Mikoa maskini zaidi yatajwa

Mikoa maskini zaidi yatajwa

Unaweze jenga nyumba ya m 50,000 000 katikati ya watu masikini nyumba sio kigezo cha kuondoa umasikini
Income inequality is wide in kagera region, Kuna wenye vijisent Kama akina Tibaijuka,na Kuna makapuku with zero shiling, hivyo average income= (100%+00%)÷2=50% few own large proportion of resources while the majority are absolutely poor!
 
Wapo mabebari wachache,ila watanzania wengi wanakosa Milo 3
 
Nguvu kubwa inahitaji kuwekwa huko
 
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema umasikini upo vijijini zaidi. Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni
  1. Kigoma,
  2. Singida,
  3. Tabora,
  4. Dodoma,
  5. Kagera.
View attachment 2577029

Inakuaje Kagera nayo inakuwa hapo na wasomi wengi?
Kwa niliyoyaona KAGERA, Mtanzania yeyote kutoka mikoa mingine (MNYAMAHANGA) ataefanikiwa kuishi na wale watu angalau miaka mi3, basi mtu huyo hakuna mahali ambapo atashindwa kuishi Tanzania hii .

Wahaya ni WAPUMBAVU kwa asilimia kubwa.
 
Mi hata kigoma nina wasiwasi maana katika safar yangu ya maisha waha ndio vijana wanafuatia wakinga kupambana. Sema hizo jamii kwao hawajengi coz ya uchawi lakin wako vizur
Unadhani umaskini unaletwa na uvivu pekee?
kigoma ni mbali na masoko hata kama wanalima sana
 
Mkuu,

Lindi siku hizi tumeamka Sana.

Tuna misimu ya mazao Kama Sita kwa mwaka inayotufanya tutoke kwenye umasikini wa kutupwa.

Tuna msimu wa mahindi,
Msimu wa kunde,
Msimu wa ufuta,
Msimu wa mbaazi,
Msimu wa korosho,
Na mwisho kabisa msimu wa maembe ambayo kuanzia mwezi wa kumi Hadi wa 12 tunalisha miji mikubwa Kama Dar na Sasa hivi Bahresa ananumua Sana. Si umewahi kusikia "haya ni maembe ya kusini?" Basi ndiyo sisi.

Pia kwa. Maeneo yenye maji ya kutosha tunalima Sana nyanya na vitunguu ambavyo tunalisha mtwara,masasi na Dar es salaam.

Alafu Kuna mgodi wa Namungo ambao upo Ruangwa,unawanufaisha wananchi na kuongeza mzunguko wa hela maana Kuna wageni wengi Sana Sasa hivi. Rungwa inafikika kwa barababrayya lami na Kuna mahoteli kadhaa ya ghorofa yanayoupendezesha mji.

2025 nikigombea ubunge nikapita ndiyo naenda kuibadilisha moja kwa moja Lindi.

Kwa hiyo Lindi haiwezi kuwa katika hiyo list ya Kigoma,Kagera na Tabora.
Wamachinga mmeamka
 
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema umasikini upo vijijini zaidi. Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni
  1. Kigoma,
  2. Singida,
  3. Tabora,
  4. Dodoma,
  5. Kagera.
View attachment 2577029

Inakuaje Kagera nayo inakuwa hapo na wasomi wengi?
Kutwa utasikia wakiandamwa watu wa pwani eti wavivu, ila kwenye kumi Bora za umaskin hamna mkoa wa pwani hata mmoja.
 
Unadhani umaskini unaletwa na uvivu pekee?
kigoma ni mbali na masoko hata kama wanalima sana
Hakuna sehem mbali dunian mzee. Ni watu na asili zao tu walivyo. Mzungu angekuwa na mawazo yako asingeitawala dunia
 
Hakuna sehem mbali dunian mzee. Ni watu na asili zao tu walivyo. Mzungu angekuwa na mawazo yako asingeitawala dunia
Hiyo ni akili za kitoto sana remoteness na isolation zinachangia umaskini
Embu angalia nchi maskini zaidi
Africa na Asia zina geography zipi?? Utakuja kunieleza?
 
Kagera kwanza ukabila mwingi, hakuna mwingiliano wa watu huko thats why biashara inakua hamna
 
Back
Top Bottom