Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,461
- 2,386
Code iko wapi mkuuHuo mkeka mpaka alhamisi
Odds: 1600+
Mkeka ni over 1.5
Tujaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Code iko wapi mkuuHuo mkeka mpaka alhamisi
Odds: 1600+
Mkeka ni over 1.5
Tujaribu
Huo mkeka upo wapi mkuu? Hebu utupie humu tunakiri.Huo mkeka mpaka alhamisi
Odds: 1600+
Mkeka ni over 1.5
Tujaribu
Imeniuma sana hii...tim 13 zote zimtoa afu matako anafungwa dakika ya nyongeza aseeKweli uchawi upo..... Yaani mtu kaingia dak za 90+1 then 90+3 anaweka goli brann wanasawazisha na mpira unaisha..View attachment 2034189
man u na Barcelona nimepiga" lock"Man u mmamma mamay
Odds 23 za leo hizi hapa, kampuni ni Sportybet
Akili ya Kuambiwa changanya na y kwako, Bet what you can afford to loose. Ukiweka allowance ya kukosa mechi moja znapungua kua odds 6
kwann uweke draw no bet? kwanini usiweke 1X or 2X?View attachment 2034483
Behewa limefika salama, ila limepungua sana sababu lilitumia mfumo wa "DRAW NO BET" na Mechi nyingi zimeenda sare.
All in all, Something is better than nothing.
Hawa jamaa wajanja sana unakuta hiyo option ya 1x au 2X unakuta haipo halafu ndiyo unakuta draw na bet pekee yakekwann uweke draw no bet? kwanini usiweke 1X or 2X?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
SafiView attachment 2034483
Behewa limefika salama, ila limepungua sana sababu lilitumia mfumo wa "DRAW NO BET" na Mechi nyingi zimeenda sare.
All in all, Something is better than nothing.
Jipige kifuani kisha sema mm n falasiWadau hii wiki nimekula kichapo kizito. Bahati mbaya sina kazi nategemea kubet tu.
Hahahah kiongozi nijiite fala kwanini?Jipige kifuani kisha sema mm n falasi
Sasa sii uweke timu 5 unaweka million unatuliaUsikate tamaa mkuu; kuna siku mambo yatatiki. Usichoke kujaribu. Siku za hivi karibuni nimefanikiwa kula baadhi ya mikeka ya treni. Tazama mikeka hii hapa chini imechanwa na timu moja tu huwezi kuamini 👇 Mkeka No 2 ulikuwa na timu 26 lakini timu moja tu ikachana
Mkeka No 1
View attachment 2034211
Mkeka No 2
View attachment 2034216View attachment 2034245
NawapatajeKuweka pesa tumia mawakala wapo
+254111964965.Nawapataje
Wewe umeweka?Sasa sii uweke timu 5 unaweka million unatulia