safi sana. sasa mimi nina watu wananiita mama joyce lakini wengi wananiita jina langu, sasa siwezi kuwalazimisha kuniita mama fulani. ila huyo baba nanihii ataitwa na watoto wake na watu wengine, mimi hata surname simwitimm siwez hata kidogo kumwita baba klein lol! huwa namwita jina lake halisi ......Gee" na sipendi kabisa kuitwa mama Geee lol! kwa watu baki napenda waniite mama klein.
ha haaaaaaaaaaa, stress za nini sasa! hivi tunaweza kweli kukimbizana na masista du huko mtaani? na wanavyopenda wazee sasa, ni balaa................. mimi nahisi vijana wa siku hizi hawafanyi kazi zao vizuri, lol!
ndo maana akina babu Dark City mtazidi kufwatwa tu
On the other side, kuna wengine hawajawahi hata kusingiziwa mtoto, let alone mimba.
ha haaaaaaaaa, uzee bwana, ina maana hujiamini kama kazi ilikuwa nzuri mpaka uambiwe hivyo? lol!Tena ikitolewa baada ya kazi
Kwani inaprove kwamba, the efforts invested were worth it!!
Duuuuuuuuuuuuhhhhh,
Nyie niache nisije kuanza mahangaiko ya kutafuta dawa ya kurejuvenate!!
Babu DC!!
safi sana. sasa mimi nina watu wananiita mama joyce lakini wengi wananiita jina langu, sasa siwezi kuwalazimisha kuniita mama fulani. ila huyo baba nanihii ataitwa na watoto wake na watu wengine, mimi hata surname simwiti
endelea kuomba Mungu usitokelezewe babu, maana hapa sioni uwezekano wa kusema NO, lol!Bahati nzuri sikuwahi kufuatwa hata siku moja, hadi siku ya parade ya kunisend off kama retired Maj Gen!!
Ila kweli hali imechafuka!
Babu DC!!
On the other side, kuna wengine hawajawahi hata kusingiziwa mtoto, let alone mimba.
ha haaaaaaaaa, uzee bwana, ina maana hujiamini kama kazi ilikuwa nzuri mpaka uambiwe hivyo? lol!
unaruhusiwa kutokujibu babu
mimi napenda sana kuitwa mama fulani hasa mbele za watu.... inanisaidia mambo fulani, lol!Kwani kuitwa mama fulani au bibi fulani kuna tatizo gani?
Au na nyie mnaona kama mnakuwa mmesingiziwa mtoto ambaye kazaliwa na mwanamke mwingine?
Babu DC!!
Hahaha..haya babu DC, kujiamini hivyo ni vizuri ila...
feedback lazima wapate babu, hilo shaka ondoaHuwa hakuna kitu cha namna hiyo....utajiamini vipi wakati kuna mtu kakutuma kazi na hajakupa feedback?
Wapeni feedback ili wenzenu wajidai na kuongeza siku za kuishi!!
Babu DC!!
Huyu kapotea, ndoa siyo lazima mtoto wa kumzaa. Wanaweza wakatafuta mtoto yoyote wakamlea akawa wao, not necessarly awe biological.can you imagine?
Dunia haiko fair kabisa.
Kuna kijana ana ndoa zaidi ya miaka 5 hana mtoto
sijui inamchanganya sometimes
utasikia anasema 'nijenge nini na sina mtoto, nakula maisha tu'
mie mtu akiniwekea usiku let say mwaka mzima hatangazi ndoa namtegeshea na akichomoa tu namwambia baba yangu amsomee HALAL BADRI aokote makopo
Eti mwanaume anakutumia weee, kisha anakuja na hadithi, eti wazazi wamemtafutia mke huko kijijini, nyoooo, asiku nhiyo atajua tofauti ya tui na maziwa, au tende na halua
sipendi mie mwanaume kunigeuza shanuo,
endelea kuomba Mungu usitokelezewe babu, maana hapa sioni uwezekano wa kusema NO, lol!
Mimi nikupe tu hongera kama kweli umeweza kukwepa makando kando yote.Ila nini na wewe Rejao?
Unataka niwe na zero confo kama mshikaji wenu wa kucheka cheka?
Utashindwaje kujiamini wakati ndondo zote unazokichwani wala huhitaji teleprompters?
Babu DC!!
Huyu kapotea, ndoa siyo lazima mtoto wa kumzaa. Wanaweza wakatafuta mtoto yoyote wakamlea akawa wao, not necessarly awe biological.
And then kujenga unajijengea mwenyewe ili uishi maisha mazuri yasiyo na bugudha! Haujengi kwa ajili ya kurithisha watu. Mimi wanangu huwa nawaambia kila siku, nilivyo navyo ni vyangu, wao inabidi wakomae wawe na vyao.