Mikoa maskini zaidi yatajwa

Mikoa maskini zaidi yatajwa

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,238
Reaction score
11,907
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema umasikini upo vijijini zaidi. Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni
  1. Kigoma,
  2. Singida,
  3. Tabora,
  4. Dodoma,
  5. Kagera.


Inakuaje Kagera nayo inakuwa hapo na wasomi wengi?
 
Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Umaskini upi tena?

FsyxxPlXwAEtAiA.jpeg
 
Back
Top Bottom