Serikali: Miji ya Arusha, Dar, Zanzibar na Dodoma kuipaisha Tanzania kuwa Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani.Ukumbi wa 2 kwa Ukubwa Afrika kujengwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Serikali Imesema Inapanga Kuifanya Tanzania Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani ambapo Miji ya Arusha,Dar, Zanzibar na Dodoma itajengwa kumbi za Kisasa Ili kutimiza Azam hiyo.

Aidha Inatarajia kujenga ukumbi mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa ambao utakuwa wa pili Kwa Ukubwa hapa Africa jijini Arusha Kwa jina la Mount Kilimanjaro International Exhibition Centre kuanzia mwaka huu.

View: https://twitter.com/TZEmbassyCN/status/1698724924758831191?t=sIGcW5K9wGNa8GtcLOqehw&s=19

My Take
Wapi Mwanza na Mbeya mbona Zinatengwa Kwa Kila kitu? Hakuna Hoteli Wala Viwanja vya michezo. Why Kila kitu ni Dar,Arusha,Dom na Zanzibar tuu?

MK-ICC to be built in Arusha
Screenshot_20240327-190114.jpg

--
International conference Tourism is becoming more potent in boosting Tanzania's global appeal, with the government, through the Foreign Affairs Ministry, stating that strategies are in the pipeline to make Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, and Zanzibar leading conference destinations in Africa.

Addressing journalists at the State House in Dar es Salaam, the Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Samwel Shelukindo, said that President Samia Suluhu Hassan has decided to make Tanzania Africa's top choice in hosting international conferences.

He says so far this year, Tanzania has hosted/will host two big global conferences: Africa Heads of State Human Capital Summit back in July and the Africa Food Systems Forum to be hosted on September 5.

Shelukindo said that these conferences come with a host of benefits to the country, including foreign exchange, boosting tourism, increasing money supply, and also providing good exposure for Tanzania.

As a result, he says the government plans on expanding the Arusha International Conference Centre (AICC) and also plans on building more international conference centres in Dar es Salaam and Zanzibar. Tanzania will also build the second-biggest conference centre in Africa.

Source: The Citizen
 
Hivi Mwanza waliikosea nini hii serikali ! Mbona inatengwa sana ?
 
Sisi Mwanza tulishazoea awamu hii, sisi tunajua hatuna serikali tunapambana kivyetu huku tukisubiri awamu zenye maono sio chuki za kikanda kama hii awamu, kanda ya ziwa sijui tuliifanyia nini hii serikali?
 
Kila siku nawaambia baadhi ya miji inauliwa 😂😂then mnasema mnataka wachapq kazi sijui watu wavivu angalie ....Majengo kila siku yanazinduliwa .
 
Serikali Imesema Inapanga Kuifanya Tanzania Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani ambapo Miji ya Arusha,Dar, Zanzibar na Dodoma itajengwa kumbi za Kisasa Ili kutimiza Azam hiyo.

Aidha Inatarajia kujenga ukumbi mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa ambao utakuwa wa pili Kwa Ukubwa hapa Africa jijini Arusha Kwa jina la Mount Kilimanjaro International Exhibition Centre kuanzia mwaka huu.

My Take
Wapi Mwanza na Mbeya mbona Zinatengwa Kwa Kila kitu? Hakuna Hoteli Wala Viwanja vya michezo. Why Kila kitu ni Dar,Arusha,Dom na Zanzibar tuu?

--
International conference Tourism is becoming more potent in boosting Tanzania's global appeal, with the government, through the Foreign Affairs Ministry, stating that strategies are in the pipeline to make Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, and Zanzibar leading conference destinations in Africa.

Addressing journalists at the State House in Dar es Salaam, the Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Samwel Shelukindo, said that President Samia Suluhu Hassan has decided to make Tanzania Africa's top choice in hosting international conferences.

He says so far this year, Tanzania has hosted/will host two big global conferences: Africa Heads of State Human Capital Summit back in July and the Africa Food Systems Forum to be hosted on September 5.

Shelukindo said that these conferences come with a host of benefits to the country, including foreign exchange, boosting tourism, increasing money supply, and also providing good exposure for Tanzania.

As a result, he says the government plans on expanding the Arusha International Conference Centre (AICC) and also plans on building more international conference centres in Dar es Salaam and Zanzibar. Tanzania will also build the second-biggest conference centre in Africa.

Source: The Citizen

Wanajenga Arusha, huko kwingine walikotaja ni kuua tu noma kwa nini Arusha.
 
Kutesa kwa Zamu awamu ilopitwa Serikali ilitutenga mno Miradi mikubwa yote ikaelekezwa Kanda ya Ziwa Afadhali mama Ameirudisha Arusha Katika hadhi yake ya Kimataifa acheni makasiriko Arusha ni Geneva of Africa 🌍 ♥️
Nyie kipindi cha magufuli hamkupata mradi wa barabara bora njia nne, hamkupata mradi wa maji wa bilioni 520, je hamkujengewa barabara kila kona? Au mnatama mradi wa meli, au mnataka mjengewe daraja kuunganisha mlima meru na mlima kilimanjaro? Au sgr kufika Mwanza mnaona nongwa? Kanda ya ziwa ilipendelewa kwa kipi?

Endelea na ujinga na chuki zenu hii mizizi mnayopanda itakuja kuligharimu hili taifa.
 
Wapuuzi hao ,waliaminishwa Tanzania ni Kanda ya Ziwa pekee
 
Back
Top Bottom