El Gato
Member
- Aug 16, 2019
- 46
- 39
Man City jini kaishafunga la piliPsg na Manchester city swaelewi
Hii ndio maana ya KAMARI mkuu; sio jambo la uhakika 100%
Mpumbavu sana pamoja na mpinzani wake kula umeme mapemaaa kanikosesha nusu laki.Panathinaikos
Anafungwa na watu pungufu!! Aiseee!Panathinaikos
Ndio basi tena; tuanze kusuka mikeka ya kesho aisee! Hawa mbwa wamebeti kwa mara ya pili tena maana kuna siku walipata red card ya kijinga kama hii wakatuchania mikeka.PSG red Card ♦️
Naomba tulale tuuu
Ofi crete wamekula umeme dk ya 8 nikasema baaasiiii... Sasa ivi wapo 90'+ kapigwa 1 mtungi...yaan siamini kabisaaa
Hawa mikundu leo watatulaza na viatu aisee:
View attachment 2461522
Sijui mbape na mess hawapo maana nwasubiri wao tu na poto nimeweka over 2.5Man City jini kaishafunga la pili
Psg ndio jinamizi
Huyu neema senge sana ndiyo maana Mbappe anataka auzwe shenzi kabisa alikuwa bado yeye tu mkeka upumueHuyu Neymar ameisha,show game nyingiii
Red Card kiungo mzoefu,shenz tiger
Huyu makende kafunga goli halafu amelirudisha. Hii ligi ya Ufaransa afadhali hata ligi ya bongo aisee. Ligi ya kikuma kweli!
Kuna mtu alitoa tahadhari mapema kuhusu PSGHawa mikundu leo watatulaza na viatu aisee:
View attachment 2461522