blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,047
- 2,723
Kumbe jibu ukilejea juu utalipata hapoUnapogusia kuangaliwa nia ndo unaniacha nje.
JIbu lako haliko clear and certain!
unamaanisha kuna mazingira ya kuwa na akaunt 2 lisiwe kosa!
Nahoji sana kwa sabab naweza kuwin mkeka wangu wakaangalia nina akaunt ingine kwa line ingine na haijabet lakin wakatumia sheria hiyo kukunyima malipo.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app