Miji (sehemu) mizuri kwa mapumziko TZ

Mkuu nenda Bukoba mjini hutajuta,kwanza ni mkoa wenye hali ya hewa safi sijawahi ona,pili mkoa wa kagera ndio mkoa uliopakana na nchi nyingi kwa ukaribu kuliko mkoa wowote Afrika! Utapata fursa za kutembelea kwa urahisi uganda,rwanda na burundi na hata ukifika mipakani tu kama pale mtukula utaenjoy sana,ukifika bk kuna hoteli nyingi nzuri kama walk guard,Victorious na kuna apartment hoteli mpya jina limenitoka.utaona mazingira asili hasa upandaji wa miti mingi sana hadi utashangaa ndio mvua kule hazina msimu! Ila kila jioni hakikisha unaenda kupata kuku wa kienyeji wa kuchoma safi dunia nzima pale bukoba club huku ukipata view nzuri ya ziwa na upepo wa ukweli.lakini ulizia pia baa moja inaitwa Yasila pale omba samaki sato alietoka kuvuliwa dk 2 zilizopita ushuhudie akiwa mzima kabisa alafu wakuchomee! Kumbuka kule hakuna mgao wa umeme na kwa vile utakuwa single utapata ukarimu wa kushangaza wa wanadada warembo wa kihaya,kiganda na wakinyarwanda na pengine kama hujaoa lazima utangaze nia! Kazi kwako kiongozi
umesahau na kasenene
 
Back
Top Bottom