Mikoa maskini zaidi yatajwa

Mikoa maskini zaidi yatajwa

Yaani ukitoa Kilimanjaro, mikoa mingine ya Tanzania ni majanga matupu kwa sehemu kubwa. Kiujumla kwa sehemu kubwa ya nchi kuna harufu kali ya umaskini. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Serikali izidi kupambana sana kwenye miundombinu, kilimo na elimu. Watu wengi wakipata elimu bora watapambana kujikwamua. Hata Kilimanjaro walitanguliza elimu ndo maana wako hapo walipo.
Huko Kilimanjaro kuna nini, tutolee utapiamlo hapa.
 
Yaani ukitoa Kilimanjaro, mikoa mingine ya Tanzania ni majanga matupu kwa sehemu kubwa. Kiujumla kwa sehemu kubwa ya nchi kuna harufu kali ya umaskini. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Serikali izidi kupambana sana kwenye miundombinu, kilimo na elimu. Watu wengi wakipata elimu bora watapambana kujikwamua. Hata Kilimanjaro walitanguliza elimu ndo maana wako hapo walipo.
Hata huko Kilimanjaro watu wamechoka sana,hakuna unafuu labda useme tunazidiana kwenye umaskini, hii nchi watu waliojikomboa toka kwenye umaskini ni asilimia ndogo sana.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Uhalisia Kagera kuna maeneo wana maisha magumu sana.

Almost mikoa yote iliyotajwa wananchi wake hawapendi kazi ngumu;-
1.Kagera
2.Dodoma
3.Singida
4.Tabora
5.Kigoma

Tufanyeni kazi, hata kama we mkulima jitahidi kupanua kilimo chako. Kagera utakuta mtu anategemea mashina 10 ya migomba kwa mwaka mzima yamlishe na maharage saizi ya kiwanja cha ujenzi[emoji1787].

Ukija kwa wagogo akina Mpwayungu hao ndiyo duni kabisa kuanzia elimu, kilimo na hata ustawi wa jamii ni duni.

Tuchape kazi[emoji120][emoji120][emoji120]

NB: umasikini bado ni mkubwa mno Tanzania kwa ujumla serikali inapaswa kuwa na mikakati madhubuti ya kuondoa umasikini ikiwemo kuboresha bei za mazao ya biashara na kusaidia wakulima.
 
Ni kweli wananchi wa Tabora, Kigoma na Singida hawapendi kazi ngumu?
Kuna watu wachakarikaji kama waha, wanyaturu, wanyiramba na wanyamwezi?
Hawa watu wanaangushwa na ardhi isiyo na rutuba na ukama lakini wanalima sana na kuvuna kidogo.

Ni kweli muhaya hapendi kazi ngumu lakini hawafiki watu wa Pwani wapiga tarumbeta na umbea.
Nado najiuliza Pwani mbona watu hahe hohe kuliko bara lakini hawapo kwenye orodha?
Naongea kwa uzoefu...nimeishi Pwani miaka mingi kuliko mikoa mingine...hao jamaa hufanya kazi kwa kulazimishwa na migambo na wana mlo mkuu mmoja plus chai ya saa 9 alasiri nfio imetoka hivi
 
Hiyo milo miwili na yenyewe milo basi, kipande cha mhogo kwa nazi au gahawa na kashata.
Kashata waitoe wapi huko Kisarawe, Maneromango, Chole hadi masaki ya kisarawe?
 
Hayo mahekalu ndo yanafanya mkoa uwe tajiri? Hivi watu mnatumia nini kufikiri [emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Waweke vigezo sasa maana wale jamaa wanalala sehwmu nzuri na wanakula vizuri,ardhi yao bado ina rutuba inastawisha mazao mengi,kama unalala pazuri,unakula vizuri,watoto wanasoma ??? Still uniite masikini?labda mchango wa Mkoa kitaifa kwa makusanyo ya kodi
 
Mi pia nashangaa ila kuhusu majumba,kule migombani kuna mahekalu hatari utasema uko masaki
Ni kweli wanajenga kagera mahekalu saba ila majumba tu ya likizo

Wazungu wanaita vacation home
Rich Americans huwa na vacation homes vijijini ila hazitumiki muda wote

Wachaga wanajitahidi hurudi Krismasi kwa masses kwenda vacation homes zao hivyo kuongeza mzunguko wa pesa vijijini kwao kwa kununua mazao,mifugo na products za wafanyabiashara walioko kwenye vijiji kuzunguka vacation homes zao

kwa kagera hilo halipo ndio maana hata ukute hekalu kijijini vacation home ya mhaya akienda vacation kila kitu anabeba Supermarket jijini Dar nk akienda kuke ni self contained ha I nject hata mia kijijini sana sana atawakaribisha wale vitu alivyokuja navyo alivyonunua Supermarket alikotoka

Ndio maana umaskini kagera vijijini ni endelevu

Sababu haamini Products zinazozalishwa kagera sababu hazina nembo ya TBS au ISO certification ziwe ndizi au senene nk
 
Umeshafika misenyi,bukoba vijijini na karagwe?hayo nahekalu wapo ndugu huko na wastaafu pia wamo humo.
 
Niliona lile andiko la kupinga mkoa wa kagera kumegwa kutengeneza mkoa wa chato, sehemu kubwa ya waliosini andiko hilo walitoa anwani za nje kama marekani, ulaya na afrika kusini. Je, hawatumi fedha kwao? Au ni ubinafsi uliozidi?
Juzi kulikuwa na mtu anaulizia kama kuna mtu anataka housegirl toka kagera, nikashtuka !

Yapo mengi yanayoashiria hilo. Ila wahaya OG ni wavivu wa kazi haswa za shamba....
 
Back
Top Bottom