Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..

Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua matumbo huyo mtu. Ndo nikalazimisha simu.

Sasa nachat na mbunge nimemwambia atume tsh 500,000 katuma aisee... Kumbe wabunge wana pesa ya mchezo sana..nimemwambia my wife to be hapo yeye namwamchia 100,000 ya voucher mi nachukua 400,000.

Nimemwambia Mbunge anitumie na Iphone mpya kasema nimpe siku mbili atatuma. Hapo anajua anachat na mchumba. yaani bwege sana huyu mbunge. Hivi hawa ndo wanatunga sheria kweli? Daaah ndo maana sheria nyingine ni mbovu.

Nawashauri wanaume tafute mademu wakali mnaweza kuwa mnapata pesa kirahisi tu. Nimemwambia wife asimpoteze huyu mbunge tupige pesa zake.

Ni bora nami nirudishe pesa zangu. Unaweza jifanya eti we mgumu halafu demu wako akawa analiwa hupati kitu. Mi nimewekeza pia kwa huyu demu.
 
Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi..

Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua matumbo huyo mtu. Ndo nikalazimisha simu.

Sasa nachat na mbunge nimemwambia atume tsh 500,000 katuma aisee... Kumbe wabunge wana pesa ya mchezo sana..nimemwambia my wife to be hapo yeye namwamchia 100,000 ya voucher mi nachukua 400,000.

Nimemwambia Mbunge anitumie na Iphone mpya kasema nimpe siku mbili atatuma. Hapo anajua anachat na mchumba. yaani bwege sana huyu mbunge. Hivi hawa ndo wanatunga sheria kweli? Daaah ndo maana sheria nyingine ni mbovu.

Nawashauri wanaume tafute mademu wakali mnaweza kuwa mnapata pesa kirahisi tu. Nimemwambia wife asimpoteze huyu mbunge tupige pesa zake.
Mimi huwa nafaulisha mizigo naifanyia categorization ya vizenga na consignment, maana Mwalimu Sawaka alininoa vizuri kwenye cargo storage and warehouse.
Nejmegen
 
Back
Top Bottom