Kichuguu,
Mimi naamini kabisa kuwa Zitto hakutendewa haki hata kidogo. Na rais mwenyewe ndiye shuhuda wa yote yaliyotokea na hasa alipofanya unafiki wa Kumpa support Karamagi kuwa mabadiliko yalishafanyika hivyo kutuwezesha kupokea corporate tax mwaka 2010.
Kama zilikuwepo kamati za mwanzo nadhani ipo haja yetu sisi kukubali kwamba hazikufanya kazi yao vizuri kutokana na sheria tulizoziona ktk mikataba iliyofuata na hasa ule wa Buzwagi.
Tukumbuke tu kuwa hizi ni SHERIA za nchi ktk madini ambazo zinafanyiwa mapendekezo na sidhani kama ipo sheria ya kitaifa ambayo imepitishwa bila kupitia Bunge. Kwa hiyo alichosema Karamagi bungeni kilikuwa ni kamba moja safi sana.
Ukimsoma vizuri Karamagi (hapo juu ulipomnukuu) utagundua kuwa alichouliza Zitto kilihusiana na SHERIA ya madini lakini jibu la Karamagi na kamati aloitaja haikuwa ikihusiana na sheria ama mapendekezo ya kamati ktk sheria ya madini isipokuwa kazi ya kamati ile ilikuwa kufanya mapitio ya mikataba ilokwisha sainiwa kubaini maeneo yanayoweza kurekebishwakwa faida ya pande zote mbili. Hapa utakuta ni vitu viwili tofauti kabisa vilivyozungumzwa kama maelezo ya Chiligati hapo juu, lakini wabunge wetu kwa Umbumbumbu wao na hasa Karamagi aliposherehesha na kifungu cha sheria ya kodi wakamwona yeye mkweli zaidi wakati kalikimbia swali.
Agizo la rais toka mwanzo halikuwa kubadilisha ama kupitia sheria za madini na ndipo Zitto alipojengewa uzio na ndio maana Karamagi hakujibu maswali ya Zitto kwa kutazama agizo la rais liliyokuwa na tobo kwa kutoifanya sheria. Ndio maana hata mapendekezo ya kamati ile yalikwenda moja kwa moja wizarani (serikalini) yakawaacha wabunge hawana habari ya kile kilicho kubaliwa.
Kwa hiyo hata kama zipo kamati nyingi ni muhimu tufahamu kwanza nini madhumuni ya kamati hiyo. na sidhani kama huko nyuma ipo kamati ambayo iliteuliwa kuzitazama upya SHERIA za uwekeshaji ktk madini.