Pesa za ndagu utazipata mikoa ya kanda ya ziwa.Shinyanga haina kelele kahama huko watu wanapesa hatari! Halafu wengi wenye pesa ni mwenyeji wa huko!
Pesa za ndagu utazipata mikoa ya kanda ya ziwa.Shinyanga haina kelele kahama huko watu wanapesa hatari! Halafu wengi wenye pesa ni mwenyeji wa huko!
Kwa makusudi imeiruka Dodoma na SingidaMakamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Hapana watu wanafanya kilimo na biashara! Kahama ni mkoa wa kikodi kwa TRA na bank takribani zote zipo Kahama! Tuwape hongera kama wanastahili!Pesa za ndagu utazipata mikoa ya kanda ya ziwa.
Waha wamejaa Dsm wanauza matundaKila ripoti inayotoka kuhusu umasikini kagera hawachomoki,mi sielewi wachumi hutumia vigezo gani?kuhusu Kigoma na Tabora hilo halishangazi tena nadhani ni masikini duniani
Hadi miaka 10 ijayo Pwani itaongoza kwa viwanda vingi....Labda sababu hakuna viwanda,Pwani ina viwanda sana siku hizi
hamna wavivu kama akili yako niambie kuna kiwanda kimekosa wafanyakazi ?Hadi miaka 10 ijayo Pwani itaongoza kwa viwanda vingi....
Tatizo la Pwani viwanda havifaidishi wakazi wa hayo maeneo maana ni wavivu wa kufanya kazi, hivyo kazi nyingi zinachukuliwa na watu kutoka mikoa ya mbali
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wahaya wakija mjini hawarudi kwao wala hawatumi remittance tofauti na wachaga ambao kabla hujajenga mjini lazima ufanye ujenzi kijiji kwenu. Uhayani vijijini nyumba hazina tofauti za zile za kule kwa Wasandawe.Kila ripoti inayotoka kuhusu umasikini kagera hawachomoki,mi sielewi wachumi hutumia vigezo gani?kuhusu Kigoma na Tabora hilo halishangazi tena nadhani ni masikini duniani
,[emoji2][emoji2]JF Kuna maneno hukuWaha wamejaa Dsm wanauza matunda
Wanyamwezi wanaendeleza Umwinyi na kulina asali
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ukiona hivyo,wamejawa majigambo tu😂Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Instanbul uko wapi.Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Hana ubavu WA kukanyaga hapa anachungulia tu[emoji2][emoji2]Instanbul uko wapi.
Ukuje huku wanakusema na kukudhalilisha
Wahaya mbwembwe nyingi kumbe kwenu hakuna kitu
Hana ubavu WA kukanyaga hapa anachungulia tu[emoji2][emoji2]Instanbul uko wapi.
Ukuje huku wanakusema na kukudhalilisha
Njaa inatokana na ukame na sii umaskini.Ukame hata ISRAEL upo, ukame hausababishi watu wawe maskini kama wana PURCHASING POWERUnaongelea Kilimanjaro ipi..kule si ndio njaa imetamalaki
jamaa una akili sana...Wengi hunu ndani wamekaa kishabiki .Unavyowaona Wapemba wana mabiashara makubwa mikoa mbalimbali hasa Kariakoo huwezi dhani Pemba wengine hawana hata vyoo. Kuna Mhindi maskini bongo? Ila kwao India kuna maskini chungu nzima.
Umaskini wa eneo unaweza tokana na fursa ndogo zilizopo ila watu wake walewale wanaweza enda sehemu nyingine wakatajirika. Ndio maana Hyundai ilianzishwa na jamaa aliyetoroka North Korea na Hyundai kwa mwaka inatengeneza hela nyingi zaidi kuliko bajeti ya North Korea nzima.
Elon Musk alitoka South Africa kaenda Marekani sasa ni tajiri, Sergei Brin wazazi waliondoka Urusi wakaenda Marekani na sasa ni billionaire.
Wayahudi wana umiliki wa biashara kubwa na institutions duniani ila nchi yao inasaidiwa security package na Marekani.
ohooooo umeharibu, kuna mtu anaitwa INSTANBUL hapendi kuona au kusikia hizi taarifaNa hii ya mkoa Wenu kuwa na lishe duni nayo serikali iwaletee chakula?View attachment 2576192
jamaa una akili sana...Wengi hunu ndani wamekaa kishabiki .
mfano diamond wa kigoma na mziki mzima kaanza Dar ndo tajiri namba moja kwa wanamuziki kuna mwanamziki hata mzawa wa dar anaweza kumfikia.
Mikoa yote hyo watu ni wapambanaji.Uhalisia Kagera kuna maeneo wana maisha magumu sana.
Almost mikoa yote iliyotajwa wananchi wake hawapendi kazi ngumu;-
1.Kagera
2.Dodoma
3.Singida
4.Tabora
5.Kigoma
Tufanyeni kazi, hata kama we mkulima jitahidi kupanua kilimo chako. Kagera utakuta mtu anategemea mashina 10 ya migomba kwa mwaka mzima yamlishe na maharage saizi ya kiwanja cha ujenzi[emoji1787].
Ukija kwa wagogo akina Mpwayungu hao ndiyo duni kabisa kuanzia elimu, kilimo na hata ustawi wa jamii ni duni.
Tuchape kazi[emoji120][emoji120][emoji120]
NB: umasikini bado ni mkubwa mno Tanzania kwa ujumla serikali inapaswa kuwa na mikakati madhubuti ya kuondoa umasikini ikiwemo kuboresha bei za mazao ya biashara na kusaidia wakulima.