Milio ya kuruwani kwenye simu marufuku

Milio ya kuruwani kwenye simu marufuku

Status
Not open for further replies.
Ndio mana nchi za Ulaya na Amerika,zikapigania sana ushoga na kusema ni haki za kibinadamu kuwa shoga.
Anti Athumani, Anti Bilal, Anti Suzy (Ibrahim Mohamed) wote hawa wanatoka Ulaya na Amerika!
 
Ni halali kuteka wasichana wa shule na kuwauza ktk masoko ya madangulo ila ni haramu kutumia ringtones za qurani.
Ref: Boko haramu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Teh teh teh!

Naomba kuuliza,hv kwa nini biashara kubwa ya mashoga ipo nchi za kiarabu!!!?

Hata hapa afrika mashariki eti zanzibar,mombasa na Tanga ndo wanaongoza biashara hiyo!Na nafikiri unatambua dini gani imetamalaki huko.

Nasubiri jibu tafadhali!

Mkubwa waarabu ndio walileta hizi mambo na kuzieneza katika maeneo ya mwambao. Si waiona zenji,pwani na tanga.
Ni kawaida binti kutoa nyuma kubakiza bikra.
 
Uislamu unaruhusu dhambi zoote ispokua kula nguruwe. na hii ya milio ya simu itakua namba mbili.

weweeee...nani kakwambia kuna zambi mbili tu kwenye Qur an. Na hii hapa je? سورة المؤمنون
 
Nilipoibiwa siri kua uislam ulianzishwa na CIA sina ham tena. Na kwamba ni moja kati ya nyezo za marekani kutekelezea new world order. Sina ham na uislam.

duh wewe ndio kilaza aisee kila unachoambiwa vijiweni nawe unafuata, fanya reseach kuhusu age ya uislam na hyo CIA ujue kipi kimetangulia
 
uislam umesimama kwenye haki,sisi tunafata haki kwa yeyote bila kujali rangi yake wala dini yake ,mungu ametuumba mataifa mbalimbali ili tufahamiane,mbora wetu ni mwenye kumuogopa mungu zaidi.

Mbinguni/peponi watu hawaendi kwa kupiga marufuku milio ya kuruwani kwenye simu.MUNGU anaangalia MATENDO yako!
 
duh wewe ndio kilaza aisee kila unachoambiwa vijiweni nawe unafuata, fanya reseach kuhusu age ya uislam na hyo CIA ujue kipi kimetangulia

Nilijua tu vilaza kama wewe watakimbilia idadi ya miaka. CIA imeanza karne 20,uislam umeanza karne 7. Jiulize kwa nini CIA ndio wanaoilinda meka na medina,marekani na uadui wake wote kwa waislam bado apewe kazi ya kuwalinda?

Marekani mashariki ya kati analinda maslahi yake,ikiwemo uislam na mafuta. Adui wa marekani ni adui wa uislam.kumpinga marekani ni kupinga ustawi wa uislam.
 
Anti Athumani, Anti Bilal, Anti Suzy (Ibrahim Mohamed) wote hawa wanatoka Ulaya na Amerika!
Waziri wa Fedha wa Norway ni shoga.Gene Robinson ambaye ni shoga na sasa ni askofu wa kanisa la kianglikana(Episcopal Church) huko marekani.Norway imepitisha sheria ya kuoana mwanamme kwa mwanamme. Kuna wachungaji mashoga,state church wachungaji wake wote mashoga.
Hivi sasa ni vigumu ulaya na Amerika kuongea dhidi ya mashoga,ukifanya hivyo wawekwa kwenye fungu la maracist,nazists.
 
inamaana uislam hautoi uhuru wa mtu kuabudu dini yake(uislam) apendavyo? anapangiwa hadi nyimbo gani aweke kwa simu kama mlio wa kuiita? mimi nilifikiri muislam akiweka nyimbo za kurani kwa simu yako kama mlio wa kuiita ni kuutukuza na kutouoenea haya(yaani kujivunia) uislam wake hata mbele za watu!

cc MziziMkavu FaizaFoxy Makamee Ritz1
 
Last edited by a moderator:
Nilijua tu vilaza kama wewe watakimbilia idadi ya miaka. CIA imeanza karne 20,uislam umeanza karne 7. Jiulize kwa nini CIA ndio wanaoilinda meka na medina,marekani na uadui wake wote kwa waislam bado apewe kazi ya kuwalinda?

Marekani mashariki ya kati analinda maslahi yake,ikiwemo uislam na mafuta. Adui wa marekani ni adui wa uislam.kumpinga marekani ni kupinga ustawi wa uislam.
Marekani halindi uislam,analinda utawala wa nchi ya Saudi Arabia.Kabla ya huu utawala unaotawala Saudia,kulikiwa na Utawala uliopinduliwa na watawala hawa wa sasa hivi.Kwa hiyo utawala uliopo unajihamu usije ukapinduliwa nao.
 
lakini kiukweli si vizuri kuweka quran tukufu ktk simu kama muito huku mazingira yako hayajitoshelezi na amri na mafundisho ya kitabu hicho kitukufu........mtu anaweka mwito wa kuran afu simu inaita yupo ktk kichen party nk....hiyo si sawa
 
Hii dini ni noma. Terms and conditions kibao.

was thinking the same...man made laws kibao. Hivi must wa Saudia ndiye Mungu au ndiye pope wa waislamu kama wakatoliki bosi wa dini yao alivyo vaticano?
 
NA ILE inayosema ili upate uzima wa milele lzm unywe divai, na kama wewe ni unaathirika na hio divai uzima unapita kushoto! we huupati ng'oo!

mi mwenyewe napiga hesabu za kuhamia huko kwenye mapilau na biriani! vitimoto vinanidhuru mno.

karibu mkuu
 
Ni kweli mkuu...dini nyengine ni poa kabisa...watoto wanaweza kushuhudia ndoa ya baba yao na mama yao...ndo kusema wanapata ushuhuda kua wao walizaliwa nje ya ndoa.a.k.a watoto wa zinaa
 
Teh teh teh!

Naomba kuuliza,hv kwa nini biashara kubwa ya mashoga ipo nchi za kiarabu!!!?

Hata hapa afrika mashariki eti zanzibar,mombasa na Tanga ndo wanaongoza biashara hiyo!Na nafikiri unatambua dini gani imetamalaki huko.

Nasubiri jibu tafadhali!
Mashoga wengi wako nchi za Ulaya na Amerika,mpka viongozi wakubwa wa serekali za ulaya na Amerika ni mashoga.Na wapo maaskofu na wachungaji mashoga wengi sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom