cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,076
- 10,106
Wahaya wanasifa mjini hapa ila kwao njaa kali
Aliyesema hivyo kuna uwezekano mkubwa alifeli jiografyia ya form 2Kuna mtu kasema umaskini unaletwa na mabadiliko ya tabia ya nchi
Mtulizeni jamani, yaani mnawafanyia kipigo kwa kipigoNa hii ya mkoa Wenu kuwa na lishe duni nayo serikali iwaletee chakula?View attachment 2576192
Kagera haisingiziwi make hata kwa sasa nipo kagera kila kona pananuka umasiki,dhiki na shidaKagera wanawasingizia tu
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia mojaKagera wilaya kama ngara,biharamulo na misenyi ni wilaya maskini sana
Wenzetu wanapendana, sio sisi wazaramo na wakwere hatupendani, mi niliona chuo, wachaga wanaelewana, wanasaidiana wafaulu sisi kuchambana na kununiana.Wanabebwa na makabila mengine yaliyo Ktk jamii zao
Mfano wachaga dar wameinunua tangu zamani,hâta ukija kisarawe , bagamoyo,kibaha NK Wachaga wamewasogeza hivyo maendleo yaliyo Ktk jamii hizo yanawabeba ijapokuwa wao hawana kitu
we jamàa sijui kama kwenu mna pesa kwa kweli ? yaani umekazania kila point wachaga yaani huelewki !Wanabebwa na makabila mengine yaliyo Ktk jamii zao
Mfano wachaga dar wameinunua tangu zamani,hâta ukija kisarawe , bagamoyo,kibaha NK Wachaga wamewasogeza hivyo maendleo yaliyo Ktk jamii hizo yanawabeba ijapokuwa wao hawana kitu
Ajifanye kama anajikuna[emoji2][emoji2][emoji2]ohooooo umeharibu, kuna mtu anaitwa INSTANBUL hapendi kuona au kusikia hizi taarifa
Kosa kubwa walitaka Ku battle na KilimanjaroMtulizeni jamani, yaani mnawafanyia kipigo kwa kipigo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Upo sehemu Gani!?Kagera haisingiziwi make hata kwa sasa nipo kagera kila kona pananuka umasiki,dhiki na shida
Wewe huna kwenu? MTU KWAOwe jamàa sijui kama kwenu mna pesa kwa kweli ? yaani umekazania kila point wachaga yaani huelewki !
Ebu punguza kusifia kwenu unaonekana mshamba sana yaani kiwango cha juu
Kuna kitu kinaitwa ""Human Development index (HDI)" hiki ndicho kipimo kikubwa sana hutumika na watafiti kupima hali kimaendeleo kwa wananchi mmoja mmoja kuanzia upatikanaji wa elimu, afya, kipato pamoja na mengine mengi kwa eneo husika la utafiti.Huwa siamini kuwa Kagera inapitwa na Pwani na Lindi
Atakuwa yupo muhutwe Au kibangaUpo sehemu Gani!?
Asante umejibu kisomi kabisa,hii factor ndio inaibeba Kilimanjaro Kila mwaka ,na Kilimanjaro hâta Siku Moja sidhani kama itakaa iporomokeKuna kitu kinaitwa ""Human Development index (HDI)" hiki ndicho kipimo kikubwa sana hutumika na watafiti kupima hali kimaendeleo kwa wananchi mmoja mmoja kuanzia upatikanaji wa elimu, afya, kipato pamoja na mengine mengi kwa eneo husika la utafiti.
Kagera wanaweza kuwa na watu wachache wenye uwezo mkubwa ila hai-reflect maisha ya jumla ya wanachi wote wanaoishi Kagera. Tofauti kabisa na Pwani na Lindi ambapo wanaweza kuwa na watu wachache sana wenye uwezo mkubwa ila kiujumla wananchi wake kwa asilimia kuwa wanapata huduma za msingi ukilinganisha na Kagera.
Mfano mzuri ni nchi kama Switzerland, hawa jamaa uchumi wao kama nchi sio mkubwa kuliko Marekani au Ujerumani ila wana-score nzuri sana ya HDI yaani wanayazidi mataifa hayo kwa hali ya kipato kwa mwananchi mmoja mmoja, afya pamoja na elimu. Wananchi wao wanapata hayo mahitaji juu ya wastani wa mataifa yenye uchumi mkubwa kuwaliko.
wana roho mbaya sana wala sishangai. Waliosoma na wahaya darasa moja au kufanya nao kazi ofisi moja watanielewa. Ni wabinafsi na wachoyo mno hata wao kwa wao, ukiwakuta wanaelewa ujue wanatoka kijiji kimoja au ukoo mmojaMakamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
kwenu umekuwa mdada nn toa ushamba hapa kakae porini kweny migomba kama tumbiri.Wewe huna kwenu? MTU KWAO
hujakatazwa na wewe kwanini hupendi kwenu?
Ni stage tu hiyo. Unaona hii Tabora ambayo ni maskini sasa hivi, miaka ya kina Tippu Tip ilikuwa eneo lenye utajiri mkubwa kabisa. Kilwa enzi za Waarabu lilikuwa ni jiji pwani ya Afrika Mashariki na hamna kakijiji kalikuwa kanaizidi kipindi Dar ni mashamba ya mpunga na kijiji cha wavuvi. Leo Kilwa hata manispaa sijui kama wanayo.Watu pekee walioweza kuwa matajiri nyumbani na ugenini ni Wachagga. Kuna la kujifunza kutoka kwa miamba hii.
atapunguzaje kusema ukweli. kama hakuna ukweli basi tumseme kwa uongo wakewe jamàa sijui kama kwenu mna pesa kwa kweli ? yaani umekazania kila point wachaga yaani huelewki !
Ebu punguza kusifia kwenu unaonekana mshamba sana yaani kiwango cha juu
Kwamba kule 100% ni matajiri vile visa vya mtu kufa kwa kukosa pesa pesa ya kwena hopistali ilikuwa mkoa gani? Mtoto aliyeshindwa chuo kulipa million moja mpaka waziri ummy mwalimu akamsaidia alikuwa wa mkoa gani?atapunguzaje kusema ukweli. kama hakuna ukweli basi tumseme kwa uongo wake
Nakubaliana na wewe kwa aKagera wilaya kama ngara,biharamulo na misenyi ni wilaya maskini sana
Nipo nyakahura wilayani BiharamuloUpo sehemu Gani!?