia ni mwl wa malezi !! nahakikisha kuwa bikra ya mkeo mtarajiwa iko salama bado mnatutibua !!! CAN'T YOU CALCULATE THE RISK YOU PEOPLE?

Mkuu

Hongera sana kwa kuwanyoosha hao watoto... Wazazi tumeshindwa malezi, unakuta baba hawezi hata kumkemea mtoto.....

Nasema mtoto fedhuli kama yule dogo alistahili kuadhibiwa kifedhuli kama walivyomfanyia... Haiwezekani kulea ujinga ... mwisho tunazalisha Taifa la hovyo hovyo.
 
walimu nyie!
ninawachukiaga sana, unakuta kosa halihitaji ata adhabu bali ni kumshauri tu mwanafunzi ila mnakimbilia kumchapa. ndo maana wengi wenu mnaishia kulalamika tu. Na kama mnamachungu na elimu sa kwanini mliishia kuwa walimu!
Wanaofundisha vyuo vikuu sio walimu au unaimanisha wapiii??
 
waalimu wenzangu, pesa hatuna bado tunatafutwa kufungwa, unapopiga hakikisha kamera ya simu yako iko ofu.

Mpaka pale wanaotokwa mapovu hapa JF watakapowafunza maadili mema watoto wao na fimbo zitafutika zenyewe.

Kwa ukurya nilionao, ujinga darasani +ukorofi mwanao alionao, ACHUNGE SANA

Tumevurugwa 😀😀😀😀😀😀😀
 
Mshahara kukatwa ndio asira upeleke kwa mwanafjnzi, segerea itakuhusu
 
Juzi huko Kanda ya kati mtu kapelekwa mochwari akiwa hai watu mpo kimya huyu mwanafunzi kuzabwa tu vibao mapovu yajawatoooka, ndo shughuli ya watz kupigia kelele vitu visivo na kichwa wala miguu.....
Ingekua na ishu za maana tunashupaza shingo hivi tungekuwa mbali
 
Mkuu

Hongera sana kwa kuwanyoosha hao watoto... Wazazi tumeshindwa malezi, unakuta baba hawezi hata kumkemea mtoto.....

Nasema mtoto fedhuli kama yule dogo alistahili kuadhibiwa kifedhuli kama walivyomfanyia... Haiwezekani kulea ujinga ... mwisho tunazalisha Taifa la hovyo hovyo.
mkuu count on me !!
sina mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi coz my wife is so beautiful !!
lakini suala la ukorofi naapa kulala nao mbele ( in magufuli's voice)
afadhair awe mjinga but anajiheshimu !! nawezs sema kazi ya Mungu haina makosa !!
Lakini mwanao popoma lakin korofi... hapana.
 
waalimu wenzangu, pesa hatuna bado tunatafutwa kufungwa, unapopiga hakikisha kamera ya simu yako iko ofu.

Mpaka pale wanaotokwa mapovu hapa JF watakapowafunza maadili mema watoto wao na fimbo zitafutika zenyewe.

Kwa ukurya nilionao, ujinga darasani +ukorofi mwanao alionao, ACHUNGE SANA

Tumevurugwa 😀😀😀😀😀😀😀
Evelyn Salt nimejipanga !! staki kutishika na mihemko ya watu humu !!

kipindi Fulani humu kila mtu alikuwa mchambuzi wa bombardier hata ambao hawajawai panda ndege!!
kete imetugeukia kila mtu anajua ethics za ualimu !!
Tz ni shida.
 
Back
Top Bottom