Kuna wanafunzi korofi jamani.Kuna siku mmoja alishatutolea kisu.Alikimbia asichapwe wenzie kumkimbiza akatoa kisu ikabidi wamwache.mkuu count on me !!
sina mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi coz my wife is so beautiful !!
lakini suala la ukorofi naapa kulala nao mbele ( in magufuli's voice)
afadhair awe mjinga but anajiheshimu !! nawezs sema kazi ya Mungu haina makosa !!
Lakini mwanao popoma lakin korofi... hapana.
Tatizo ni malezi hakuna kutoka kwa wazazi na jamii kwa ujumla. Sasa hivi tunategemea shule ndiyo zilee watoto wetu kwa zaidi ya asilimia 80Naisubiri bali ombi langu bado nalisisitiza, jaribu kukaa na walimu wenzako mjiulizw why now?! kuna nini tatizo ni watoto au elwalimu?!maana kwa kweli wanafunzi wa sasa ni shida.
Sheria zinaruhusu wewe uue? Kumbe mkuki kwa nguruweKwa kumpiga vile?Nitakuua wewe.
Kama ni mtukutu muache ni wangu.
Nitake radhi mwalimu mwenzangu.Achana nae kusoma Nganza anajiona kamaliza kila kitu!!
Polisi wanaruhusiwa kupiga mpaka kuuwa .hata kama huna hatia.Kuna watu wanaongea wasiyoyajua, by the way wazazi ndo tumeshindwa kuwalea watoto vyema hadi wanawapiga/kuwagomea walimu halafu walimu wakichukua hatua kulalamika kwa sana! Mara ngapi polisi wamepiga mhalifu kwa kisingizio cha kutokutii sheria bila shuruti??
Kati ya masomo ambayo nliferi ni ya lugha,,, ila kwinginee njoooo,,,kuhusu kiswahili nlipofika kidato cha tatu nkakutana na sentensi unazichambua kama kks au kds eti matawi sikumwamin mwalimu tena,,,, nikajikitaa kwingineeAchana NAHOO?! nawe ni mwalimu?! kama ndio basi lazima wanafunzi wawe manunda maana hata somo la kiswahili unashindwa kumfundisha unategemea atakuheshimu kweli?
Tumeingia kwenye top ten ya wiki hiiKushakucha tena.
Tutajuta....maana mabubu wamepata pa kusemea.
Nipo mwalimu wa malezi hapa na ugwadu wangu wa mshahara kutopanda