roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,708
- 2,885
Kwa kina mpwayungu hoi!!
Kusoma Sana ni chanzo cha umaskini,, wenye hela wengi ni wenye elimu za kawaida na darasa la 7.
Wasomi matajiri ni wa kumulika na tochi
Sahihi kilimanjaro umaskini vijijini wamejitahidi mno kuuondoaHamna kitu Kila Siku nawaambiaga waje Kilimanjaro tuwafundshe uchumi wanakuwa wabishi
Tafsir nzuri ya Elimu manake iondoe umaskini
Asante sana mkuu usisahau Na nazi za ng'apa..mabonde ya Rutamba Milola mtua nyangao n.kMkuu,
Lindi siku hizi tumeamka Sana.
Tuna misimu ya mazao Kama Sita kwa mwaka inayotufanya tutoke kwenye umasikini wa kutupwa.
Tuna msimu wa mahindi,
Msimu wa kunde,
Msimu wa ufuta,
Msimu wa mbaazi,
Msimu wa korosho,
Na mwisho kabisa msimu wa maembe ambayo kuanzia mwezi wa kumi Hadi wa 12 tunalisha miji mikubwa Kama Dar na Sasa hivi Bahresa ananumua Sana. Si umewahi kusikia "haya ni maembe ya kusini?" Basi ndiyo sisi.
Pia kwa. Maeneo yenye maji ya kutosha tunalima Sana nyanya na vitunguu ambavyo tunalisha mtwara,masasi na Dar es salaam.
Alafu Kuna mgodi wa Namungo ambao upo Ruangwa,unawanufaisha wananchi na kuongeza mzunguko wa hela maana Kuna wageni wengi Sana Sasa hivi. Rungwa inafikika kwa barababrayya lami na Kuna mahoteli kadhaa ya ghorofa yanayoupendezesha mji.
2025 nikigombea ubunge nikapita ndiyo naenda kuibadilisha moja kwa moja Lindi.
Kwa hiyo Lindi haiwezi kuwa katika hiyo list ya Kigoma,Kagera na Tabora.
Unanipigia tuu maliNakubaliana na wewe kwa a
Nipo nyakahura wilayani Biharamulo
Hujafika bukoba wewe,baada ya wachaga wanafuata wahaya kwa kujenga mahekalu vijijini kwaoWahaya wakija mjini hawarudi kwao wala hawatumi remittance tofauti na wachaga ambao kabla hujajenga mjini lazima ufanye ujenzi kijiji kwenu. Uhayani vijijini nyumba hazina tofauti za zile za kule kwa Wasandawe.
Wilaya mbili tu ndio zinawaharibia ,ngara na biharamulo na huko hakuna wahayaWamejenga sana ila kuna wengine wengi vijijini wana maisha ya chini
Maisha ni nyumba Sawa kijana?kwenu umekuwa mdada nn toa ushamba hapa kakae porini kweny migomba kama tumbiri.
Tafuta pesa umaskinj unakusumbua unajificha kweny kivuli cha kabila ...Tafuta pesa kijana angalia familia yako ndo maisha yako usiite watu maskini then wewe unanuka shida.
kama una mentality sijui kwenu bado mshamba sana tafuta pesa wakina Mo wangeenda kujenga kwao nje na waarabu wengine.
Maisha ni nyumba Sawa kijana?kwenu umekuwa mdada nn toa ushamba hapa kakae porini kweny migomba kama tumbiri.
Tafuta pesa umaskinj unakusumbua unajificha kweny kivuli cha kabila ...Tafuta pesa kijana angalia familia yako ndo maisha yako usiite watu maskini then wewe unanuka shida.
kama una mentality sijui kwenu bado mshamba sana tafuta pesa wakina Mo wangeenda kujenga kwao nje na waarabu wengine.
Endelea kuishi kwa shemeji Yako Bado hujui maishakwenu umekuwa mdada nn toa ushamba hapa kakae porini kweny migomba kama tumbiri.
Tafuta pesa umaskinj unakusumbua unajificha kweny kivuli cha kabila ...Tafuta pesa kijana angalia familia yako ndo maisha yako usiite watu maskini then wewe unanuka shida.
kama una mentality sijui kwenu bado mshamba sana tafuta pesa wakina Mo wangeenda kujenga kwao nje na waarabu wengine.
Hawana uwzo huo, wachaga wanazidi kuendelea both economical and educationalNi stage tu hiyo. Unaona hii Tabora ambayo ni maskini sasa hivi, miaka ya kina Tippu Tip ilikuwa eneo lenye utajiri mkubwa kabisa. Kilwa enzi za Waarabu lilikuwa ni jiji pwani ya Afrika Mashariki na hamna kakijiji kalikuwa kanaizidi kipindi Dar ni mashamba ya mpunga na kijiji cha wavuvi. Leo Kilwa hata manispaa sijui kama wanayo.
Ni kupokezana. Decaying ishaanza usitarajie Wachaga kuendelea zaidi ya hapa, its either wamaintain au warudi nyuma. Promising future ni kwa Wakinga hata hao Waha wanaonyesha sign ya kukua
[emoji2][emoji2][emoji2]Hawa vyasaka Wana mangamanga hawana hojaatapunguzaje kusema ukweli. kama hakuna ukweli basi tumseme kwa uongo wake
Kilimanjaro 10% tu ndio maskiniKwamba kule 100% ni matajiri vile visa vya mtu kufa kwa kukosa pesa pesa ya kwena hopistali ilikuwa mkoa gani? Mtoto aliyeshindwa chuo kulipa million moja mpaka waziri ummy mwalimu akamsaidia alikuwa wa mkoa gani?
jaribu kuangalia maisha ya kwenu na wazazi wako au yako ndo uanze kujaji mtu usiwe tu general sisi mara ni billionaire wakati wewe kwenu maskini! kabilq litakusaidia nn pamban kimpango wako
Bia mbili tafadhali bili Juu yangu[emoji2][emoji2][emoji2]Sahihi kilimanjaro umaskini vijijini wamejitahidi mno kuuondoa
Ni role model ya nchi wahaya waende kujifunza kilimanjaro
Ndo Huwa wanajifichaga kwenye hiyo sábabuKagera watasema sababu ni vita ya iddi amin dadaa.
Vipi ruvuma ( stand ya super feo) haipo?Acha ujinga mbona hujaiweka dodoma.
List ni hii
1.kigoma
2.Dodoma
3.Singida
4.kagera
5.Tabora
Dah,mkuu wewe unapatikana wapi?Asante sana mkuu usisahau Na nazi za ng'apa..mabonde ya Rutamba Milola mtua nyangao n.k
Toa ujinga wako hapa! unaijua kilimanjaro yote nenda upareni ukaone.Kilimanjaro 10% tu ndio maskini
Hâta USA wapo maskini
Alafu maskini WA Kilimanjaro hawalali nyumba za tembe kama kule kwenu ibadakuli, Kilimanjaro 100% wanalala nyumba zilizoezekwa kwa bati