Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,610
Nimefika,ila nimeishi zaidi Manispaa na Bukoba VijijiniHujawahi fika Muleba?
Nimefika,ila nimeishi zaidi Manispaa na Bukoba VijijiniHujawahi fika Muleba?
shinyanga nayo inakosa vipi? mana kule ndo kwenye ugumu halis wa maishaKila ripoti inayotoka kuhusu umasikini kagera hawachomoki,mi sielewi wachumi hutumia vigezo gani?kuhusu Kigoma na Tabora hilo halishangazi tena nadhani ni masikini duniani
Wacha kutafuta sympathique,kwani mbona likija jambo zuri kwa Kagera mnataka msemwe nyie tu? Kwann linapokuja jambo zuri husemi makabila mengine yaliyopo?Its morning again kupokea matusi kwa wahaya....
Tushazoea...
Mkoa unakuwa maskini lawama zote kwa wahaya...wanaopatikana wilaya tatu za mkoa huo
As if ndo wanapaswa wajenge barabara, wajenge miundombinu, wakusanye kodi nk
Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa akili na huu ndo mkubwa sana hapa nchini....
Anyway kila mtu apambane na hali yake kutukana, kukejeli wahaya hakukusaidii kupata mali na kuwa tajiri....
Shinyanga kuna nafuu,kahama inaubeba na population ni ndogo,so ukigawa pato wako vizuri,kuna madini,kilimo ,ufugajishinyanga nayo inakosa vipi? mana kule ndo kwenye ugumu halis wa maisha
Unavyowaona Wapemba wana mabiashara makubwa mikoa mbalimbali hasa Kariakoo huwezi dhani Pemba wengine hawana hata vyoo. Kuna Mhindi maskini bongo? Ila kwao India kuna maskini chungu nzima.Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Na hii ya mkoa Wenu kuwa na lishe duni nayo serikali iwaletee chakula?Its morning again kupokea matusi kwa wahaya....
Tushazoea...
Mkoa unakuwa maskini lawama zote kwa wahaya...wanaopatikana wilaya tatu za mkoa huo
As if ndo wanapaswa wajenge barabara, wajenge miundombinu, wakusanye kodi nk
Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa akili na huu ndo mkubwa sana hapa nchini....
Anyway kila mtu apambane na hali yake kutukana, kukejeli wahaya hakukusaidii kupata mali na kuwa tajiri....
Mikoa gani CCM Haina wabunge!?Hiyo ndio mikoa yenye wapiga kura nyingi za ndio wa viongozi wa ccm ambayo ni weupe kichwani.
Njaa IPI? Kilimanjaro umaskini ni 10% tu kwa mujibu WA NBSUnaongelea Kilimanjaro ipi..kule si ndio njaa imetamalaki
Dodoma ni maskini kiasiliUmeitoa dodoma, pamoja na serikali kuhamia hapo bado wenyej hawachangamki.
Alafu walkuwa wanaleta battle na KilimanjaroWahaya ukiwaona mikoa mengine afu ukaenda kwao ukaona wanavyoishi utashangaa.. watu wa ajabu sana yaani
Dodoma ni maskini kiasili
[emoji2][emoji2][emoji2]tutawaazima ndege yetu Moja ya precisionMbali sana mzee nauli Bk 85k na Mosh 25k...hatuwezi shindana.
[emoji2][emoji2][emoji2]tutawaazima ndege yetu Moja ya precisionMbali sana mzee nauli Bk 85k na Mosh 25k...hatuwezi shindana.
[emoji2][emoji2][emoji2]tutawaazima ndege yetu Moja ya precisionMbali sana mzee nauli Bk 85k na Mosh 25k...hatuwezi shindana.
Wajifunze kwa Kilimanjaro,Licha ya kusoma lakini hawabagui kazi, Kilimanjaro ni kawaida kukuta MTU Ana degree lakini anamiliki restaurant ya supu kongoro ambayo kwa Siku inamuingizia faida ya 60000Niliona lile andiko la kupinga mkoa wa kagera kumegwa kutengeneza mkoa wa chato, sehemu kubwa ya waliosini andiko hilo walitoa anwani za nje kama marekani, ulaya na afrika kusini. Je, hawatumi fedha kwao? Au ni ubinafsi uliozidi?
Juzi kulikuwa na mtu anaulizia kama kuna mtu anataka housegirl toka kagera, nikashtuka !
Yapo mengi yanayoashiria hilo. Ila wahaya OG ni wavivu wa kazi haswa za shamba....
Hongereni Linddy!Mkuu,
Lindi siku hizi tumeamka Sana.
Tuna misimu ya mazao Kama Sita kwa mwaka inayotufanya tutoke kwenye umasikini wa kutupwa.
Tuna msimu wa mahindi,
Msimu wa kunde,
Msimu wa ufuta,
Msimu wa mbaazi,
Msimu wa korosho,
Na mwisho kabisa msimu wa maembe ambayo kuanzia mwezi wa kumi Hadi wa 12 tunalisha miji mikubwa Kama Dar na Sasa hivi Bahresa ananumua Sana. Si umewahi kusikia "haya ni maembe ya kusini?" Basi ndiyo sisi.
Pia kwa. Maeneo yenye maji ya kutosha tunalima Sana nyanya na vitunguu ambavyo tunalisha mtwara,masasi na Dar es salaam.
Alafu Kuna mgodi wa Namungo ambao upo Ruangwa,unawanufaisha wananchi na kuongeza mzunguko wa hela maana **** wageni wengi Sana Sasa hivi. Rungwa inafikika kwa barababrayya lami na Kuna mahoteli kadhaa ya ghorofa yanayoupendezesha mji.
2025 nikigombea ubunge nikapita ndiyo naenda kuibadilisha moja kwa moja Lindi.
Kwa hiyo Lindi haiwezi kuwa katika hiyo list ya Kigoma,Kagera na Tabora.
Ni Kweli lakini ratio ya Hao wenye maisha hayo dhidi ya wenye maisha duni ni ndogo that's why inakuwa maskiniUmeshafika misenyi,bukoba vijijini na karagwe?hayo nahekalu wapo ndugu huko na wastaafu pia wamo humo.
Umeshafika hizo wilaya nilizotaja lakini,Karagwe hakuna nyumba ya nyasi wala udongo,vyakula vingi,kahawa na mahindi na maharage yanawapa hela sanaNi Kweli lakini ratio ya Hao wenye maisha hayo dhidi ya wenye maisha duni ni ndogo that's why inakuwa maskini
Hâta marekan maskin wapo Ila wachache,virse VESA Kagera
Yaani wenye kipato Kagera ni wachache kuliko wasio Nacho
Hakuna ratio nzuri
Kilimanjaro ratio ya wenye nacho vs wasio Nacho ni ndogo i.e 10% tu ndio maskini
Alafu Kilimanjaro hâta maskini WA mwisho haishi nyumba ya nyasi,at least Kila MTU Kilimanjaro analala nyumba ilioezekwa kwa bati,makazi pia hupima umaskini WA kipato
Hao wenye maisha mazuri Kagera ni wachache kuliko wasio na maisha mazuri,that's why mnakuwa maskiniMengi sana hayahesabiki,kuna mhaya mmoja kaburi lake tu unajenga chumba na sebule