Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

Yaani huu uzi umenichekesha hadi basi, wanatutusi mituai yooote lakini bado wanatuletea mitoto yao waloshindwa kulea, kiruuuu watuwache.
Kuna mmama nae juzi kaja kushtaki eti binti ake wa form two kaanza kutiwa, anaemtia ni mwanafunzi wa hapo shule kwetu..... Yani hadi papuchi ya binti ake anakuja kushtakia kwa walimu, basi akaambiwa umri huo watoto ni wasumbufu kwahiyo akae chini na binti ake maza akacharuka huyo utadhani walimu ndo wanamlia binti ake si ajabu ndo kind ya wazazi wapigaji kelele hapa
 
Hahaaa eti akaubusu mkono, umenifundisha ile naanza kazi wiki ya pili nikawa zamu, kuna litoti nikaliambia lipige magoti akapiga kwa mikono, uwiii nilikaribia kupasuka, alafu limepanada hilo mijicho myekunduuuu!!!
Unaachaje kulipiga ngumi sasa, kuna mitoto inakera mno asee yani unatamani muda uende lirudi likasumbue wazazi wake
 
Hahaa calm down madam,ila kuna haja ya kukaa na kutafakari kabla ya kuchangia mambo kama haya changamoto wanazokumbana nazo waalimu ni nyingi mnooo hasa wa sekondari kwa kua wapo kwenye balekhe na yaitaji busara sana kudili nao.ticha ni binadamu kama polisi ana mihemko yake ya hasira ndo maana wakati mwingine muhalifu akikataa kutii sheria bila shuruti hushushiwa kipigo cha mbwamwizi.the same applied kwa frank
Usijali, Ila mie napingana na hao wanaojifanya miungu watu, mabingwa wa kutoa findings bila kufanya research.
Secondary school hizi ndio balaa, heri primary.
Secondary mtoto anakudindia kabisa, na hivi akikuangalia unamfikia mabegani, unam-batua tu.
Kuna mdau kaongea vizuri sana kule juu.....nimempenda bure.
 
Sio kweli nenda udsm kaangalie wanaopangiwa education walipata alama gani a level then ndo urudi kuandika usikariri kijana
Mie hiyo kauli yao huwa naishia kucheka tu, tena unakuta mwingine nae alifeli karudia hadi mitihani imemzoea akabahatisha vipoint akasoma kisatificate cha computer sijui nini, yupo stationary anakomaa na walimu eti walifeli, wengine na miziro yao kabisa.
Nyambafuuuuuuu!!!
 
Viongozi wakiona tukio ndio wanaibua mijadala.
Je, wameshakuja kutembelea mashule yetu ili kuangalia changamoto gani tunakutana nazo?
Wao hizo hawajui wanasubiri kuhemka kama wananchi wao.
 
Ni mjinga na taahira peke yake ndie mwenye uwezo wa kuona walichofanya walimu ni udhalilishaji.
Ila amini nawaambia hawa wapuuzi wa hapa jukwaani ambao hawajui lolote linaloendelea, hawaijui vizuri kazi hii ya ualimu.
Bora hata wewe uliyenusa tempo lakini umeona hali halisi ya kinachoendelea huko mashuleni, kuliko taahira anayebisha asichokijua.
Siku moja wavae viatu vyetu, waje angalau wakae wiki tu, haki vile, hawatarejea tena.
Wangapi wanaondoka katika ualimu?
Wangapi pia wanaingia?
Wakumbuke hao wazazi wao waliyezaa huyo taahira anayebisha hapa jukwaani pia kafundishwa na mwalimu.
Au kwa kuwa siku hizi fani ziko nyingi?
Pumbavu zao.
Wakajambie mbele tena.

Nimechefukwaaaa!!!!!
Dah..Ticha kakata "ringi"
 
Kuna mmama nae juzi kaja kushtaki eti binti ake wa form two kaanza kutiwa, anaemtia ni mwanafunzi wa hapo shule kwetu..... Yani hadi papuchi ya binti ake anakuja kushtakia kwa walimu, basi akaambiwa umri huo watoto ni wasumbufu kwahiyo akae chini na binti ake maza akacharuka huyo utadhani walimu ndo wanamlia binti ake si ajabu ndo kind ya wazazi wapigaji kelele hapa
Ndio hawa hawa, mitoto yao itiane huko mtaani ije kushtaki shule utadhani tumeungana nayo.
Kesi zinazoletwa na wazazi za kipuuuzi, kila kitu mwalimu, alafu leo inajitia kuwatoka ya kuwatoka na kututusi.

Sie ndio maana shuleni kwetu tumeamua tunadeal na kesi za shuleni tu, hizo za nyumbani wamalizane wenyewe nyumbani, tusichoshane bila sababu za msingi. Yaani washindwe wao malezi lawama watupe sie!!!
 
Unaachaje kulipiga ngumi sasa, kuna mitoto inakera mno asee yani unatamani muda uende lirudi likasumbue wazazi wake
Lilikuwa lijitu haswa, nikamwambia kanisubiri staff, alichokutana nacho huko mwenyewe alikuja kuniomba msamaha.
 
Bora alitaga anaijia leaving certificate kapoooa kapata alichostahili kukipata, make elimu na nidhamu havitenganishwi
Safi kabisa, kuna mmoja huyo alitusumbua hatari, yaani bangi na viroba ndio chakula chake, nilikuja kukutana nako mwaka mmoja baada ya kumaliza kwanza kachooka yaani kashazeeka, alafu ana mialama kama jambazi, akanisalimia kwa adabu hata sikuamini.
 
Na mtoto mjinga ni product ya mzazi mjinga.... Kajitukana 😀
Kweli kabisa, wanajitusi wenyewe bila kujua, watoto wanafanana na wazazi wao, kuna mmoja alikuja shule kalewa ananuka harufu za ajabu ajabu tu, kumuita mzazi wake mzazi anakuja asubuhi kalewaa na kiroba kingine kipo mfukoni, aisee tuliishia kucheka na kesi ikaisha.
 
Back
Top Bottom