Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

Hawezi vimba kwa hela za kuinamishwa. Sana sana atakuwa na hasira sana, atakuwa anadai hadi 100. Hela kaipata kwa maumivu πŸ˜…πŸ˜…
Simu kali πŸ˜€πŸ˜€atawavimbia ila anajua kua aliinamishwa
 
Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..

Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua matumbo huyo mtu. Ndo nikalazimisha simu.

Sasa nachat na mbunge nimemwambia atume tsh 500,000 katuma aisee... Kumbe wabunge wana pesa ya mchezo sana..nimemwambia my wife to be hapo yeye namwamchia 100,000 ya voucher mi nachukua 400,000.

Nimemwambia Mbunge anitumie na Iphone mpya kasema nimpe siku mbili atatuma. Hapo anajua anachat na mchumba. yaani bwege sana huyu mbunge. Hivi hawa ndo wanatunga sheria kweli? Daaah ndo maana sheria nyingine ni mbovu.

Nawashauri wanaume tafute mademu wakali mnaweza kuwa mnapata pesa kirahisi tu. Nimemwambia wife asimpoteze huyu mbunge tupige pesa zake.
Mbunge nakusoma tu hapa sa hii,
We anza kuhamia Burundi maana laki tano utarudisha na riba juu, na mkeo mtarajiwa anaendelea kupasuliwa papuchi we ukiwa uhamishoni Burundi.
 
Kina uncle watakuwa wanaona simu, ila jamaa anakumbuka zile nje ndani nje ndani. Lazima awe na hasira πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ila uzuri wa mbunge anaweza kua kizee hatakua na mambo mengi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ta ta ta ta ta kamaliza
 
Ila uzuri wa mbunge anaweza kua kizee hatakua na mambo mengi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ta ta ta ta ta kamaliza
Hata angekuwa kikongwe, mashine ni mashine tu. Kama ukiwa na constipation, wakati wa kukata gogo unakuja sura kama umelamba ndimu, sembese hizo ta ta ta πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Lazima aanze kukalia Tako moja huyo πŸ˜…
 
Hata angekuwa kikongwe, mashine ni mashine tu. Kama ukiwa na constipation, wakati wa kukata gogo unakuja sura kama umelamba ndimu, sembese hizo ta ta ta πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Lazima aanze kukalia Tako moja huyo πŸ˜…
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kikubwa macho ma3 nakwambia
 
Back
Top Bottom