Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

he heeeeeeeeee......! mwanume kashikwa pabaya....! SI YEYE TU.....WENGI NI MAMBO HAYA HAYA TU
 
Jaman mnamlaumu lema! Na huyo kikwete amefanya nini kama si kujichekesha kwa wana....e!?
 
Not Enough we vipi check list yako kaanayo sisi hatuna haja nayo kipaumbele chetu ni maandamano mpaka kieleweke chali wangu.Tumeshatimiza ahadi kibao unakumbuka maandamano ya Arusha walikufa watu watatu hayo si maendeleo ?.Nyamongo hamkumsikia Lema ?,UDOM alikuwepo kaamashisha maandamano ya katiba mpya ?,Unakumbuka maakamani kesi ya Mbowe alishiriki kumbeba unataka nini wewe acha roho mbaya chaliii wangu.Mjengoni alimtoa jasho Pinda mpaka spika akamsaidia,Umesahau mbunge wetu alisema mlango ufungwe watangwane makonde ?.Umesahau katoa CD kali au wewe hupendi muziki hakuna mbunge aliewahi kutoa burdani kwa wapiga kura wake na Tanzania kwa ujumla.Acha roho mbaya Lema ni mbunge wa maisha Arusha.

Wewe nae mnafiki tu!
 
Jaman mnamlaumu lema! Na huyo kikwete amefanya nini kama si kujichekesha kwa wana....e!?

Shule za sekondari kuliko awamu zote changanya na mkoloni.

Intake ya vyuo vikuu, kuliko awamu zote changanya na mkoloni.

Barabara za lami kuliko awamu zote changanya na mkoloni.

Kushuka utegemezi wa nchi za nje, kuliko awamu zote changanya na mkoloni.

Zanahanati, kuliko awamu zooote changanya na mkoloni.

Ubora wa vifaa vya mahospitali, kuliko awamu zooote, changanya na mkoloni.

Magonjwa sugu yanayo pimika na kutibiwa nchini, kuliko awamu zooote changanya na mkoloni.

Kufunguwa midomo upinzani (demokrasia), kuliko awamu zoooote changanya na mkoloni.

Unalo?
 
Katika jamii yeyote ile duniani, tunajua kwamba katika kuvuna, ni lazima kuwe na shamba lililotayarishwa, likapandwa, na likazaa. Na ni vivyo hivyo 2navyolitizama suala hili la maendeleo, Mh.Lema, amekuwa mchango mkubwa sana ktk jamii ya kitanzania bila kuangalia jimbo lake husika kuwaandaa wananchi kuenenda sambamba vuguvugu la maendeleo tunayoyahitaji katika jamii ze2!Pili kumbuka jamii kubwa ya watanzania,tumejengwa katika imani ya woga,lkn Mh huyu ameonesha kivitendo kila ki2 kinawezekana ilimradi usitetereke, ma mambo mengine mengi tu yanayofanana na hayo.Binafsi nimejifunza mengi kutoka na mh huyo!tatu, katika suala zima la kusomesha wanafunzi mia 4, mi naona ni big step ya maendeleo ktk jamii husika.. hv kama kila jimbo lingekuwa na uwezo wa kusomesha wanafunzi mia 4 kwa mwaka, je Tanzania tungekuwa na wasomi wangapi hadi kufikia sasa kwa miaka 10?
 
Shikamoo Mh Mbunge, napenda kukumbusha kwamba sasa hivi imeshatimia miezi sita tangu uingie bungeni rasmi nafasi ambayo uliipigania sana na Mungu akakusaidia ukaipata. Nadhani umeshahudhuria vikao kama vinne hivi vya bunge ikiwemo hiki cha bajeti. Nimeona leo tuae chini mimi na wewe tupitie ile check list yetu yaani mimi mwananchi na wewe Mh Mbunge. Check list inajumuisha yote yale uliyoongea mwaka jana katika kipindi cha miaka mitatu ukiwa unapambana na Mama yetu Batilda. Mimi check list yote ninayo ila mwenzangu sijui kama ullitunza ili ikusaidie kwenye safari yako ya 2015. Kama hutojali naomba uniwekee check list yako hapa ili niangalie ni lipi umekwishalifanya ndani ya kipindi hiki cha miezi sita.
una lako jambo,mbona umuulizi JK kwani ndo mwenye serikali! Acha kumghasi kafanye kazi zako ukizingatia hukumpa hata kura yako!
 
