baada ya [HASHTAG]#bombarder[/HASHTAG] au nakosea Evelyn Salt .Tumeingia kwenye top ten ya wiki hii
Mwalumu kweli umeguswa mpaka unasahau spelling sahihi. Copral punishment ndo nn??Wasalaamu wakuu!!
kwanza kabisa napenda kuwa omba mods wasiunganishe huu Uzi licha ya trend tuliyonayo, kwani Mimi ni mwalimu naomba nieleze nilivyo, yes waalimu tulivyo.
Napenda kutoa pole yangu ya dhati kabisa kwa mkuu wa shule kwa yaliyomfika, waalimu waliofikwa na janga na mtoto aliyepatwa.
maisha ya shule yana mengi, nadhani na pia ni hakika kuwa wengi humu tumepita shule ( ndio, hata la saba ni shule), Mimi kama mwalimu na kwa uzoefu wangu niliokaa kazini ningeweza kumwadhibu mtoto kama huyo wa mbeya kwa sababu zifuatazo;
(a) Ameonesha kunigomea mbele ya wanafunzi wenzake.
Kama kawaida hakuna mtu mzima yeyote ambaye anapenda kudhalilishwa mbele ya watoto.
Inatokea mwlm unataka kutoa adhabu kwa mwanafunzi eidha kwa kuwa ana kidemu chake darasani anaamua kuonesha dharau na migomo ya waziwazi. Hapo mi ambacho nafanya ni kupiga kama naua NYOKA ili wenzake wakiona wasijiingize kwenye kosa kama lake kamwe. HII INAITWA HESHIMA KWANZA, KAZI BAADAE.
(b) Mwanafunzi ameletwa Ofisini na Mwalm A ambaye anaonekana mnyonge au mpole hana makuu kwasababu hiyo mwanafunzi anamgomea adhabu eidha ya kupiga magoti au kuchapwa! wanafunzi wa aina hiyo Mimi huwa naomba SUB then naagiza mzigo wa kuni badala ya kupikia nabadili matumizi kwa manufaa ya ofisi.
(c) Nimetoka kwenye ATM nakuta mshahara Wangu umekatwa Tsh 60000 bila maelezo ya msingi, narudi shule nakutana na mtoto aliyeshindikana kwao kajichanganya mbele yangu hapo lazima ni convert tsh 60000 to 60000 sticks of coplar punishment.
Mnaojifanya kutetea humu wengi wenu hii kazi ya ualimu hamuijui au mnadhani kwa vile watoto wenu wanapenda shule, basi mnahisi ni wote dunia nzima.
Hakuna mwalimu kichaa hapa duniani ambaye mtoto hajagomea au kusumbua kupokea adhabu, atapigwa kiasi kile.
wito wngu.
waalimu wenzangu, pesa hatuna bado tunatafutwa kufungwa, unapopiga hakikisha kamera ya simu yako iko ofu.
Mpaka pale wanaotokwa mapovu hapa JF watakapowafunza maadili mema watoto wao na fimbo zitafutika zenyewe.
Kwa ukurya nilionao, ujinga darasani + ukorofi mwanao alionao, ACHUNGE SANA.

Yeah...baada ya [HASHTAG]#bombarder[/HASHTAG] au nakosea Evelyn Salt .
kama unajiamin kwa kiingereza post tena kwa lugha hiyo then twendelee !! members wengine watajaji !!nyie vijiwalimu vya BRN tabu sana...
kufundisha hamjui, adabu hamna, kiingereza hamuwezi...
mnachoweza ni kuvaa milegezo na kupaka poda tu.
ndio maana wanafunzi wanawadharau, ... mnacho deliver madarasani ni hovyo hovyo ....
kiama chenu kimefika, mtaendelea kunyooshwa mpaka mtajuta kuwa waalimu.
wewe ni likanyaboya tu.kama unajiamin kwa kiingereza post tena kwa lugha hiyo then twendelee !! members wengine watajaji !!
kama huwez kaa kimya !!
Inawezekana na wewe ni mzazi wa BRN ila hujijui manake huyo mwalimu hakufundishwa peke yake akiwa shule.Humo humo walitoka madocta,wanasheria, wafanya biashara nk.nyie vijiwalimu vya BRN tabu sana...
kufundisha hamjui, adabu hamna, kiingereza hamuwezi...
mnachoweza ni kuvaa milegezo na kupaka poda tu.
ndio maana wanafunzi wanawadharau, ... mnacho deliver madarasani ni hovyo hovyo ....
kiama chenu kimefika, mtaendelea kunyooshwa mpaka mtajuta kuwa waalimu.
Acha porojo, umeambiwa urudie post yako kwa Kiingereza tujue how competent you are!! Sio unapanua mdomo tu kama mamba humu ndani!!wewe ni likanyaboya tu.
ati wewe nawe mwalimu!!!!!!
fani ya ualimu siku hizi ni ya hovyo hovyo tu kama hawa ndio walimu wenyewe wa BRN.
mnajaza matope tu kwenye vichwa vya wanafunzi!!
unafundisha kitu gani wewe!!!!!!!!!!!
Hahahahaha,academic teacher.Si nliona umetaja shule nlosoma advance.samahani mkuu usijekuta wewe ni DED ukani-trace 😀 😀 😀 (Kidding)
Nami nasubiria jibulets you are female teacher and one of your student touch your buttocks mbele ya walimu wenzio utafanyaje?
Hiyo ni shuleni kweni !! by the way wanawake mnakuwaga na maks za ziada due to women empowerment policy !!

Hata ukimtoa asihudhurie pindi, vibaraka wake watampa tu notesMwanafunzi Akileta ujinga dawa yake siku hizi kumtoa tu class asihudhurie kipindi chako hata usijisumbue kumchapa .