Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,278
- 4,274
Bado mechi za kesho7F43BF my edit
Huo pia ninao mkuu, elfu Hamsini Kwa Jero kila la kheri kwetuBado mechi za kesho
Hapo sasa ndiyo unaanza kujilaumu Bora ungeweka Mia mbili Haha 😂😂😂😂 all in all ahsante bigboi Mungu akuzidishie uendelee kuleta codeNikatia 100 mae
Mtaji 28167 nmepata
Asante kwa codes
SureHapo sasa ndiyo unaanza kujilaumu Bora ungeweka Mia mbili Hahaall in all ahsante bigboi Mungu akuzidishie uendelee kuleta code
Ndio ndio mkuu, hii nimeishi nayoBado mechi za kesho
Watu wanakula kimya kimya hawataki ht kusema asante, ila wakuu tuwe tunasema asante hii itaendelea kumpa imani na furaha kwa waleta Codes na boss wetu bigboiKuna watu wengi Sana humu wamepiga mpungu kupitia hiyo code, Ila wamejikausha Tu, bigboi haombi hata Mia semeni Tu thanks inatosha Haha 😂😂😂😂 .
Note huu mkeka wangu wa Leo NI special Kwa kuwalingishia wale wote waliokuwa wanasema kuweka treni NI kupoteza Muda, na wakaanza kumsimanga big mpaka akasepa Kwa wiki kadhaa ,bila hivyo Leo tungekuwa mbali sana Haha 😂😂😂😂😂 Jero Tu nimepata laki
Hakika mkuu, siku zote sitaacha kushukuru mkuu Mimi na basketball wapi na wapi? Hata kufuatilia live sijui nini kinaendelea lakini bigboi muokozi wetu watake wasitake ukweli lazima usemweWatu wanakula kimya kimya hawataki ht kusema asante, ila wakuu tuwe tunasema asante hii itaendelea kumpa imani na furaha kwa waleta Codes na boss wetu bigboi
Hongera MdauKuna watu wengi Sana humu wamepiga mpungu kupitia hiyo code, Ila wamejikausha Tu, bigboi haombi hata Mia semeni Tu thanks inatosha Haha 😂😂😂😂 .
Note huu mkeka wangu wa Leo NI special Kwa kuwalingishia wale wote waliokuwa wanasema kuweka treni NI kupoteza Muda, na wakaanza kumsimanga big mpaka akasepa Kwa wiki kadhaa ,bila hivyo Leo tungekuwa mbali sana Haha 😂😂😂😂😂 Jero Tu nimepata laki
Mm mwnyw sielewi basketball wala cricket so codes zote za michezo hy naibeba kama ilivyo then ni mwendo wa kutoa shukrani tuu.Hakika mkuu, siku zote sitaacha kushukuru mkuu Mimi na basketball wapi na wapi? Hata kufuatilia live sijui nini kinaendelea lakini bigboi muokozi wetu watake wasitake ukweli lazima usemwe
Ahsante mkuu, mapambano yaendeleeHongera Mdau
Sie wa SGR tunajua umuhim wake