Mikoa maskini zaidi yatajwa

Mikoa maskini zaidi yatajwa

Unamdanganya nani? Kilimanjaro ikiwa ya 2 ,Mbeya,Iringa na Njombe zitakuwa za ngapi?

Huko ni magofu tuu kama Kagera.View attachment 2576900
Karibu vijijin Kilimanjaro ujionee mandhari swafi
1672495074965.jpg
1671005729858.jpg
JamiiForums1822237153%20(1).jpg
FB_IMG_16380726775608451.jpg
FB_IMG_16367837495498279.jpg
 
Mkuu,

Lindi siku hizi tumeamka Sana.

Tuna misimu ya mazao Kama Sita kwa mwaka inayotufanya tutoke kwenye umasikini wa kutupwa.

Tuna msimu wa mahindi,
Msimu wa kunde,
Msimu wa ufuta,
Msimu wa mbaazi,
Msimu wa korosho,
Na mwisho kabisa msimu wa maembe ambayo kuanzia mwezi wa kumi Hadi wa 12 tunalisha miji mikubwa Kama Dar na Sasa hivi Bahresa ananumua Sana. Si umewahi kusikia "haya ni maembe ya kusini?" Basi ndiyo sisi.

Pia kwa. Maeneo yenye maji ya kutosha tunalima Sana nyanya na vitunguu ambavyo tunalisha mtwara,masasi na Dar es salaam.

Alafu Kuna mgodi wa Namungo ambao upo Ruangwa,unawanufaisha wananchi na kuongeza mzunguko wa hela maana Kuna wageni wengi Sana Sasa hivi. Rungwa inafikika kwa barababrayya lami na Kuna mahoteli kadhaa ya ghorofa yanayoupendezesha mji.

2025 nikigombea ubunge nikapita ndiyo naenda kuibadilisha moja kwa moja Lindi.

Kwa hiyo Lindi haiwezi kuwa katika hiyo list ya Kigoma,Kagera na Tabora.
Mkuu tuna shukuru kwa taarifa hii yenye kutia moyo..Nadhani Lindi ulikuwa makao makuu ya Jimbo la Southern Province (Linda, Mtwara na Ruvuma) hivyo urudisheni kwenye ubora wake.
 
Lindi mlikuwa serikali imewatupa mno mpaka vijana wanaingia mikoani kufanya kazi...Moja ya mkoa watu wake ni humble hawanaga shobo wala kujitenga .

wanalima ishu ni soko kama serikali ikiwekeza zaidi watakuwa zaidi ya hapo walipo naona ni abandoned area japo ina eneo kubwa sana
 
Kwani unadhani wanavijiji wote Wana hayo majumba? Ni sawa tuu na Kagera Wasomi wamejenga Vijijini lakini wako Mjini Kwa hiyo hayo majumba yanaoza tuu hayaingizi pesa Wala hayafanyi chochote ndio maana biashara kubwa Rombo huko ni Chang'aa..

Mikoa kama Mbeya,Iringa,Njombe watu huko Vijijini Wana uhakika wa chakula hawasubilii kuomba Kwa watu wa Mjini kiasi kwamba Gini Coefficient sio kubwa kama huko kwenu na ndio maana tuko Juu Kwa stable income.
 
upo sahihi kabisa hizo nyumba ndo maama ana chagua pa kupiga picha 😂😂😂 sehemu nyingine pamechakaa
 
Ni kweli wanajenga kagera mahekalu saba ila majumba tu ya likizo

Wazungu wanaita vacation home
Rich Americans huwa na vacation homes vijijini ila hazitumiki muda wote

Wachaga wanajitahidi hurudi Krismasi kwa masses kwenda vacation homes zao hivyo kuongeza mzunguko wa pesa vijijini kwao kwa kununua mazao,mifugo na products za wafanyabiashara walioko kwenye vijiji kuzunguka vacation homes zao

kwa kagera hilo halipo ndio maana hata ukute hekalu kijijini vacation home ya mhaya akienda vacation kila kitu anabeba Supermarket jijini Dar nk akienda kuke ni self contained ha I nject hata mia kijijini sana sana atawakaribisha wale vitu alivyokuja navyo alivyonunua Supermarket alikotoka

Ndio maana umaskini kagera vijijini ni endelevu

Sababu haamini Products zinazozalishwa kagera sababu hazina nembo ya TBS au ISO certification ziwe ndizi au senene nk
Mkuu points zako zipo sahihi kwa kujibu hoja ya umaskini wa Kagera.. Vile vile hao wanao jaribu kwenda ni robo tu, wengi wanabaki sehemu zao za kazi ambako ndio makazi yao.
 
Mkuu tuna shukuru kwa taarifa hii yenye kutia moyo..Nadhani Lindi ulikuwa makao makuu ya Jimbo la Southern Province (Linda, Mtwara na Ruvuma) hivyo urudisheni kwenye ubora wake.
Lindi na Ruvuma zinamezwa na Mtwara hivyo ni Ngumu sana kwa Lindi kuwa kama enzi hizo.
 
kabisa mf Sir George Kahama hajawai kuish kwao miaka na miaka anarudigi siki za sikukuu tu au mwisho wa mwaka
Mbona alishakufaga kitambo Mkuu na kazikwa huko karagwe...na kwao kajenga mjengo mzr tu ambayo hata masaki unazitafuta kwa tochi....
Sasa yeye kama hafanyi kazi huko ataendaje tena?

Tatizo mnaongea kwa hisia sana juu ya wahaya...ni lini wahaya wakakusanya kodi? Ni kabila ndo linajenga miundombinu ? Kama ni kabila ni wap huko kabila likajenga barabara nk

By the way izo ni takwimu za serikali kuhusu mapato yao ya serikali na contribution ya population katika mapata hayo...GDP per capita...
Lakin kiuhalisia ukienda huko uhayani hakuna umaskimi kiasi hicho...wew uliwahi sikia watu wa kagera wanaomba chakula? Wanaomba muwasaidie mahitaji muhimu? Ushawahi sikia njaa kagera?
 
Back
Top Bottom