choveki, even with militancy at the end you have to be able to make an intellectual argument why you chose militancy. Fortunately, the modern world is not as tolerant to militancy as it was in the 70s or early 80s. Africa as a continent knows more about the gravity, destruction and devastation that armed conflicts have caused to its sons and daughters.
Tanzania in particular, tunajua zaidi ubaya wa mapambano ya silaha na jinsi ambavyo sisi tumekuwa waathirika pia. Tuliyoyaona Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, DRC, Mozambique na kwingineko vimetufundisha jambo moja kubwa; militancy is no joke! Kama kweli you are inclined to consider or even persue military solutions to political problems, I declare myself your enemy numero uno!
Tutawashinda kwa kufungua fikra za watu, kuwaonesha kuwa hoja zetu na mawazo yetu ya utatuzi wa matatizo ya nchi yetu ni bora zaidi kuliko ya wale walioko madarakani. Hadi pale tutakapoweza kuwashawishi wanakijiji kama mimi kuwa Tanzania bila CCM inaweza kutawalika na inaweza kunufaika ndipo hapo tutakapoweza kuleta mabadiliko tunayoyataka. Vinginevyo, hata umshikie mtu mtutu wa bunduki na kumuambia CCM haifai, anaweza kukubali kufa akikuonesha kidolee kwenye Bunduki yako kuwa kwa wewe kumshikia bunduki, ndio maana amechagua CCM!
the devastation that armed conflicts