Milio ya kuruwani kwenye simu marufuku

Milio ya kuruwani kwenye simu marufuku

Status
Not open for further replies.
Mashehe wametoa tamko kuwa milion ya kuruwani (ring tone) ya kwenye sim ni Haram. Wale wote ambao wameweka kama milio ya kuita au Kupokelea waitoe haraka kwasababu milio hiyo inatakiwa kusikika sehem husika tu na sio kwenye sim. Ilishaharamishwa na mufti wa Saudia toka mwaka 2008 ina wanashangaa watu wamekuwa viburi.

wapi kwenye kolani wamekataza milio ya kolani kwenye simu?

Dini ya ajabu sana, Lowasa wanamwita kafiri, lakini hela zake wanazitaka.
 
wapi kwenye kolani wamekataza milio ya kolani kwenye simu?

Dini ya ajabu sana, Lowasa wanamwita kafiri, lakini hela zake wanazitaka.

Ww inabidi ukae kimya maana hata kuitaja hujuwi, utajuwa yaliyokuwemo ndani yake?

Na kinachomata ktk pesa ni kuwa umeipataje na utaitumiaje, na si vyenginevyo.

Hapakuwa na ubaya kupokea pesa ya Lowasa. Ubaya ni kumshirikisha ktk yale mengine.
 
Hawa jamaa wa vipedo siwapati.Kuna wakati walitaka nyimbo za injili zisipigwe kwenye magari ya abiria,biblia ziondolewe kwenye guest house rooms.Wenyewe wakaanza kuingiza hizo baadhi ya aya qur'ani kama ringtones za simu tena kibiashara(maana unakatwa hela kila siku).Naona hazina wateja,wanataka zitolewe.Hivi hawa jamaa wanataka nini hasa,wamekuwa kama watoto wadogo.Ukifanya chako anakuonea gere,naye hawezi kupanga na kufanya chake. Kweli watoto wa mama mdogo..
 
Umpa sehemu nzuri ya kwenda kuangalia maana Biblia ya kiarabu imekuwepo mwanzo kuliko hii ya kiswahili.

Kwahiyo na ya kiswahili anaitwaje? Ya kiebrania, kigiriki na ki-aramaic je ambazo ni za awali zaidi ya hiyo kiarabu?
 
kaswida si ni nyimbo zile dadangu?

mimi nilifikiri muislam akiweka nyimbo za kaswida kwa simu yake kama mlio wa kuiita ni kuutukuza na kutouonea haya(yaani kujivunia) uislam wake hata mbele za watu!

Kaswida hazipo kwenye Qur'an. Soma vizuri nyuzi, iliyokatazwa ni Qur'an si Kaswida.
 
Teh teh teh!

Naomba kuuliza,hv kwa nini biashara kubwa ya mashoga ipo nchi za kiarabu!!!?

Hata hapa afrika mashariki eti zanzibar,mombasa na Tanga ndo wanaongoza biashara hiyo!Na nafikiri unatambua dini gani imetamalaki huko.

Nasubiri jibu tafadhali!

Kwani wanaofungisha hizo ndoa za jinsia moja na hadi makasisi wakashiriki kwailo wako uarabuni??

Yaani ushoga kufanya mfanye nyinyi kisha mmawasizingie wenzenu???

Mbaya zaidi nyinyi mnatumia hadi maandiko yenu kufungisha ndoa hizo,aibu sana.
 
Zenji ndio soko kubwa la mkuu wa meza mkubwa.
Hiyo habari inajulikana mzee.Jamaa anafunga safari toka Zenji hadi Dar kufuata hiyo kitu tamu,kama kilo 6-8 iliyotengenezwa tayari.Sijui muungano ukivunjika ...
 
Ndiyo maana hata guest house haziweki vitabu vya quran bali zinaweka biblia kwani waweza zini na biblia pembeni

Ni kweli isee yaani ukiwa unazini na biblia pembeni lazima uinjoy.kitabu kile ni ulinzi tosha kwa wazinzi! ..mi nikienda guest na malaya nisipokuta biblia naahirisha mchezo najua ntafumaniwa tu!
 
Kama hamjaelewa msikashifu, ringtone kwenye sim si haram ila uharamu wake unakuja pale utakopopigiwa ukiwa sehemu mbaya, kama vile chooni, kwenye misiba ya wasio kua waislam, guest nk.


selfish
 
Hali hii hawajaenda shule nanyi mmeenda shule na hamlali mkiwaza jins ya kuwateketeza wao pa1 na dini yao lakin mnashindwa,kwa mwenye akili atagundua kuwa wazee wa kiislam waliona mbali sana ndio maana wakaipa elim ya dini yao kipaumbele,ona sasa pa1 na elim zenu mnawaogopa na kuwaita magaid
Mm napita tu kwenda kula kilo ya noah halafu narudi.
 
Wakati dunia inaumiza akili juu za masayansi ya madrones,mastartphones,malambogrin na makwenda mwezini kusimaka tawala zao huko kuna dini zinafundisha watu kuchamba mavi badala ya kuchamba akili.
 
