GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
Na atashangaa sanaMimea ina kitu kinachosense stimuli mbali mbali.
Mfano Geotropisim - Mmea huelekea upande tofauti na nguvu ya uvutano wa Dunia na Jua.
Phototropisim - Mmea hukua kuelekea uelekeo wenye mwanga wa jua.
Mmea umeumbwa na uwezo wa ku sense mimea iliyo jirani kwa kutumia vitu kama vile kivuli kutambua kusa kuna mmea jirani hivyo kuufuata.
Hapana mkuu. Nini kimekushangaza?unatumia kileo mkuu
ni elimu ya kidato cha pili kama sikosei au msingi sayansi kimu nafikiri mambo ya mjongeoHapana mkuu. Nini kimekushangaza?
Kwa hiyo mkuu unaniambia kuwa mmea wa pasheni una akili?Mleta mada umezidiwa akili hata na huo mmea wa pasheni
πππNazipenda hizo fensi haswa zitambaliwe na bourganville.....mimea Ina akili mkuu
πππKwani yenyewe inasemaje?
β₯οΈπππ
Ni kweli mkuu, ila hatukuambiwa kama na yenyewe ina akili kama wanyama.ni elimu ya kidato cha pili kama sikosei au msingi sayansi kimu nafikiri mambo ya mjongeo
kweli walimu wanakaziNi kweli mkuu, ila hatukuambiwa kama na yenyewe ina akili kama wanyama.
Ni kweli ni viumbe hai, lakini na akili pia inayo?
πππMimea ina kitu kinachosense stimuli mbali mbali.
Mfano Geotropisim - Mmea huelekea upande tofauti na nguvu ya uvutano wa Dunia na Jua.
Phototropisim - Mmea hukua kuelekea uelekeo wenye mwanga wa jua.
Mmea umeumbwa na uwezo wa ku sense mimea iliyo jirani kwa kutumia vitu kama vile kivuli kutambua kusa kuna mmea jirani hivyo kuufuata.
Huo hapo chini ni mche wa tunda la PASHENI. Inafahamika kuwa katika ukuaji wake, hutambaa juu ya miti au egemeo litakalokuwa jirani yake. Nilikuwa nasubiri ukue vya kutosha ndipo niuwekee egemeo. Lakini nimeshangaa kukuta umeshajisogeza kwenye fensi na kuendelea kukua kwa kuukwea.
Hakuna mtu aliyeuelekeza upande huo. Na kwa mazingira ya eneo hilo, nilitarajia ungekua kwa kuelekea upande wa Magharibi, badala ya Mashariki ambako ndiko kulipo na fensi.
Umewezaje kutambua kuwa egemeo lipo upande wa Mashariki na kuamua kuufuata bila usaidizi wa binadamu?
Je! Mimea ina akili?
Mimea ina macho au namna ya kuhisi?
Kuna tafiti za Kisayansi zilishawahi kufanyika kubaini kama mimea ina uwezo wa utambuzi?
Sasa kama ungekutana na hii inayotembea si unge bongonyoka kabisa?Huo hapo chini ni mche wa tunda la PASHENI. Inafahamika kuwa katika ukuaji wake, hutambaa juu ya miti au egemeo litakalokuwa jirani yake. Nilikuwa nasubiri ukue vya kutosha ndipo niuwekee egemeo. Lakini nimeshangaa kukuta umeshajisogeza kwenye fensi na kuendelea kukua kwa kuukwea.