Hata Ilala pia ni wilaya, Ilemela, nyamagana Arusha pia! ChaguA "Mnyewe" {don't mind just 4 a litle smile}Hivi hakuna wilayani ambako ni kuzuri pia kutembelea? Lakini kuwe na usafiri wa uhakika!
Wakuu natarajia kupata Likizo August Hii inayokuja.
Na-plan kwenda mbali na Dar kupumzika kidogo angalau kwa two weeks or more....
Munaweza kunisaidia miji na sehemu nzuri kwa mapumziko marefu kama hayo? Sina tatizo ku-relocate.....
Kuhusu gharama nadhani ziwe za kawaida sio za kifisadi!
Mkuu nenda Bukoba mjini hutajuta,kwanza ni mkoa wenye hali ya hewa safi sijawahi ona,pili mkoa wa kagera ndio mkoa uliopakana na nchi nyingi kwa ukaribu kuliko mkoa wowote Afrika! Utapata fursa za kutembelea kwa urahisi uganda,rwanda na burundi na hata ukifika mipakani tu kama pale mtukula utaenjoy sana,ukifika bk kuna hoteli nyingi nzuri kama walk guard,Victorious na kuna apartment hoteli mpya jina limenitoka.utaona mazingira asili hasa upandaji wa miti mingi sana hadi utashangaa ndio mvua kule hazina msimu! Ila kila jioni hakikisha unaenda kupata kuku wa kienyeji wa kuchoma safi dunia nzima pale bukoba club huku ukipata view nzuri ya ziwa na upepo wa ukweli.lakini ulizia pia baa moja inaitwa Yasila pale omba samaki sato alietoka kuvuliwa dk 2 zilizopita ushuhudie akiwa mzima kabisa alafu wakuchomee! Kumbuka kule hakuna mgao wa umeme na kwa vile utakuwa single utapata ukarimu wa kushangaza wa wanadada warembo wa kihaya,kiganda na wakinyarwanda na pengine kama hujaoa lazima utangaze nia! Kazi kwako kiongoziMkuu nenda kijijini kwako ukaonane na uliosoma nao primary schoolhakuna mtanzania anayeweza kwenda kutembea mbali mambo yetu sio mazuri
Mkuu nenda Bukoba mjini hutajuta,kwanza ni mkoa wenye hali ya hewa safi sijawahi ona,pili mkoa wa kagera ndio mkoa uliopakana na nchi nyingi kwa ukaribu kuliko mkoa wowote Afrika! Utapata fursa za kutembelea kwa urahisi uganda,rwanda na burundi na hata ukifika mipakani tu kama pale mtukula utaenjoy sana,ukifika bk kuna hoteli nyingi nzuri kama walk guard,Victorious na kuna apartment hoteli mpya jina limenitoka.utaona mazingira asili hasa upandaji wa miti mingi sana hadi utashangaa ndio mvua kule hazina msimu! Ila kila jioni hakikisha unaenda kupata kuku wa kienyeji wa kuchoma safi dunia nzima pale bukoba club huku ukipata view nzuri ya ziwa na upepo wa ukweli.lakini ulizia pia baa moja inaitwa Yasila pale omba samaki sato alietoka kuvuliwa dk 2 zilizopita ushuhudie akiwa mzima kabisa alafu wakuchomee! Kumbuka kule hakuna mgao wa umeme na kwa vile utakuwa single utapata ukarimu wa kushangaza wa wanadada warembo wa kihaya,kiganda na wakinyarwanda na pengine kama hujaoa lazima utangaze nia! Kazi kwako kiongozi
Shaka ondoa ndugu,kila utachokula bukoba ni asilia haswaa hata nyama ya ngombe ni wale walioshiba na pembe ndefu! Kule malisho yamejaa maana mvua hazina msimu kule.watu wengi hawajafahamu uzuri wa mji wa bukoba mpaka ufike na upate muda wa kuzunguka.nenda bk then utarudi na mtizamo mpya juu ya mambo mengi ikiwemo mazingira na kilimo!mkuu hao samaki sato hawani mionzi ya nyuklia??tumesikia wajapani wamezileta bongo
Watu wa porini bwana. Mnashindwa kujenga kwenu, na inapofika likiso maogopa kwenda. Ndio maana nimeapa mtoto wangu kamwe asiolewe na kyasaka....Wakuu natarajia kupata Likizo August Hii inayokuja.
Na-plan kwenda mbali na Dar kupumzika kidogo angalau kwa two weeks or more....
Munaweza kunisaidia miji na sehemu nzuri kwa mapumziko marefu kama hayo? Sina tatizo ku-relocate.....
Kuhusu gharama nadhani ziwe za kawaida sio za kifisadi!
Usisahau kumfundisha na kumlithisha na wizi pia.Watu wa porini bwana. Mnashindwa kujenga kwenu, na inapofika likiso maogopa kwenda. Ndio maana nimeapa mtoto wangu kamwe asiolewe na kyasaka....
acha Wenge nchi inaelekea kubaya we unawaza kupumzikaa!fanya kaziWakuu natarajia kupata Likizo August Hii inayokuja.Na-plan kwenda mbali na Dar kupumzika kidogo angalau kwa two weeks or more....Munaweza kunisaidia miji na sehemu nzuri kwa mapumziko marefu kama hayo? Sina tatizo ku-relocate.....Kuhusu gharama nadhani ziwe za kawaida sio za kifisadi!
Utakuwa umeupatia ukubwani na mkopo hujamaliza ndo maana unaona kama ndiyo raha ya maisha kuliko kutalii!!!!Bahasha la Jairo naona limeanza kukulevya, kumbe hata usafiri wako binafsi huna halafu unawaza vacation? kweli mswahili ngozi ya makalio.
Umesema vyema mkuu.... Hii ni mentality potofu sana imejengeka juu ya baadhi ya wa TZ, wenzetu hufanya kazi double shifts ili ku-save pesa ya kwenda vacation! Mimi nilikua nazungumzia sana sana change of environment tu. Kwani kwenda Mbeya ukapanga Guest ya elfu hamsini mpaka laki kwa wiki moja sioni kama ni big deal! Normally watu wana spend zaidi ya hiyo kwenye lager na upuuzi mwingine!Utakuwa umeupatia ukubwani na mkopo hujamaliza ndo maana unaona kama ndiyo raha ya maisha kuliko kutalii!!!!
Samahani kama nimekukwaza naongelea hapo red!!
Point za kipuuzi kabisa hizi, tena ni za kutoka kwa mtoto wa Mama, usipopatia ukubwani utotoni utawezaje kupata kitu chako? au wewe gari la urithi la Baba unaliita my car? na hiyo nyumba unayoishi ambayo kodi ya nyumba ni shikamoo unaiita my house?Utakuwa umeupatia ukubwani na mkopo hujamaliza ndo maana unaona kama ndiyo raha ya maisha kuliko kutalii!!!!
Samahani kama nimekukwaza naongelea hapo red!!