Sasa wewe ulitegemea awafanyie nini wakati anatokea chama kitoto? hapo mlipoteza kura tu.
Kwani karatu wana mbunge wa CCM? Mbona wana maendeleo makubwa?? Acha kuwa na mawazo mgando
 
Sasa wewe si uweke hiyo checklist ili evaluation ifanyike, au wewe unataka kumfanyia evaluation peke yako, Any way ndo bunge la bajeti limekaa i mean mwaka wa fedha ndio unaanza so hope kwamba mkuu atakuwa kajipanga yeye na timu yake kwani what i know Lema si mtendaji peke yake, wewe anza na checklist ya mwenyekiti wako wa mtaa i hope unayo umesave some where then ya diwani wako, kisha compile hiyo evaluation yako nafikiri jibu utakuwa umelipata.
 
Jamani naomba kutoa msimamo wa maada yangu, mimi ni mkazi wa Arusha na mwaka 2015 nitapiga kura Arusha kumchagua mbunge. Performance/Under perfomance ya mbune wa Urambo/Karatu haitanifanya mimi nimpigie Lema au la. Likewise perfomance/underperfomance ya Kikwete.

Binafsi nikipima miezi sita ya Lema na alichofanya bado sijaona, I know he has attributes and will to do lakini huenda has been caught up with other issues!!! But should he real get devoted into those other stuff? The answer is no, remember every minute COUNTS.

Remember 2015 every one will measured by hid/her own perfomance, dont expect Arushans to vote him simply becasuse he was initiating/stiring protests. BIG NO.

Kama kuna kitu amefanya basi wekeni hapa na sisi tumsifie Mbunge wetu, usije ukanamba eti miezi sita ni michahche not true we have already paid him almost 60million.

I am not here to joke nafanya comparison ya jasho langu against his perfomance. Ikifika zamu ya ****** pia nitamjadili
 
Mkuu watoto 400 kupewa msaada wa ada ya masomo ina impact kubwa mno kwa jamii nzima. Hao watoto 400 wana familia zao, hivyo wenyewe kupata fursa ya kusoma na kupata maarifa, ina maana hayo maarifa watakayopata yatawanufaisha pia watu kutoka kwenye familia zao!!

Mkuu it is a shame kama hujui umuhimu wa elimu katika jamii kwa ujumla!!!!
Siyo elimu tu, Mahitaji mengine pamoja na bimaya afya, kuna ambulance mbili na trekta moja ambayolo limetumika kulima chakula cha watu wasiyo jiweza sikumbuki ni heka ngapi...upande wa chama chake amefungua matawi mengine sana kuliko mbunge yoyote hasa vyuoni niko tayari kusahihishwa....nakuja
 
Siyo elimu tu, Mahitaji mengine pamoja na bimaya afya, kuna ambulance mbili na trekta moja ambayolo limetumika kulima chakula cha watu wasiyo jiweza sikumbuki ni heka ngapi...upande wa chama chake amefungua matawi mengine sana kuliko mbunge yoyote hasa vyuoni niko tayari kusahihishwa....nakuja

Thanks for this crashwise, good achievement
 
kuna thread moja kule jukwa la chini huyu dada aliweka wazi juu ya kutoa ule mtandao wa 0715..........nadhani ana matatizo...hata ukimuliza hiyo checklist yake iko wapi hana na wala hawezi kuiweka hapa........

kumbe anatoa mtandao wa 0713.....gamba kweli huyu
 
basi we baki na hizo akili zako za kizamani, serikali ni ccm sasa unataka walete maendeleo kwa mbunge wa upinzani? hii ni siasa bibie sio sindimba. Nyie mtarudi CCM 2015 lasivyo mtakiona cha moto.