Mashehe wametoa tamko kuwa milion ya kuruwani (ring tone) ya kwenye sim ni Haram. Wale wote ambao wameweka kama milio ya kuita au Kupokelea waitoe haraka kwasababu milio hiyo inatakiwa kusikika sehem husika tu na sio kwenye sim. Ilishaharamishwa na mufti wa Saudia toka mwaka 2008 ina wanashangaa watu wamekuwa viburi.

Sio Saudia bana ni Masr.......

Egypt's Grand Mufti issued a fatwa that prohibits the use of Quranic verses or the call for prayers as ringtones on the basis that they show lack of respect, according to a copy of the fatwa text obtained by Al Arabiya on Thursday.

Dr. Ali Gomaa, considered Egypt's highest religious authority, argued that using verses from the Quran for ringtones violates the sanctity of the divine words.


In this case, Quranic verses can be replaced with religious songs or poems that praise the prophet
Fatwa."The Quran came from God so that we can worship Him and it should be read or listened to with reverence," Gomaa said in his fatwa. "Picking up the phone is sure to interrupt the verse and this is disrespectful to the holy book."


As the phenomenon seems to be increasing amongst Egyptian cell phone users, observers argue that using Quranic verses for ringtones is considered by many a sign of piety and keenness to be in constant contact with God's words.


"In this case, Quranic verses can be replaced with religious songs or poems that praise the prophet," said the fatwa.


The prohibition, added the fatwa, applies to the call for prayers as well, not only because it shows disrespect, but also because it can give people the illusion that it is actually the time to perform the prayer.


Reverence
There is a verse in Quran that says that God's words and rituals have to be glorified and treated with reverence.Dr. Ibrahim Negm, the Mufti's advisorm,.The fatwa came after Dar al-Iftaa, the body in charge of issuing fatwas in Egypt, received many inquiries regarding the legitimacy of using Quranic verses and call for prayers as ringtones, said Dr. Ibrahim Negm, the Mufti's advisor.


"To resolve the matter, the Mufti issued a fatwa prohibiting this because it implies a lack of respect for the holy words," he told Al Arabiya.


"There is a verse in Quran that says that God's words and rituals have to be glorified and treated with reverence."


Negm added that another reason for the prohibition is that the Quran should be recited and listened to in a place that is pure and people often take their cell phones to impure places like, such as the bathroom. This violates the concept of tahara (physical purity) in Islam.


The fatwa, however, was not met with enthusiasm by all religious circles. Abdul-Razeq Afifi, head of the Salafist Ansar al-Sunna (Supporters of the Prophet's Teachings) group in the Delta governorate of Monufia, argued that there is nothing wrong with using Quranic verses as ringtones.


Technology for Islam

We should use technology for the welfare of Islam. Maybe one single verse on a cell phone can change somebody's life.Abdul-Razeq Afifi, head of the Salafist Ansar al-Sunna
"We should use technology for the welfare of Islam," he told Al Arabiya. "Maybe one single verse on a cell phone can change somebody's life."


Afifi argued that cell phones, as well as other devices, could be one of the many means God sends Muslims to help preserve the Quran and spread its verses.


"In one verse, God says that He sent the Quran and He is going to preserve it. Maybe He is telling us that this is one of the ways to preserve it."


Afifi added that the Quran should in the first place be preserved in the hearts and minds of Muslims, but it is definitely better and more beneficial to preserve it through other various means.


Sheikh Ali Abdul-Baki Amin, Secretary General of the Islamic Center for Research at al-Azhar, opposed Afifi's statements which he labeled an unacceptable justification and noted that this is not the first time this issue has been categorically rejected.


"Al-Azhar had already previously prohibited the use of Quran ringtones" he told Al Arabiya.


Amin added that al-Azhar, the world's leading institute of Sunni Islam, plans to address Egypt's service providers in order to work on banning the use of Quranic verses and the call for prayers as ringtones
 
Binafsi naheshimu sana imani ya mtu na yangu pia iheshimiwe ndiyo maana ninamarafiki wengi wa imani tofauti nami na wengine huwa tunajumika wote kewnye noah.
Hali hii hawajaenda shule nanyi mmeenda shule na hamlali mkiwaza jins ya kuwateketeza wao pa1 na dini yao lakin mnashindwa,kwa mwenye akili atagundua kuwa wazee wa kiislam waliona mbali sana ndio maana wakaipa elim ya dini yao kipaumbele,ona sasa pa1 na elim zenu mnawaogopa na kuwaita magaid
 
Ww inabidi ukae kimya maana hata kuitaja hujuwi, utajuwa yaliyokuwemo ndani yake?

Na kinachomata ktk pesa ni kuwa umeipataje na utaitumiaje, na si vyenginevyo.

Hapakuwa na ubaya kupokea pesa ya Lowasa. Ubaya ni kumshirikisha ktk yale mengine.

Ni sawa na kusema, nyama ya kitimoto ni haramu lakini mchuzi sio. Ndo mana mnakula kwa kujificha.
 
Hizo ringtone poa tu wakataze ila ombi langu zile clips za sheikh Kipozeo kuhusu "mizigo" naomba ziruhusiwe ili tuelimike,mizigo arobaoni enheeee wanawake wazuri wazuri wale peponi kuzuri tu sheikh wangu haaaahaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom