Kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa Baada ya dar
Ni mkoa WA kwanza kwa makazi bora vijijini,ni kawaida kukuta maghorofa vijijini
Ni mkoa wenye miundombinu toshelezi vijijini kwa 90% ushawahi sikia habari za ukosefu WA hudumaa za jamii KILIMANJARO ?
Kilimanjaro vijijin Kuna mtandao mkubwa WA lami na barabara bora, Kilimanjaro ni wapenda maendleo
Mfano mwaka juzi vunjo walichanga zaidi ya bilion 5 kukƔrabati barabara zote za jimbo,just imagine jimbo Dogo kama vunjo wananchi wabachangia bilion 5 ushawah kuona wapi hii?
Aisee aliyetangulia katangulia tu, Kilimanjaro inatikisa kielimu, kiuchumi
Hakuna mkoa wowote TZ utamkosa mchaga,hakuna ofisi yoyote utamkosa mchaga,jambo zuri Wachaga wengi wamesomea kozi za uchumi,bank, biashara,uhandisi yaani zile sekta nyeti nyeti
Wachaga Kila level ya Elimu wamejaa kwanzia diploma,degree, masters,PhD
Vyuo vikuu vyote ukienda ma lecturers wamejaa