Bado mdogo sana na mshamba umepitiwa na vumbi la bhangi ..Mtu wenye pesa hawezi kuongea takataka kama zako .Endelea kuishi kwa shemeji Yako Bado hujui maisha
Wasomi wa kagera we ni ni majuha, wana kazi kuweka show off mjini wakati kwao hata mbanda ya kulalia hawajengi wala hawapeleki maendeleoMakamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Roman empire ilikuwa inawaita Germanic tribes kwamba ni barbarians, leo hii Ujerumani inaizidi mbali sana Italy ambayo ndio remnant ya Rumi. Greek city states zilianzisha ustaarabu wa Ulaya na demokrasia ila leo Ugiriki nchi ya kawaida na EU ndio iliipa package kuizuia isife kiuchumi miaka michache hapo nyuma.Hawana uwzo huo, wachaga wanazidi kuendelea both economical and educational
Muha na mkinga wamekuja juzi wamzidi mchaga aliyekuwa Ktk struggle tangu kabla ya uhuru? Mchaga ana exposure mara 1000 ya Hao
Isitoshe wanachofanya Hao,Wachaga washavuka Huko
Kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro umaskini ni 10% unabishana na takwimu?Toa ujinga wako hapa! unaijua kilimanjaro yote nenda upareni ukaone.
Ununue Gari Huku huna nyumba ni akili au matope? Ndo akili za kihaya[emoji2][emoji2][emoji2]Gari Kali na nyumba kipi cha thamani?
Ninazo pesa na Bado ninatafuta,nmeshazunguka dunia HII kijana, niambie unatokea wilaya gani nije kuangalia kama Kuna fursa (infact Kila mahali TZ nzima Wachaga wapo)Bado mdogo sana na mshamba umepitiwa na vumbi la bhangi ..Mtu wenye pesa hawezi kuongea takataka kama zako .
Tafuta pesa sip mtu anakufa anakosa pesa ya matibabu
Mnyaki Ana exposure gani mbele ya mchaga? Labda ya kufungua vi kanisa uchwaraRoman empire ilikuwa inawaita Germanic tribes kwamba ni barbarians, leo hii Ujerumani inaizidi mbali sana Italy ambayo ndio remnant ya Rumi. Greek city states zilianzisha ustaarabu wa Ulaya na demokrasia ila leo Ugiriki nchi ya kawaida na EU ndio iliipa package kuizuia isife kiuchumi miaka michache hapo nyuma.
Uingereza ilitawala mataifa kama 30% ya dunia, leo hii Marekani koloni lake linazidi maradufu, hata India imeizidi kimapato. Sasa Wachaga wana ajabu gani.
Unajua hata tukiamua kutumia ushabiki, Wachaga wanawazidi vipi Wanyaki mara 1000, tuachane na 1000 tufanye 10. Wanawazidi vipi mara 10?
Mnyaki Ana exposure gani mbele ya mchaga? Labda ya kufungua vi kanisa uchwaraRoman empire ilikuwa inawaita Germanic tribes kwamba ni barbarians, leo hii Ujerumani inaizidi mbali sana Italy ambayo ndio remnant ya Rumi. Greek city states zilianzisha ustaarabu wa Ulaya na demokrasia ila leo Ugiriki nchi ya kawaida na EU ndio iliipa package kuizuia isife kiuchumi miaka michache hapo nyuma.
Uingereza ilitawala mataifa kama 30% ya dunia, leo hii Marekani koloni lake linazidi maradufu, hata India imeizidi kimapato. Sasa Wachaga wana ajabu gani.
Unajua hata tukiamua kutumia ushabiki, Wachaga wanawazidi vipi Wanyaki mara 1000, tuachane na 1000 tufanye 10. Wanawazidi vipi mara 10?
Ambacho huelewi ni kwamba kuna mikoa inakua kwa kasi kuliko Kilimanjaro. Hakuna mkoa ambao haukui nchi hii ndio maana status quo inabadilika, tazama tulivyopata uhuru mikoa gani ilikuwa kubwa kiuchumi na leo ni mikoa gani mikubwa.Mnyaki Ana exposure gani mbele ya mchaga? Labda ya kufungua vi kanisa uchwara
Mnyaki hamfikii mchaga hâta robô kiuchumi Wala kielimu
TZ nzima hakuna asiemjua mchaga almaarufu Mangi mnyaki anajulikana wapi ?
Kilimanjaro ipi hiyo? Hii ya siha,mwanga,Same au Kuna nyingine? Hata 🤣🤣Yaani ukitoa Kilimanjaro, mikoa mingine ya Tanzania ni majanga matupu kwa sehemu kubwa. Kiujumla kwa sehemu kubwa ya nchi kuna harufu kali ya umaskini. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Serikali izidi kupambana sana kwenye miundombinu, kilimo na elimu. Watu wengi wakipata elimu bora watapambana kujikwamua. Hata Kilimanjaro walitanguliza elimu ndo maana wako hapo walipo.
Kule Kwa kina Dr Mollel ndio kwanza wanajengewa hospital,Rombo ni maskini wa kufa mtu,Same na Mwanga ni choka mbaya kabisa 😁😁Huko Kilimanjaro kuna nini, tutolee utapiamlo hapa.
Mwisho wa siku mada itageuka Wachaga vs Wahaya 🤪🤪Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Ila waache kutumia kigezo Cha GDP ya Mkoa kina mislead sana,binafsi naamini Shinyanga na Lake zone Kwa ujumla Kuna maskini wengi sana kuliko hata DodomaShinyanga kuna nafuu,kahama inaubeba na population ni ndogo,so ukigawa pato wako vizuri,kuna madini,kilimo ,ufugaji
Huko ndio CCM wanapotoa kura zao nyingi kwa kuhonga t-shirt na khanga.Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi
Kagera kama kawaida imoUtapiamlo ni hawa
Tofautisha vitambi n'a utapiamlo
Kilimanjaro inaongza kwa vitambi manake Watu Wana over feed View attachment 2576225
[emoji23][emoji23][emoji23] namuona babu ya luambo makiadiAmbacho huelewi ni kwamba kuna mikoa inakua kwa kasi kuliko Kilimanjaro. Hakuna mkoa ambao haukui nchi hii ndio maana status quo inabadilika, tazama tulivyopata uhuru mikoa gani ilikuwa kubwa kiuchumi na leo ni mikoa gani mikubwa.
Klimanjaro ina emigration kubwa kuliko immigration. Wakati Wahehe wanapigana na Wajerumani, kuna watu hata kuvaa walikuwa hawajui. Kuna era tofauti View attachment 2576624
Iongoze mara ngapi? Hata Sasa ndio Mkoa inaongoza Kwa viwanda vingiHadi miaka 10 ijayo Pwani itaongoza kwa viwanda vingi....
Tatizo la Pwani viwanda havifaidishi wakazi wa hayo maeneo maana ni wavivu wa kufanya kazi, hivyo kazi nyingi zinachukuliwa na watu kutoka mikoa ya mbali
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuuIla waache kutumia kigezo Cha GDP ya Mkoa kina mislead sana,binafsi naamini Shinyanga na Lake zone Kwa ujumla Kuna maskini wengi sana kuliko hata Dodoma
Kaka me napatikana sana Lindi town kariakoo pale Na ghetto limo Mtanda hillDah,mkuu wewe unapatikana wapi?
Kuna kipindi nilikuwa nyangao na mahiwa,ila now sipo Lindi.