Miji (sehemu) mizuri kwa mapumziko TZ

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Wakuu natarajia kupata Likizo August Hii inayokuja.
Na-plan kwenda mbali na Dar kupumzika kidogo angalau kwa two weeks or more....
Munaweza kunisaidia miji na sehemu nzuri kwa mapumziko marefu kama hayo? Sina tatizo ku-relocate.....
Kuhusu gharama nadhani ziwe za kawaida sio za kifisadi!
 
Nenda kijijini ukapumzike na ndugu, jamaa na marafiki ambao hamjaonana nao muda mrefu,...by the way unatakiwa ubadilishe mazingira sio kila siku unakaa sehemu zenye mikele na majumba marefu(magorofa),.....nenda kijiji utafurahia mkuu
 
Nenda Mwanza Malaika beach, ukitoka hapo nenda Serengeti stop over halafu baadaye Bilila kempisky Serengeti huko huko, utaenjoy Ziwa victoria, ukarimu wa wasukuma, Wanyama wa porini na jinsi Tanzania ilivyobarikiwa kuwa vivutio vingi, tena usiende kwa ndege, panda basi kutokea Ubungo ili uone pia jinsi watu wanvyoishi maisha magumu humo njiani wakati unaenda, Barabara ni lami yote hadi utakapoingia Serengeti.
 
Wakuu natarajia kupata Likizo August Hii inayokuja.
Na-plan kwenda mbali na Dar kupumzika kidogo angalau kwa two weeks or more....
Munaweza kunisaidia miji na sehemu nzuri kwa mapumziko marefu kama hayo? Sina tatizo ku-relocate.....
Kuhusu gharama nadhani ziwe za kawaida sio za kifisadi!
Family man or Single?
Hii ni factor mojawapo katika kukusaidia uende wapi!
 
Nenda Mwanza Malaika beach, ukitoka hapo nenda Serengeti stop over halafu baadaye Bilila kempisky Serengeti huko huko, utaenjoy Ziwa victoria, ukarimu wa wasukuma, Wanyama wa porini na jinsi Tanzania ilivyobarikiwa kuwa vivutio vingi, tena usiende kwa ndege, panda basi kutokea Ubungo ili uone pia jinsi watu wanvyoishi maisha magumu humo njiani wakati unaenda, Barabara ni lami yote hadi utakapoingia Serengeti.
Thanks kwa ushauri mkuu................will see!
 
Nenda Dodoma, tembelea kituo cha wazee, kituo cha watoto yatima pale Miuji pia tembelea wagonjwa pale General hospital, sio kwamba utainjoi safari yako bali itakuongezea imani na moyo wa kujitolea kwa watu wenye matatizo mbalimbali.
 
hii ni nzuri mkuu,inabidi tujifunze kuwahurumia na kuwasaidia wenzetu hata kwa kidogo Mungu alichotujaalia,sio kuwa wabinafsi na kutaka kuziridhisha nafsi zetu pekee,......
 
Mkuu nenda Namtumbo-Songea ukajionee maajabu ya huko hasa kule kwenye machimbo ya Uranium.......
 
Asilimia kumi ya bajeti yako ya likizo wasaidie watoto wanaoishi vituo vya yatima,itakuongezea baraka na utajisikia ni mwenye furaha,ukiweza pata nao japo mlo mmoja tu
 
unajuaje kama hilo haliko kwenye bajeti yake?
hivi kuna tabu gani ya kijibu kilichoulizwa? nadhani kama hujui ni bora kukaa kimya tu
 
Wakuu natarajia kupata Likizo August Hii inayokuja.
Na-plan kwenda mbali na Dar kupumzika kidogo angalau kwa two weeks or more....
Munaweza kunisaidia miji na sehemu nzuri kwa mapumziko marefu kama hayo? Sina tatizo ku-relocate.....
Kuhusu gharama nadhani ziwe za kawaida sio za kifisadi!

Nenda kiembe samaki
 
nenda mwanza mkuu,mimi nilikuwepo ijumaa na jumamosi kwa mara ya kwanza niliushangaa rockcity.
ni mji mzuri sana na sehem za kuvinjari kibao.
 
Hivi hakuna wilayani ambako ni kuzuri pia kutembelea? Lakini kuwe na usafiri wa uhakika!
 
Wakuu natarajia kupata Likizo August Hii inayokuja.
Na-plan kwenda mbali na Dar kupumzika kidogo angalau kwa two weeks or more....
Munaweza kunisaidia miji na sehemu nzuri kwa mapumziko marefu kama hayo? Sina tatizo ku-relocate.....
Kuhusu gharama nadhani ziwe za kawaida sio za kifisadi!

We kaka hiyo hela umeipata wapi ya kwenda kutalii?
 
Tanzania yote ni nzuri.

Chukuwa ramani ya Tanzania, funga macho, peleka kidole kwenye ramani, kitapotua ndio hapohapo uende.
 
Mkuu nenda( Macao) China kama atujakutumia nauli ya kurudi Bongo!
 
Wakuu natarajia kupata Likizo August Hii inayokuja.
Na-plan kwenda mbali na Dar kupumzika kidogo angalau kwa two weeks or more....
Munaweza kunisaidia miji na sehemu nzuri kwa mapumziko marefu kama hayo? Sina tatizo ku-relocate.....
Kuhusu gharama nadhani ziwe za kawaida sio za kifisadi!

Ngorongoro crater au Z'bar..tafuta hoteli nzuri, zima na simu uwe na likizo ya ukweli!

Cheki na Mkuu Mbu ana thread fulani ya kutalii nchini sema siikumbuki vizuri jina...He's the best person to advice you mana anapenda sana utalii wa nchini..anaweza kuku-recommend location nzuri kutokana na interest yako.(kwani si kila mtu anapenda national parks, museum au kuogelea n.k)

Maana sehemu utakayoenda lazima uwe na activities za hapa na pale siyo kulala au tv tu utaboreka mapema!!..Best of luck!!
 
Hivi hakuna wilayani ambako ni kuzuri pia kutembelea? Lakini kuwe na usafiri wa uhakika!
Bahasha la Jairo naona limeanza kukulevya, kumbe hata usafiri wako binafsi huna halafu unawaza vacation? kweli mswahili ngozi ya makalio.
 
Back
Top Bottom