Unapogusia kuangaliwa nia ndo unaniacha nje.
JIbu lako haliko clear and certain!
unamaanisha kuna mazingira ya kuwa na akaunt 2 lisiwe kosa!
Nahoji sana kwa sabab naweza kuwin mkeka wangu wakaangalia nina akaunt ingine kwa line ingine na haijabet lakin wakatumia sheria hiyo kukunyima malipo.
Kumbe jibu ukilejea juu utalipata hapo
Screenshot_20221228-222313.jpg

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mi nikitaka jibu la kisheria.
Mf nina line 2 mitandao tofauti zote nina akaunt betting company 1. Ni kosa?
Mtu mmoja kuwa na akaunti 2 katika kampuni 1 ni kosa.
Hata ukasajilia kwa namba tofauti ni kosa, watakujua ila hawatakwambia, watakusubiri uingie kwenye 18 zao ule hela nyingi.
Watazifuta akaunti na pesa iliyokuwa kwenye akaunti itajumlishwa kwenye mapato ya mwaka ya kampuni.

Hawa jamaa wana kinga zinazowalinda kwenye T&C ambazo wateja tumekubaliana nazo wakati wa kujisajili ila wengi huwa hatusomi.

Kama una akaunti 2 na una mpango wa kupiga pesa ndefu siku moja, waandikie email watumie vitambulisho vyako waambie waunganishe au wafute akaunti kwa ushahidi wa mbeleni kwenye siku za neema.

Hata kama kwenye akaunti nyingine umepoteza ufikiaji(access) kumbukumbu zipo kwamba una akaunti nyingine, watautumia huo mwanya kukupiga.
 
Nimeshwaandikia aisee.
 
KWeli ni uzembe kutopitia T&C. Ndio nina mpango mahusus wa rollover nimerehearsal vya kutosha

Kweli wengi huwa hatusomi T&Cs.
Mimi siku nikiwaga sina mudi ya kubeti au sina hela huwa napitiaga tu T&Cs, betting grocery ya kampuni husika kama ipo nk.
 
NBA is rolling.......tonight....matokeo ya leo 🏀 yatashangaza mno kwa mechi 2 Kati ya 8 zinazocheza asubuhi ya leo .......

Imebaki mechi 1 Kati ya 13 za code ya basket niliyoileta jioni humu....hiyo hapo chini🔽 nipate stake ya NBA code nimeshasuka na usingizi huoo...dah!
 
Attachments

  • Screenshot_20221228-230901.png
    Screenshot_20221228-230901.png
    23.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221228-230912.png
    Screenshot_20221228-230912.png
    25.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221228-230922.png
    Screenshot_20221228-230922.png
    28.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221228-230934.png
    Screenshot_20221228-230934.png
    26.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221228-230948.png
    Screenshot_20221228-230948.png
    27.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221228-230959.png
    Screenshot_20221228-230959.png
    27.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221228-231009.png
    Screenshot_20221228-231009.png
    24.6 KB · Views: 4
NBA is rolling.......tonight....matokeo ya leo yatashangaza mno kwa mechi 2 Kati ya 8 zinazocheza asubuhi ya leo .......

Imebaki mechi 1 Kati ya 13 za code ya basket niliyoileta jioni humu....hiyo hapo chini nipate stake ya NBA code nimeshasuka na usingizi huoo...dah!
Mkubwa tafuta na sportbet utupie odd Mkuu au
 
Back
Top Bottom