Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,715
- 6,674
Nimelia Sana wiki hii siku mbili watu wanawin lakini sikuwa mmojawapo Leo nimebahatika Haha ๐๐๐๐
Nimelia Sana wiki hii siku mbili watu wanawin lakini sikuwa mmojawapo Leo nimebahatika Haha ๐๐๐๐
๐๐๐๐kaka. Mafungu ya nyanya mbovu tupo hapa gengeni๐๐๐. Online 24/7.. mikeka 90 win 0๐๐๐Nimenyanyua mikono juu, mm ni fungu la kukosa.
Nimelia Sana wiki hii siku mbili watu wanawin lakini sikuwa mmojawapo Leo nimebahatika Haha
Yeah, ndo hio hongera brotherNasubili hii game iishe , over 0 si tayari hapo
Mkuu Kwa siku mnaotuma code zaidi ya 50 buku mara Hamsini shilingi ngapi? Ngoja Sisi wa Jero Jero tuinuke Kwanza tutafika levo zenu Kwa msaada wenu WA uchambuzi WA gameJaman 2023 twende na buku buku hixi jero jero tuzikatae sem amina yarabi
Code NNE ila Mbaga Jr kapita na codes 30+ hiyo hajaiona daaah, siku yake IPO Tu
Haya mambo bwana, jana nilipita na code 20, kanji akafyeka zote
Leo sikuwa na mtaji nikapita zangu tu na code 4 kinjonge, moja imetiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ila jamaa anapiga pesa sanaYaaaannndio lakwanza yaan jana kama si polisi kujazana kulikuwa hatare mkuu...nakilamda mnakumbushwa ambao awajatoa sadaka za ....wanapita wahudumuu hata kama huna unaona aibu
MARCOSA makubwa sana ๐Nashukuru tangu mwaka umeanza sijaweka mkeka View attachment 2466141
Sure ipo siku yakeCode NNE ila Mbaga Jr kapita na codes 30+ hiyo hajaiona daaah, siku yake IPO Tu
Hongera na wewe Kaka pia bila kumsahau kubwa la maadui bigboi yeye na wenzake wanajitoa Kwa AJILI yetu Sisi WA Jero JeroYeah, ndo hio hongera brother
Hataree anusu mkuu na watu wanatokaDah ila jamaa anapiga pesa sana
Nyota yake sio ya kisport sportHataree anusu mkuu na watu wanatoka
Minilikuwa namdai mtu matofali 3000 toka dec 2015 nilimwachia n8lipoona tunasumbuanaleo asbh anaombw radhi nichukue 500 kila mwezi
Hapa niko hoi nimejaza 500 uwanjan.mm..nataka.yakibaki 1000 nimbadilishe anipe na nondo na cement humohumo jamaa ananyotaa....hatare
FF1EBFA na hiyo ndiyo CODE ILIYOWINB6735D sportybet
8265009
AF560C9
D0D854
FF1EBFA
Ngoja sports bet wanilipe Nina zero kwenye account mkuu Haha ๐๐๐๐๐ nitapitia nao hata iwe 0.00 %mimi nacopy na kuipaste1B6CA4 sportybet tennis 0.o probability
Bc mkuu, usinitoneshe kidondaFF1EBFA na hiyo ndiyo CODE ILIYOWIN