Mikoa maskini zaidi yatajwa

Mikoa maskini zaidi yatajwa

Watani zangu nshomile huku mjini wanakuwa na majigambo mengi sana, mara waseme wana mtaa wao kule Texas Marekani, lakini mbona hawawekezi kwao? what is wrong nshomile? ngoja tuwaulize kwa kimombo maana wanadai hizi lugha nyingine nyingine hawazielewi vizuri.​
 
Wapo waliosoma sana ila inawezekana wengi bado wapo wilayani na vijijini huko Shomile wanapata mlo mmoja kwa siku
 
Kwaaaakweeeriiiiiiiiiiiiiiiiiii hiii ripotiiiiiiiiiiiiii ni fwekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaa , infwacht yaani Bukoba tunakuwa wa kwanza kwa umasichiniiiii eeeehhhhhh hapana jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haiwezekani na mapurofesa wooote wa havard na masachuset wariojaa kure kwenye mikahawa then mtyu anakuja na kaaaakipeperushiii kanaitwa ripoti ,kanatudhalilisha. Kwanza watuambie ERimu za hao watafwitiii STUPID kabisa BHukobaaa tuko juu No matter what
Mmejaa sua, mpaka mlimleta saida karoli,
 
Yaani ukitoa Kilimanjaro, mikoa mingine ya Tanzania ni majanga matupu kwa sehemu kubwa. Kiujumla kwa sehemu kubwa ya nchi kuna harufu kali ya umaskini. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Serikali izidi kupambana sana kwenye miundombinu, kilimo na elimu. Watu wengi wakipata elimu bora watapambana kujikwamua. Hata Kilimanjaro walitanguliza elimu ndo maana wako hapo walipo.
 
Back
Top Bottom