Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Hakuna asiye wa Allah duniani.
Heh!!!!!
Hakuna asiye wa Allah duniani.
Ni Aya ipi inayokataza ringtone?Je vipi wasio "wa allah" wakawa wameweka?
Haramisheni matumizi ya simu kwa waumin wenu.kwani anaweza asiwe na hizo tones na akawa na picha za mambo yetu yale.
Mufti wa saudia ni mufti wa dunia?
Ndiyo maana hata guest house haziweki vitabu vya quran bali zinaweka biblia kwani waweza zini na biblia pembeni
Ni aya gani katika quaran inazungumziaa hivoo mie ndo maana nilishawaii kusemaga ukiwasikiliza sana warabu na ukiendekeza dinii sana mwisho wa siku utakufa masikini...kuna wazee ...enzi za tanganyika waliamini kumpeleka mtoto wa kiisilamu kwenda ..kusoma shule za wamissionary ni sawa kwenda kujifunza ukafiliii..na. Ukristo na badale yake waliamini mtoto akisoma madrasa. Ndo njia pekee ..sasa baada ya miaka 30...mbelee baada ya kuona wale waisilamu waliokuwa wanasoma zilee shule huku mbeleni ndo wanashikilia nafasi kubwa serikali maofisini na wana maisha mazuli....hapoo ndipo wanajuaa umuhimu wa elimu.....kwa kweli ndugu zangu ...waisilamu tuwe makini na hizi propaganda za mashehe uchwalaa
wewe ni miongoni mwa vilaza katika dini yako,sio kila jambo la kupinga tu,uislamu ni dini ya hoja,kamati ya fatwa imetoa hoja juu ya uharamu wa kufanya ivyo kama wew unakataa lete hoja zako sio kuleta blah blah,wew na wale wanaosema kuna elimu akhera na dunia mna tofauti gani?mi nakerwa sana na hawa vijana wasiojua hata kuoga janaba.
Ni aya gani katika quaran inazungumziaa hivoo mie ndo maana nilishawaii kusemaga ukiwasikiliza sana warabu na ukiendekeza dinii sana mwisho wa siku utakufa masikini...kuna wazee ...enzi za tanganyika waliamini kumpeleka mtoto wa kiisilamu kwenda ..kusoma shule za wamissionary ni sawa kwenda kujifunza ukafiliii..na. Ukristo na badale yake waliamini mtoto akisoma madrasa. Ndo njia pekee ..sasa baada ya miaka 30...mbelee baada ya kuona wale waisilamu waliokuwa wanasoma zilee shule huku mbeleni ndo wanashikilia nafasi kubwa serikali maofisini na wana maisha mazuli....hapoo ndipo wanajuaa umuhimu wa elimu.....kwa kweli ndugu zangu ...waisilamu tuwe makini na hizi propaganda za mashehe uchwalaa
Uislamu unaruhusu dhambi zoote ispokua kula nguruwe. na hii ya milio ya simu itakua namba mbili.
Maluwani
Nilipoibiwa siri kua uislam ulianzishwa na CIA sina ham tena. Na kwamba ni moja kati ya nyezo za marekani kutekelezea new world order. Sina ham na uislam.
Je hii ya mcheza cinema Brian,anayeabudiwa na wale jamaandugu vp kuhusu hii
Dini yenye utaratibu sio km hio mpaka shoga anaongoza ibada lol!!
Ndio mana nchi za Ulaya na Amerika,zikapigania sana ushoga na kusema ni haki za kibinadamu kuwa shoga.na mashoga wengi wanatoka kwenye imani ya pilau na biriani.
yalaaa ilaaaaa ilaaa ama baduu! amabaduuu ilaaah ilaaa takbiiiiir!Milio ya kuruwan ndo nini wakuu
nawapa pole sana walio chini yako kwa kuwa na kiongozi kama wew story taker,abul jahal.kama huwezi kufungua akili yako fumbua hata macho uone ukweli.