P####fu, NIMESIKIA kichefuchefu nataka kutapika hasa hapo kwenye RED. Najua mmeshaanza kutunyima umeme ili msingizie uzembe wa wabunge wetu kushindwa kuwajibika. Mnadumaza uchumi wa vijana kwa kuwanyima wakazi wa Arusha na Moshi umeme lakini hamtafanikiwa.

Lema tayari ameshawapeleka a good number of children from poor families to Secondary schools. Hii ni achievement ya kwanza kabisa ya Lema ila kuna nyingine ambayo amefanikiwa kuwaunganisha vijana wa Arusha na kuwapa ufahamu wa kujua haki yao na kutambua kwamba tuliyemdhania kuwa ndiye mzazi wetu yaani CCM kumbe ni mbwa mwitu mkali aliyekuwa anatuvizia hata ss atutafune.
 
Jamani naomba kutoa msimamo wa maada yangu, mimi ni mkazi wa Arusha na mwaka 2015 nitapiga kura Arusha kumchagua mbunge. Performance/Under perfomance ya mbune wa Urambo/Karatu haitanifanya mimi nimpigie Lema au la. Likewise perfomance/underperfomance ya Kikwete.

Binafsi nikipima miezi sita ya Lema na alichofanya bado sijaona, I know he has attributes and will to do lakini huenda has been caught up with other issues!!! But should he real get devoted into those other stuff? The answer is no, remember every minute COUNTS.

Remember 2015 every one will measured by hid/her own perfomance, dont expect Arushans to vote him simply becasuse he was initiating/stiring protests. BIG NO.

Kama kuna kitu amefanya basi wekeni hapa na sisi tumsifie Mbunge wetu, usije ukanamba eti miezi sita ni michahche not true we have already paid him almost 60million.

I am not here to joke nafanya comparison ya jasho langu against his perfomance. Ikifika zamu ya ****** pia nitamjadili



Huwezi pima performance ya Lema against NOTHING la sivyo utakuwa too biased au unalako jambo. Hivi kama unasema lema hajafanya kitu cha kukushtua and then you're talking about 2015 you must be very pessimistic . Unatakiwa ulete siyo tu check list ya Lema bali leta checklist za wabunge ambao unafikiri are your role model ili tu compare la sivyo performence measurement framework yako itakuwa highly biased. La sivyo itabiti utumie WITHOUT AND WITH LEMA as a MP vinginevyo utakuwa umevamia tu jukwaa kuleta uchawi humu.
 
dont give fish, teach how to do fishing.

Mtoa hoja mbona unajiabisha zaidi yaani hujui kuwa kutoa elimu siyo kutoa samaki bali ni kufundisha kuvua! Hii thread yako imekosa maana kutokana na wewe mwenyewe kutokujua lolote sasa itabidi tusiicangie bali tuiiangalie tu!

Maana katika taifa lolote kama kuna mtu hajui umuhimu wa Elimu na anafikia kusema kutoa elimu ni sawa na kumpa mtu samaki badala ya kumfundisha kuvua hii ina maana gani au ina maana mwenzetu shule ilipita pembeni hivyo hata hujui nini maana ya elimu?!
 
Impact haipimwi kwa miezi sita..impact is a long term issue,hvyo basi we unadhani hao wanafunzi waliosomeshwa hawatakuwa na multiplier effect kwa hyo jamii husika..acha majungu.
Pukudu thanks very much hili hata mimi nimeliona ila nataka yale ambayo yana impact kwa jamii nzima. Nina uhakika watu wenye shida ya ada ni zaidi ya mia nne hapa Arusha. So tuhesabu vile vitu vyenye impact kwa jamii nzima na siyo society yenye access na yeye.
 
Back
Top Bottom